Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Sasa hivi Kuna uhuru wa kuabadu, kama una mizimo yako Ina manufaa nenda kaabuni hauna haja ya kulialia humu.
Wanaona vingine waache waabudu!
Wanaona vingine waache waabudu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikuwa na mapango na misitu iliyo shonaNimeona hii picha imenisikitisha
Una makasiriko na mifadhaiko binafsi. Naomba unieleweshe leo namna gani dini ya Kikristo imesababisha Tanzania kuwa masikini.Endelea kuamini midoli ya wazungu ndo maana nchi yako bado masikini
Sawa wewe nchi yako ni tajirEndelea kuamini midoli ya wazungu ndo maana nchi yako bado masikini
imefanya tuamini katika i azungu tupotee sisi ni kina nani!!Una makasiriko na mifadhaiko binafsi. Naomba unieleweshe leo namna gani dini ya Kikristo imesababisha Tanzania kuwa masikini.
Nasubiri jibu kama hutojali maana karibia nilale.
Na baada ya sisi kuabudu hizi dini zao si unaona jinsi tulivyo wajinga mpaka tunajidharau huku tukichekwa na hao hao vibaraka waliotulete dini zoo zisizo na maadili wala maana kwetu.Nimeona hii picha imenisikitisha
Ni kweli kabisaNa baada ya sisi kuabudu hizi dini zao si unaona jinsi tulivyo wajinga mpaka tunajidharau huku tukichekwa na hao hao vibaraka waliotulete dini zoo zisizo na maadili wala maana kwetu.
Dini gani huabudu nyota/mwezi!?..dini zetu ni zipi,za wanyaturu,waha,wakimbu,wazaram au waburkinafaso?Nimeona hii picha imenisikitisha
Nimeona hii picha imenisikitisha
Sijaona mwarabu kwenye hiyo picha, ni wapi hapo na nani hao?Nimeona hii picha imenisikitisha
Upi huo?ndio ukweli huo
"Dini za Kiarabu" ndiyo zipi hizo? Na "za jadi" ndiyo zipi hizo?Mimi naona bora dini za kiarabu kuliko za jadi.
Za jadi zilikuwa na mambo ya ajabu ajabu, kafara na kadhalika
"Dini ya muarabu" ni ipi? na "ya jadi" ni ipi?ivi kati ya dini ya muarabu na ya jadi ipi inaua watu??
ipi inakafara??
ipi ina sanamu nyingi?
Huo ni Ugomvi na katekistaNimeona hii picha imenisikitisha
Mbona hata ya Mwarabu kuna sikukuu ya kuchinja?!Mimi naona bora dini za kiarabu kuliko za jadi.
Za jadi zilikuwa na mambo ya ajabu ajabu, kafara na kadhalika
Nikiipata ile clip nitakuwekea umuulize mwenyeweAna maanisha nini ? 😂😂😂
Aiseeeee, nimekudharau sana kwa kweli. Yaani ulichojibu na kuandika hata binti yangu Glory anayesoma P1 hawezi jibu uharo wa namna hii.imefanya tuamini katika i azungu tupotee sisi ni kina nani!!
mtu anavaa wigi kanisani
ana kichubua kufanana na mzungu bado anamuomba mungu Mungu yupi anaesema ujikatae
Unajua sister kuna movement za kijinga sana za hawa watoto wetu kupinga dini na kupinga uwepo wa Mungu ila wengi hawajui wala kujitambua wanataka nini.Wapi huko uliondolewa na Waarabu dini yako ya asili? Inaitwaje hiyo dini yako ya asili?