Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani?

Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani?

Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?

Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665
Sukuma gang mtapayuka sana kwa vihabari vya kuokoteza ili kumchafua mama Samia.

Mimi binafsi siipendi ccm ila kwa hili la kuwaminya sukuma gang inabidi nilifurahie.
 
Hao ni Watanzania walio kwenye mji mtakatifu Iraq walipokwenda kuhiji katika miji mitakatifu ya madhehebu ya Shia ya Najaf kulipo msikiti maarufu mtakatifu na Karbala kulipo kaburi la Imam Husayn .
Umewaumbua sukuma gang
 
Unamdanganya nani Pascali ?!. Lini hivi vitu vikawekwa wazi kwa waTanganyika ?!. Wasomi wa kibongo mmeiangusha sana nchi hii kwa njaa na uoga wenu. Bora hata wanasiasa na wanaharakati baadhi wanatuamsha.
Just be optimistic than pessimistic, subiria IGA itawekwa hadharani.
P
 
DPW imefanya waarabu waogopwe na watanganyika kama chawa na kunguni ndani ya nyumba.

Mkataba ule wa bandari uvunjwe, hatuutaki kabisa, hao waarabu hata kama wanashangilia mambo yao, hapa mkataba wa DPW hatuutaki hili muelewe.
Endelea kuukataa nyuma ya keyboard
 
Mleta mada una akili za kijinga sana,ni umasikini wa akili yako ndio umekufanya kupost hii thd ambayo wala huwajui hao wanaoimba kwenye hiyo clip wala hujui hata wanaimba nini,

Hiyo ni ibada ya washia wakiwa kwenye mji wao mtakatibu wa Karbala Iraq,na hua wanaenda kwenye mji wao mtakatifu wa Najaf kila mwaka ambako ndio lipo kaburi la Iman Husayn,hii ibada hufanyika kila mwaka ambayo kwao ni Hija hiyo,

Hiyo ibada hua wanaimba kwa lugha ya kishia huku wakijipiga vifua,hiyo lugha sio kiarabu wala hao watu sio waarabu,

Hao waumini ni wabongo,wameamua tu kubeba bendera ya nchi yao,ni kama wewe uende kuangalia mechi ya kombe la Dunia kisha upeperushe bendera ya nchi yako,

Wewe Mama unaishi maisha ya mateso sana kwa chuki zako za kijinga na ukosefu wa elimu pia huna uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo kabla ya kukurupuka na kuja kutupia hapa uchafu wako.
Na kuna wajinga wenzie wanaomuunga mkono
 
Just be optimistic than pessimistic, subiria IGA itawekwa hadharani.
P
Tangu lini IGA ikawekwa hadharani?
Na kwa nini serikali imetupilia mbali mchakato wa kubadilisha sheria ya mali asili za Tanzania?
 
Yes kikawaida HGA ni confidential ila kufuatia mauzauza ya IGA ya DPW na Bandari, kumetengeneza public interest itakayo ilazimu HGA zake ziwe transparent ili tuone na kujiridhisha zile kasoro za kisheria za IGA ya DPW haziko reflected kwenye HGA.
Public interest surpluses everything!.
P
Hivi Paskali unajua kabisa IGA inamauzauza mengi afu uanataka iendelee ukitegema HGA ziwe wazi kwa Jamii na unajua kabisa kuwa WAZI NI VIKUGU KUWEZEKANA.
P Ebu tusaidie kwa Historia ya Nchi unafikili hiko Kinawezekana??!
 
Sasa kwanini unahangaishwa na anayeandika upuuzi, hizi sindano nakwambia sitaziacha, nitakuchoma mpaka na minyoo ndani ya tumbo lako nayo isikie maumivu.
Unahangaika wewe!
 
Back
Top Bottom