Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Mbona Arab Contractors watu walifyata mikia au kwasababu ililetwa na Jiwe?.

Tena wengine wakawa wanaikatia na viuno humu.
Walifyata? kila siku watu walikuwa wanasema arab contractors hawafai na hawana uzeoefu na ujenzi wa bwawa? Au makala za zitto kabwe ushazisahau? Na Hadi Leo bado wanaamini arab contractors hawafai wanasema Bora angepewa mchina
 
Sio size yangu.... ni size yenu machawa wa CCM huko Lumumba. Nimeacha kutegemea ajira ya mshahara 9 years ago nikiachia ngazi ya ukurugenzi wa idara... now nimewekeza nakula dividends tuuu....
Kuandika ni rahisi sana, kila mtu anaweza kusema unachosema. Kwa akili ulizo nazo hata hiyo nafasi ya ukarani ulipendelewa
 
Bila shaka kutakuwa na ufanisi kuliko walivyo hao TICTS hivi sasa.
 
Kwahiyo Zitto ni Mdini sana kwa kuwasema Arab Contractors?
Una matatizo ya akili?? Umesema kipindi Cha Magufuli wale waarabu wa kwenye bwawa watu hawakusema chochote, ndio nikakumbusha makala za zitto kuwasema hao. Na sio zitto tu wengi walikuwa wakiwasema.
 
Mnaabudu dini au race? Hapo roho inauma kweli kuona mwarabu kasemwa. Nyie watu mbona ni wajinga mliopitiliza?
Ni sawa na vile huwezi kukuta mtu auchukie uislamu halafu asiwachukie na waarabu pia.
 
Waarabu ni jamii isiyoelimika ni hatari kupewa miradi mikubwa

Kule kwao uarabuni mambo mengi ya kitaalamu wameajiri watu wa magharibi

Inakuwaje sisi tuwaamini hawa watu wasioaminika?
Walikufanya nini?
 
Hawa waarabu ni waharibifu wataharibu nchi yetu
Angalia mfano wa loliondo,ukifika loliondo ni kama upo uarabuni

Nakuhurumia nchi yangu hawa waarabu ni watu wa hovyo kabisa tuombe Mungu apatkane kiongozi atakaewafurusha
Nyei watu wengine 😀
 
Inaweza kutokea zaidi ya hivyo, DP world sio malaika kuna nchi pia hawakuwa na ufanisi. Kikubwa waongeze ufanisi kidogo tofauti na waliopo. Kumbuka hii ni bongo
Nikupe kitu,hawa wenzetu weupe wanapokuja afrika ni sisi wenyewe ndio tunawaharibu,hamna mtu asietaka kupata kwa urahisi so iwapo baadhi ya viongozi wakiweka uzalendo kando na kufikiria matumbo yao unadhani watakataa,hao dp world hamna waliposhindwa kwa europe na wanaendesha bandari kibao,kama watakuja kweli waachwe wafanye kazi yao,ni aibu bandari inayotumiwa na nchi karibia 4 halafu kuendeshwa kijinga jinga
 
DP world ni mara 1000 afadhali kuliko TICS, TICS ni wahuni fulani wa ndani wameingia ubia na kuwaingiza chaka jamaa kule Hongkong, DIP world ni wazuri lakini tu maslahi ya TAIFA yazingatiwe.
Dubai world wanamyanganya bukoba boy shavu..... Sawa tu
 
Kuandika ni rahisi sana, kila mtu anaweza kusema unachosema. Kwa akili ulizo nazo hata hiyo nafasi ya ukarani ulipendelewa
Kuna wana JF wengi humu wamefika ulaya kwaajili yangu. Siko huko uliko wewe leo mnagombania kazi za ukarani mwishowe mnadhulumiana. Pole sana na jitahidi kupambana na bahati mbaya ya kihustoria kwenu bwana wenu amelala yooo sijui nani atakuja kuwainua tena....
 
Nikupe kitu,hawa wenzetu weupe wanapokuja afrika ni sisi wenyewe ndio tunawaharibu,hamna mtu asietaka kupata kwa urahisi so iwapo baadhi ya viongozi wakiweka uzalendo kando na kufikiria matumbo yao unadhani watakataa,hao dp world hamna waliposhindwa kwa europe na wanaendesha bandari kibao,kama watakuja kweli waachwe wafanye kazi yao,ni aibu bandari inayotumiwa na nchi karibia 4 halafu kuendeshwa kijinga jinga
Shida mnaona watu weupe ni malaika. Hata kabla ya viongozi wetu kuweka kando wao pia huwaweka viongozi kando kuanzia tender mpaka utendaji. Nchi karibu nyingi hizi za ulimwengu wa tatu wanaofanya looting ni hao weupe.

Ukiwabana sana wanakutafutia namna, sio rahisi kama unavyoweza kudhani. Narudia tena DP world wanaweza kufanya kazi nzuri sana kuliko sehemu nyingine yoyote, lakini wao si malaika ndio maana nikakueleza Kuna sehemu walishindwa ufanisi
 
Back
Top Bottom