Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Ana akili ndogo huyo achanaye.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hawa watu wa hii dini wana inferiority. Ikiwa issue ya Marekani au china kusemwa huoni wakisema udini, Ila wakisemwa waarabu basi ndio udini unaingia.

Kila leo watu wanapinga china kupewa bandari ya Bagamoyo, Ila Hakuna hata mmoja aliyeingiza udini.
 
Unaona sasa, hadi hapo unawaona waarabu ni malaika.

OBC hawana skendo za rushwa?
Mbona unanisemea,una shida gani!?..nimesema wapi waarabu ni malaika!?..OBC Wana skendo za rushwa wapi!?..kathibitisha Nani?..lini waarabu waliwekeza kwetu wanafanya unyang'anyi kiasi Cha mdoa mada kudai tumekwisha!?..kasukumwa na nini kututisha juu ya uwekezaji wa waarabu!?
 
Unahitaji uthibitisho? Unaposema unyang'anyi wa wazungu na wachina unajulikana unao uthibitisho?
 
Karamagi alijali sana kuhonga viongozi madola manono manono kuliko kujenga capacity in quality service delivery!!

Nilishangaa sana huyu Karamagi kuweza kumuweka hata Jiwe mfukoni!! Ngoja apumzike na TICTS yake tuone na wengine.
Kuna meli uwa zinakaa hadi wiki 2 kule nje kusubiri kuingia bandarini,kuna nyingine ukaa pale baadae uamua kuondoka kwenda kushusha au kupakia mombasa,hii kitu sidhani kama itatokea kwa dp world
 
Wewe karani si mlikuwa mnasema Magufuli alikuwa anasubiri mkataba wa Ticts uishe ili awaondoe na mkaanza kulalamika sana kwamba anataka kuwahujumu ticts wasipewe mkataba mpya?
Nilisema wapi? Halafu mi siwezi fanya kazi ya kimaskini na dhalili ya ukarani kama wewe sawa?

Karamagi alimhonga Magufuli madola kwa madola ili andelee kubaki pale Bandarini na TICTS!! Yake
 
Bora watoke tu. Ticts wanachelewesha mizigo n vifaa hawana vya maana.
Kanyaga twende mama
 
Kwa technolojia yao ilivyo kubwa, si ajabu watu wakapunguzwa sana hapo Bandarini. Na wale wenzangu na mimi waliozoea mseleleko, wajipange tu kurudi mashambani.
Actually hicho ndicho kinachotaliwa.

Human Error ni kubwa sana kwenye utendaji mkubwa kama wa Bandari.

Robbots ndiyo majawabu sahihi.

Then numbers zinaongezeka exponentially..

Pale Rottadam kuna wafanyajazi wachache mno...

Lakini Container zinashushwa kwa Maelfu na kwa muda kidogo sana!

Hiyo ni Njia sahihi kabisa.

Heko Mh Rais.

Ticts waende kule Mtwara bado wanaweza kufanya manually kiasi fulani....
 
Ni kwa nn anaposemwa mwarabu huwa mnahusisha dini? Kipindi cha JK kulikuwa na story za Marekani kutaka kupewa kigamboni, mbona sikuona mtu/watu wakihusisha dini? Bali nilichoona ni kuhusisha mambo ya kijeshi na unyang'anyi?

Hata sasa kumeibuka story ya Marekani kutaka kupewa bandari ya Bagamoyo, sijaona mtu akihusisha dini bali inahusishwa military base na unyang'anyi mwingine.

China pia hivyohivyo akitaka kupewa sehemu kuendesha watu hukosoa sana, Ila sioni wakihusisha dini.

Kwa nn wakisemwa waarabu mnakimbilia dini?
Historia yao Kaka sio nzuri
 
Kuna meli uwa zinakaa hadi wiki 2 kule nje kusubiri kuingia bandarini,kuna nyingine ukaa pale baadae uamua kuondoka kwenda kushusha au kupakia mombasa,hii kitu sidhani kama itatokea kwa dp world
Inaweza kutokea zaidi ya hivyo, DP world sio malaika kuna nchi pia hawakuwa na ufanisi. Kikubwa waongeze ufanisi kidogo tofauti na waliopo. Kumbuka hii ni bongo
 
Nilisema wapi? Halafu mi siwezi fanya kazi ya kimaskini na dhalili ya ukarani kama wewe sawa?

Karamagi alimhonga Magufuli madola kwa madola ili andelee kubaki pale Bandarini na TICTS!! Yake
Unakataa kazi halali?
 
Back
Top Bottom