Waarabu sasa ndio wananunua silaha nyingi kutoka Israel

Waarabu sasa ndio wananunua silaha nyingi kutoka Israel

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jameni Waswahili mlioaminishwa na mwarabu kuichukia Israel, tambueni hali imebadilika kule, mwarabu amesalimu amri, ananunua silaha kutoka Israel tena kwa gharama kubwa sana.

============

Israeli defence exports hit an all-time high of $12.5 billion last year, with Arab countries that recently established ties accounting for nearly a quarter of purchase contracts, officials said Wednesday.

The defence ministry, which oversees and approves the exports of Israel's defence industries, said one quarter of deals were for drone systems, with "missiles, rockets and air defence systems" making up another 19 percent.

Ministry figures show total exports have doubled over the past nine years.

A breakdown of the regions to which the goods are exported showed a leap among Abraham Accords countries from $853 million (nine percent) in 2021 to $2.96 billion (24 percent) in 2022.

The US-brokered Abraham Accords from 2020 saw Israel normalise ties with the United Arab Emirates, Bahrain and Morocco.

Palestinians slammed the agreement as a betrayal of their cause, pointing out that it rewarded Israel while it continued to occupy the West Bank and besiege the Gaza Strip.

The defence ministry would not provide further details.

"Global instability increases the demand for Israeli air defence systems, drones, UAVs (unmanned aerial vehicles) and missiles, and we continually work to preserve our capabilities and strengthen them," defence ministry director general Eyal Zamir said in a statement.

The German parliament was set to approve a $4.3 billion deal later Wednesday to purchase Israel's Arrow 3 air defence system, as the country moves to bolster its defences following Russia's invasion of Ukraine last year.

Newarab.com
 
Haya yapo sana tu mbona

Egypt, Algeria, Morocco na UAE walianza kununua tangu 2008

Gulf wao bado wanategemea zaidi [emoji631], [emoji636] na [emoji632] zaidi

Pakistan pia walisema ni wadau wa Israel ila Israel ilikanusha 2013

Hata Adnan Khashoggi alikuwa ni mzaliwa wa Makka lakini alifanya biashara sana akiwa middleman wa silaha baina ya nchi nyingi na [emoji1134] ikowemo
 
Ovu kwa lipi ? Wkt mara zote nyiny ndo mnaanza livamia ? Kama mnataka kukaa pekee yenu basi ondoken kariakoo mrudi uarabuni mkae wenyew huko
Waisraeli pale aliwakuta wakina nani wakaanza fujo na kuwaleta raia wao kutoka mataifa mbalimbali ?
 
Sisi miafrika bwana, tunasikitisha kwa jinsi tunavyojidhalilisha kupitia fikra zetu duni. Mbona hao biashara kati yao ipo kitambo tu sema wewe sokwe ndo umesikia leo! Pamoja na mifarakano yao, wanafanya biashara za chakula, mafuta, nguo na hata kuajiriana. Mchina na Mmarekani ni maadui lkn wanafanya biashara mbona? Halafu aliyesalimu amri nani? Unajua mazungumzo yao ya kibiashara yakoje?!!! Sawa, mwarabu anataka silaha, muisrael nae si anataka hela?
Isitoshe ndg, ugomvi gani usioisha? Mrusi na mjerumani walibondana vya kutosha tu ww2 lakini leo, kabla ya mgogoro wa Ukraine, walikuwa wanafanya biashara vizuri kabisa hadi mmarekani akawa anaona wivu.

Hama kikulyungu huko unachelewa!!
 
Subiri majibu yake sasa,utapigwa na butaa!
 
Waisraeli pale aliwakuta wakina nani wakaanza fujo na kuwaleta raia wao kutoka mataifa mbalimbali ?
Je hawa waarabu wa hapo kariakoo nan amewai wasumbua ? Ebu kuwa mfuatiliaji uwajue waarabu vzr labda kama una dam ya kitumwa kwako kupelekeshwa unaona sawa tu , waisrael waipofika hapo waarabu ndo walianza washambulia waisrali , mbona liberia na Sieera leone wanaishi vzr wenyej hawakuwa wabaguzi kama waarabu ? Mbona hao waarabu wanahifadhiwa kwenye nchi za magharibi ambazo wao wanaziita makafir , ogopa watu wanaowabagui ndugu zao wa asilia kbs , ww hawawez kukujali na ungekuwa unafuatilia angalau ungejuwa hao waarabu wanavyowachukulia nyinyi waafrika
 
Sisi miafrika bwana, tunasikitisha kwa jinsi tunavyojidhalilisha kupitia fikra zetu duni. Mbona hao biashara kati yao ipo kitambo tu sema wewe sokwe ndo umesikia leo! Pamoja na mifarakano yao, wanafanya biashara za chakula, mafuta, nguo na hata kuajiriana. Mchina na Mmarekani ni maadui lkn wanafanya biashara mbona? Halafu aliyesalimu amri nani? Unajua mazungumzo yao ya kibiashara yakoje?!!! Sawa, mwarabu anataka silaha, muisrael nae si anataka hela?
Isitoshe ndg, ugomvi gani usioisha? Mrusi na mjerumani walibondana vya kutosha tu ww2 lakini leo, kabla ya mgogoro wa Ukraine, walikuwa wanafanya biashara vizuri kabisa hadi mmarekani akawa anaona wivu.

Hama kikulyungu huko unachelewa!!
Unafanyaj biashara na kafir? Si mnawaita makafir nyiny , halaf nyiny ndo mnamifarakano nao wala wao hawana shida na nyinyi
 
.... kosa vyote ila barikiwa akili! Ooh tuna rasilimali; ooh tuna madini; ooh tuna ardhi nzuri; ooh tuna mbuga nyingi; yet umasikini uliotopea! So what?
 
Unafanyaj biashara na kafir? Si mnawaita makafir nyiny , halaf nyiny ndo mnamifarakano nao wala wao hawana shida na nyinyi
Una akili zenye ujazo wa sisimizi mmoja, nenda kwa watoto wenzio wa chekechea mkacheze kidali po.
Hayo maneno matano ya mwisho ndiyo yanayofanya waje kuwaoa hukuhuku!
 
Unafanyaj biashara na kafir? Si mnawaita makafir nyiny , halaf nyiny ndo mnamifarakano nao wala wao hawana shida na nyinyi

Unavooongea utazan israel ni taifa la kikristo [emoji1787][emoji1787]Jew hapatn na muislam wala mkristo kwenye imani.suala la biashara wenzetu hawajalifunganisha na imani za dini
 
Back
Top Bottom