Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Ni kwa nn anaposemwa mwarabu huwa mnahusisha dini? Kipindi cha JK kulikuwa na story za Marekani kutaka kupewa kigamboni, mbona sikuona mtu/watu wakihusisha dini? Bali nilichoona ni kuhusisha mambo ya kijeshi na unyang'anyi?

Hata sasa kumeibuka story ya Marekani kutaka kupewa bandari ya Bagamoyo, sijaona mtu akihusisha dini bali inahusishwa military base na unyang'anyi mwingine.

China pia hivyohivyo akitaka kupewa sehemu kuendesha watu hukosoa sana, Ila sioni wakihusisha dini.

Kwa nn wakisemwa waarabu mnakimbilia dini?
wacha kuzungukazunguka jibu
unalo
 
View attachment 2338074

Ni wazi Ticts hana chake tena bandarini na hii ni baada ya kampuni ya waarabu wa Dubai Port kufanikiwa kuwashawishi watawala ili wawape Mkataba wa kushusha na kupakia makasha shughuli ambayo Ticts walikuwa wanaifanya hapo awali.

NB: Ile picha ya mama pale Burj inaendelea kulipa.
Suzy nimekukubali,yametimia hatimaye
 
Mkuu punguza kiherehere kwenye post za watu sijakuquote R.I.P JPM. Bora kujenga chato kuliko kuuza bandari
Huyu muache aendelee kuoza tu huko aliko RIP. Maana aliponda Bagamoyo Port halafu akaenda kujenga Airport kijijini kwao Chato kwa Billions zaidi ya Tsh 50
 
Back
Top Bottom