Waarabu na wazungu waliondoa dini zetu za asili ili tuabudu Nyota/Mwezi na Sanamu za bikra maria

Mimi naona bora dini za kiarabu kuliko za jadi.

Za jadi zilikuwa na mambo ya ajabu ajabu, kafara na kadhalika
Kiafrika hazikuwa na mambo ya ajabu ajabu kwa umri wangu nimekua nikishuhudia babu zangu wakifanya rituals mbalimbali hazikushirikisha uvunjifu wa haki za watu.

Matambiko mengi ya Kiafrika especially Tanzania hayahusishi ukatili kwa binadamu,bahati mbaya sana kizazi chetu hakijarithishwa mambo ya mila za Kiafrika tumerithi dini za wageni.
 
huwezi kuta kuna ugaidi wa kuua watu wengine
au kujilipua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…