imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Na huenda hata Professor wa Bandari Issa Shivji yumo kundiniπHao ni wahindi wa pale Kisutu wengi wao ni mashia huwa wanakwenda kuhiji Iraq kwenye mji wa Karbala !
π π π π Labda ndio wao na wengi wao ni Raia wa Tanzania πΉπΏ wa Kuzaliwa kuna ubaya gani wakipeperusha bendera ya Nchi yao ??!! π
Hata Makaburu walishaachaga Ubaguzi πππ