Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani?

Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani?

Hao ni Watanzania walio kwenye mji mtakatifu Iraq walipokwenda kuhiji katika miji mitakatifu ya madhehebu ya Shia ya Najaf kulipo msikiti maarufu mtakatifu na Karbala kulipo kaburi la Imam Husayn .
Ubaguzi ukizidi sana mpaka mtu anakuwa Zwazwa 😅😅🙏🙏
Hao hawahusiani kabisa na hao Dipiwedi 😂😂🙏
 
Uzi ufungwe tu...

Hakuna sababu ya kuendelea kuwepo mada inayoeneza uongo juu ya watu wenye kufanya ibada, pengine hata wakiliombea Taifa kuepushwa na wenye husda, nia mbaya n.k...
Kweli uzi ufungwe tu !!
 
Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?

Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665
Kama kuna anayejua wanaimba nini atutafsirie jamani. Huenda wanashangilia kupata koloni linaitwa tanzania🤣😂
 
Na muda huu ndiyo msimu wenyewe ndugu zetu toka Tanzania wapo huko kutekeleza jambo muhimu la kiimani katika miji Najaf na Karbala iliyopo Iraq.

View attachment 2741675
Nijuavyo mimi tuna Watanzania wengi wenye asili ya Bara Hindi ambao ni Madhehebu ya Shia sidhani hata kuwa hao ni Watanzania wenye asili ya Kiarabu.
 
Si Bongo zozo huyo.. kawapa bendera na yeye ndo anayerekodi. Wanaimba nini , hatujui!
Hata Bongo zozo wapo watu walisema labda ana ajenda za kuipeleleza Nchi 😂😂😂😂🙏 kweli Akili ni mali !!😅
 
Hata Bongo zozo wapo watu walisema labda ana ajenda za kuipeleleza Nchi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120] kweli Akili ni mali !![emoji28]
Kabisa
 
Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?

Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665
Wanafurahia kujipatia koloni kwa njia ya ubwete kabisa.
 
Nijuavyo mimi tuna Watanzania wengi wenye asili ya Bara Hindi ambao ni Madhehebu ya Shia sidhani hata kuwa hao ni Watanzania wenye asili ya Kiarabu.
Hao ni wahindi wa pale Kisutu wengi wao ni mashia huwa wanakwenda kuhiji Iraq kwenye mji wa Karbala !
😅😅😅🙏 Labda ndio wao na wengi wao ni Raia wa Tanzania 🇹🇿 wa Kuzaliwa kuna ubaya gani wakipeperusha bendera ya Nchi yao ??!! 😍
Hata Makaburu walishaachaga Ubaguzi 🙏🙏🙏
 
Wapo wapi?

What's the context?

Kwahiyo hao ndo DPW?

Hakuna watz wenye asili ya arabuni?

Nyie mnaweka bendera za Israel na USA hadi chumbani kwenu nani anawauliza?
We kweli subwoofer!! Spika nzima kweli au wahuni washaichana????
 
Back
Top Bottom