Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Kama mwarabu kapewa bandari tumeisha
Ni swala la muda tu

Uharibifu mkubwa unaenda kutokea ktk nchi yetu
Acha fikra potofu mkuu,hao dp wanaendesha bandari nyingi tu europe,kama sikosei hata greece na cyprus hao dp ndio waendeshaji wa hizo bandari,hata holland wana sehemu ya bandari iko chini yao,hao ni wazoefu wa hayo mambo hawana uswahili kama wa akina karamagi,kikubwa wapewe space wafanye kazi yao,naamini hamna container vessel itakayokaa bandari masaa 24 au kule nangani wiki 2 kusubiria kuingia bandarini,hao jamaa ni proffesional sio unga unga mwana
 
Unayosema ni kweli Ila pia hao sio malaika wana mapungufu na Kuna nchi wamekuwa terminated sababu ya kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi
 
Ni kwa nn anaposemwa mwarabu huwa mnahusisha dini? Kipindi cha JK kulikuwa na story za Marekani kutaka kupewa kigamboni, mbona sikuona mtu/watu wakihusisha dini? Bali nilichoona ni kuhusisha mambo ya kijeshi na unyang'anyi?

Hata sasa kumeibuka story ya Marekani kutaka kupewa bandari ya Bagamoyo, sijaona mtu akihusisha dini bali inahusishwa military base na unyang'anyi mwingine.

China pia hivyohivyo akitaka kupewa sehemu kuendesha watu hukosoa sana, Ila sioni wakihusisha dini.

Kwa nn wakisemwa waarabu mnakimbilia dini?
Kwa sababu imekua hivyo tangu tupate Uhuru,na hapakua na sababu kwa nini kupewa mwarabu tumekwisha sababu mwarabu hamjawahi pewa project yyte kubwa hapa tz na tukashuhudia kwisha/kuibiwa kwetu
 
Karamagi alijali sana kuhonga viongozi madola manono manono kuliko kujenga capacity in quality service delivery!!

Nilishangaa sana huyu Karamagi kuweza kumuweka hata Jiwe mfukoni!! Ngoja apumzike na TICTS yake tuone na wengine.
 
Wewe na wenzako wa hiyo dini mna inferiority.

Kuhusu watu kuwa na wasiwasi mbona hata bandari ya Bagamoyo walipinga/wanapinga kupewa mchina?

Unasema mwarabu hajawahi kupewa project kubwa tukashuhudiwa kuibiwa kwetu?

Shida wenzetu huwa mnawaona waarabu ni malaika, bado nashindwa kuelewa Kuna uhusiano gani Kati ya kuwa muumini wa dini na race ya mtu flani? Kila siku tunawatukanaa wachina na Marekani lakini sijawahi kuona watu wakihusisha na dini, Ila kwa waarabu huwa mnakuwa wakali kweli.
 
Wewe karani si mlikuwa mnasema Magufuli alikuwa anasubiri mkataba wa Ticts uishe ili awaondoe na mkaanza kulalamika sana kwamba anataka kuwahujumu ticts wasipewe mkataba mpya?
 
Wewe na wenzako wa hiyo dini mna inferiority.

Kuhusu watu kuwa na wasiwasi mbona hata bandari ya Bagamoyo walipinga/wanapinga kupewa mchina?

Unasema mwarabu hajawahi kupewa project kubwa tukashuhudiwa kuibiwa kwetu?

Shida wenzetu huwa mnawaona waarabu ni malaika, bado nashindwa kuelewa Kuna uhusiano gani Kati ya kuwa muumini wa dini na race ya mtu flani? Kila siku tunawatukanaa wachina na Marekani lakini sijawahi kuona watu wakihusisha na dini, Ila kwa waarabu huwa mnakuwa wakali kweli.
Inferiority!!!..wrong bro,tunajuana labda Kama una umri mdogo,Kama ulikuwepo wakati wa dowans na symbion utaelewa,mwarabu alipewa project gani kubwa tukaona unyang'anyi uliofanyika mpaka mtoa mada atutie hofu mwarabu kupewa bandari!!?..hiyo hofu imesukumwa na nini!?..unyang'anyi wa china na wazungu unajulikana
 
Ni kwa nn anaposemwa mwarabu huwa mnahusisha dini? Kipindi cha JK kulikuwa na story za Marekani kutaka kupewa kigamboni, mbona sikuona mtu/watu wakihusisha dini? Bali nilichoona ni kuhusisha mambo ya kijeshi na unyang'anyi?

Hata sasa kumeibuka story ya Marekani kutaka kupewa bandari ya Bagamoyo, sijaona mtu akihusisha dini bali inahusishwa military base na unyang'anyi mwingine.

China pia hivyohivyo akitaka kupewa sehemu kuendesha watu hukosoa sana, Ila sioni wakihusisha dini.

Kwa nn wakisemwa waarabu mnakimbilia dini?
Ana akili ndogo huyo achanaye.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Inferiority!!!..wrong bro,tunajuana labda Kama una umri mdogo,Kama ulikuwepo wakati wa dowans na symbion utaelewa,mwarabu alipewa project gani kubwa tukaona unyang'anyi uliofanyika mpaka mtoa mada atutie hofu mwarabu kupewa bandari!!?..hiyo hofu imesukumwa na nini!?..unyang'anyi wa china na wazungu unajulikana
Unaona sasa, hadi hapo unawaona waarabu ni malaika.

OBC hawana skendo za rushwa?
 
Back
Top Bottom