Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
dpworld~p~B26KrYvgIft~1.jpg


Ni wazi Ticts hana chake tena bandarini na hii ni baada ya kampuni ya waarabu wa Dubai Port kufanikiwa kuwashawishi watawala ili wawape Mkataba wa kushusha na kupakia makasha shughuli ambayo Ticts walikuwa wanaifanya hapo awali.

NB: Ile picha ya mama pale Burj inaendelea kulipa.
 
Hapo umesema mwarabu lakini kilichokusukuma ni dini yake
Ni kwa nn anaposemwa mwarabu huwa mnahusisha dini? Kipindi cha JK kulikuwa na story za Marekani kutaka kupewa kigamboni, mbona sikuona mtu/watu wakihusisha dini? Bali nilichoona ni kuhusisha mambo ya kijeshi na unyang'anyi?

Hata sasa kumeibuka story ya Marekani kutaka kupewa bandari ya Bagamoyo, sijaona mtu akihusisha dini bali inahusishwa military base na unyang'anyi mwingine.

China pia hivyohivyo akitaka kupewa sehemu kuendesha watu hukosoa sana, Ila sioni wakihusisha dini.

Kwa nn wakisemwa waarabu mnakimbilia dini?
 
Back
Top Bottom