Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Yaani mi mwenzio naona kama awamu hii ikiemdelea, waarabu watapewa hata contract ya kufundisha Nursery school. Nasikia Zanzibar airport nayo itakuwa ni moja ya wilaya za Dubai. Maendeleo hoyeee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Zama za waarabu koko
 
Wanaowachukia wazungu wanachukia ukristo? Na wanaochukia wachina wanachukia dini gan?
Sijasema kuwa kila mwenye kuchukia race fulani basi lazima achukie na dini/imani ya hiyo race bali mimi nimezungumzia issue ya Muarabu na uislamu, labda uniambie kuwa si kweli na kwamba inawezekana mtu akawachukia waarabu ila asiuchukie uislamu na kinyume chake.
 
Hao jmaa wanakera mno unaweza kwenda kushusha mzigo ukaambiwa mashine leo haifanyi kazi ,then mzigo unaingia storage wale agent wa kutoa mizgo wanajikuta wanaingia lawama kwa wateja kumbe shida ni Ticts

Mashine ipi hiyo Yao ambayo Haifanyi kazi mkuu
 
Acha fikra potofu mkuu,hao dp wanaendesha bandari nyingi tu europe,kama sikosei hata greece na cyprus hao dp ndio waendeshaji wa hizo bandari,hata holland wana sehemu ya bandari iko chini yao,hao ni wazoefu wa hayo mambo hawana uswahili kama wa akina karamagi,kikubwa wapewe space wafanye kazi yao,naamini hamna container vessel itakayokaa bandari masaa 24 au kule nangani wiki 2 kusubiria kuingia bandarini,hao jamaa ni proffesional sio unga unga mwana
Nakubaliana nawe ndugu pia kwakuwa wanasimamia sehemu nyingi ni rahisi kwao kufunga magoli mengi zaidi kwa pande hizi za East Africa.

1661800868583.png

Kwenye po of Jebel dubai endapo wameweza kuendana na kasi ya bandari hiyo "The busy port ever, Port of dar kitu gani, tutegemee ufanisi wa ajabu kabisa!
 
Exactly, mijamaa Ina chuki kweli za kidini aisee
Nyie watu wa dini hiyo mna inferiority, kila muda mnahisi kusemwa na kuonewa. Bandari ya Bagamoyo watu walipinga kupewa wachina, je napo watu walilalamika sababu ya udini?
 
View attachment 2338074

Ni wazi Ticts hana chake tena bandarini na hii ni baada ya kampuni ya waarabu wa Dubai Port kufanikiwa kuwashawishi watawala ili wawape Mkataba wa kushusha na kupakia makasha shughuli ambayo Ticts walikuwa wanaifanya hapo awali.

NB: Ile picha ya mama pale Burj inaendelea kulipa.
Ni vizuri zaidi maana DP World ni kampuni kubwa kwenye masuala ya handling ya mizigo..
 
Wewe na wenzako wa hiyo dini mna inferiority.

Kuhusu watu kuwa na wasiwasi mbona hata bandari ya Bagamoyo walipinga/wanapinga kupewa mchina?

Unasema mwarabu hajawahi kupewa project kubwa tukashuhudiwa kuibiwa kwetu?

Shida wenzetu huwa mnawaona waarabu ni malaika, bado nashindwa kuelewa Kuna uhusiano gani Kati ya kuwa muumini wa dini na race ya mtu flani? Kila siku tunawatukanaa wachina na Marekani lakini sijawahi kuona watu wakihusisha na dini, Ila kwa waarabu huwa mnakuwa wakali kweli.
Tende,mavazi,lugha,ukaaji na utamaduni kwa jumla vimeingizwa kwenye uislamu watashindwaje kuwaabudu?
 
Umeona sasa sisi tumefundishwa mpende jirani yako kama unavyojipenda. Nyie mnafundishwa kuwa muislamu ndugu yake ni muislamu
Kama MUNGU yuko kwa ajili ya mema unaona kabisa kuna upande upo kwa ajili ya sweitwani kwa matendo yao.
 
Ni kwa nn anaposemwa mwarabu huwa mnahusisha dini? Kipindi cha JK kulikuwa na story za Marekani kutaka kupewa kigamboni, mbona sikuona mtu/watu wakihusisha dini? Bali nilichoona ni kuhusisha mambo ya kijeshi na unyang'anyi?

Hata sasa kumeibuka story ya Marekani kutaka kupewa bandari ya Bagamoyo, sijaona mtu akihusisha dini bali inahusishwa military base na unyang'anyi mwingine.

China pia hivyohivyo akitaka kupewa sehemu kuendesha watu hukosoa sana, Ila sioni wakihusisha dini.

Kwa nn wakisemwa waarabu mnakimbilia dini?
Kwasababu waarabu hawajui kutenganisha dini na biashara,wanalazimisha watu kuwa waislam yaani hawaheshimu mipaka ya imani
 
Yaani mi mwenzio naona kama awamu hii ikiemdelea, waarabu watapewa hata contract ya kufundisha Nursery school. Nasikia Zanzibar airport nayo itakuwa ni moja ya wilaya za Dubai. Maendeleo hoyeee [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mi ile kampeni yao ya kila petrol station kuna msikiti unajiuliza ina maana wana usalama hawaoni kama ni hatari?
 
Hao jmaa wanakera mno unaweza kwenda kushusha mzigo ukaambiwa mashine leo haifanyi kazi ,then mzigo unaingia storage wale agent wa kutoa mizgo wanajikuta wanaingia lawama kwa wateja kumbe shida ni Ticts
Muongo mashine ipi haifanyi kazi,kuna mashine zaidi ya 30 pale
 
Muongo mashine ipi haifanyi kazi,kuna mashine zaidi ya 30 pale

Mm pia nimejiuliza hivyo hivyo Kwa maana TICTS mashine zake kubwa Kama ssg crane [emoji911] na rtg zote zinafanya kazi 24 hours na Kuzimwa ni nadra sana labda itokee emergency
 
Back
Top Bottom