Waarabu na wazungu waliondoa dini zetu za asili ili tuabudu Nyota/Mwezi na Sanamu za bikra maria

Waarabu na wazungu waliondoa dini zetu za asili ili tuabudu Nyota/Mwezi na Sanamu za bikra maria

Sasa hivi Kuna uhuru wa kuabadu, kama una mizimo yako Ina manufaa nenda kaabuni hauna haja ya kulialia humu.
Wanaona vingine waache waabudu!
 
Una makasiriko na mifadhaiko binafsi. Naomba unieleweshe leo namna gani dini ya Kikristo imesababisha Tanzania kuwa masikini.

Nasubiri jibu kama hutojali maana karibia nilale.
imefanya tuamini katika i azungu tupotee sisi ni kina nani!!

mtu anavaa wigi kanisani
ana kichubua kufanana na mzungu bado anamuomba mungu Mungu yupi anaesema ujikatae
 
imefanya tuamini katika i azungu tupotee sisi ni kina nani!!

mtu anavaa wigi kanisani
ana kichubua kufanana na mzungu bado anamuomba mungu Mungu yupi anaesema ujikatae
Aiseeeee, nimekudharau sana kwa kweli. Yaani ulichojibu na kuandika hata binti yangu Glory anayesoma P1 hawezi jibu uharo wa namna hii.

Yaani hivyo ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania? Dah Mzazi wako kapata hasara ya mtoto hapa. Ni vyema nyie vijana kuacha kufuata mkumbo na ujuaji kwani mnajitia aibu. Kama kitu hujui ni bora unyamaze kwani unaonesha uchi wa akili na uwezo wako mbele za watu.

Nimekuuliza ni namna gani hizo dini za wazungu na waarabu usemazo zimesababisha umaskini kwa nchi yetu kama madai yako we unasema masuala ya kuvaa wigi na kujichubua.

Aiseeeee, kwa matapishi ukiyoyaandika ngoja nikuteme mate na kukuweka kwenye ignore list maana sio kwa ushuzi ulioiandika.

Ptuuuuuuuuuu
 
Wapi huko uliondolewa na Waarabu dini yako ya asili? Inaitwaje hiyo dini yako ya asili?
Unajua sister kuna movement za kijinga sana za hawa watoto wetu kupinga dini na kupinga uwepo wa Mungu ila wengi hawajui wala kujitambua wanataka nini.

Mfano umemuuliza dini yake ya asili ni ipi? Hapo hawezi leta jibu. Kuhusu dini za asili za Afrika ni zipi kama movement yao inavyosema hawatakupa jibu. Ukiwauliza, upi utaratibu wa ibada wa hizo dini zao za asili hawakupi jibu. Mi mchaga, je utaratibu wa hizo dini za asili za kiafrika ni moja kati ya wachaga,wamasai, wahehe na wakaguru? Je tutaabudu mungu yupi na utaratibu upi katika kabila zote?

Kimsingi hawajajipanga katika movement zao ndio maana zinafeli kama ilivyofeli ya kataa ndoa.
 
Shida zilishindwa kuprove point kuwa n bora kuliko za hao wageni..... Wazungu na mataifa ya waasisi wa dini mafanikio yao mengi kimazingira yameanzia kweny spiritual world,

Mfano kwenye kitabu cha taurat na Quran kina mfumo mzima wa maisha watu waishije watatue vp changamoto zao n.k

Ila hao unaowatetea miungu wa babu zetu.. walishindwa kujithibitisha wao n bora, mfano mdogo: Africa especially East Africa kabla ya ujio wa hao wageni watu waliishi Kama wanyama..... Hakuna nguo, hakuna elim yenye uwezo wa kuchallange miungu mingine, watu n ujinga mbele kwa mbele... Vitu Kama madini pia watu hawakujua matumizi yake yaliyokusudiwa, technology ya vita n hakuna n.k

Swali ni moja.... Hao miungu walishindwa vipi kuwafanya waumin wao kuwa bora kama au zaidi ya jamii zingine huko Duniani,,,, au walikuwa hawajui kuwa bara la Asia na America Kuna watu??
Walikuwa hawaoni kuwa watu wa kule wameendelea na taknolojia imewasaidia??

Chukua hii: China na India hizi dini zilifuka kwa taabu Sana... Sababu miungu yao ilifanya vitu vya kuonekana Yani iliwapa sababu za kupingana na miungu ya kigeni

Ila sisi Africa miungu ya babu zetu ilikuwa mipuuzi tu walitaka kuabudiwa lakini hawakuwanufaisha waafrica... Ndio maana ikawa rahisi Sana kufanyiwa replace!!!

Zamani miungu ilipigana vita na mwenye nguvu alitawala.... Sasa tukubali tu miungu ilokuwa Africa ilikuwa ni dhahifu na haikustahili kuabudiwa maana ilipewa nafasi ikashindwa kujipambania..... Utamoambaniaje Mungu ambaye ni dhahifu mbele ya miungu wenzake!!!

Mwenye nguvu ndio anatawala bhana
 
Back
Top Bottom