Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Aga
Mm pia nimejiuliza hivyo hivyo Kwa maana TICTS mashine zake kubwa Kama ssg crane [emoji911] na rtg zote zinafanya kazi 24 hours na Kuzimwa ni nadra sana labda itokee emergency
Sema wana chuki nayo tu kampuni nahisi sababu ni mzawa yumo mtu mweusi,huezi kuzima mashine bandarini,uzime ukaiweke wapi,maana mashine mbovu iko sehemu ya kwenda kuipaki na sehemu hiyo hakuna shuhuri ya makontena ni gereji,sasa hivi ticts wako vizuri sana,hakuna magari yanayochelewa mle,mimi juzi nimeingia na kutoka faster,swala kusubiri ni scanner ambazo ni mali ya serikali siyo ticts,mimi nilipenda ticts wangeachwa na mwarabu apewe,ili tuone mchuano,ila delay bandari hakuna sasa hivi,iwe ticts iwe tpa,chuki zinawasumbua wabongo,tena ticts wanafanya kazi in uropean way siyo local,punguzeni chuki za kijinga,
 
Awamu ya sita na waarabu dam dam.
Waarabu Ni wenzetu maana tunaoleana na tunaishi nao huku Magomeni mapipa
 
Nyie watu wa dini hiyo mna inferiority, kila muda mnahisi kusemwa na kuonewa. Bandari ya Bagamoyo watu walipinga kupewa wachina, je napo watu walilalamika sababu ya udini?
Airport ya cchato iliyogharimu billion 40, mbona hamkupinga? na sasaivi wanaanikia mpunga na mahindi nasikia
 
Tende,mavazi,lugha,ukaaji na utamaduni kwa jumla vimeingizwa kwenye uislamu watashindwaje kuwaabudu?
Kama nyie ndoa za jinsia moja mmeruhusiwa na nabii wenu Tito na papaa wa vvatican
 
Muongo mashine ipi haifanyi kazi,kuna mashine zaidi ya 30 pale
We tetea tu hujui kitu kaangalie malamiko hujawai kupitisha hata hata mfuko unapiga kelele,Nenda mamlaka kaangalie ICD ipi? Inalalamikiwa .Mashine mbovu siku nyingine hazifanyi kazi kwisha
 
Ni kwa nn anaposemwa mwarabu huwa mnahusisha dini? Kipindi cha JK kulikuwa na story za Marekani kutaka kupewa kigamboni, mbona sikuona mtu/watu wakihusisha dini? Bali nilichoona ni kuhusisha mambo ya kijeshi na unyang'anyi?

Hata sasa kumeibuka story ya Marekani kutaka kupewa bandari ya Bagamoyo, sijaona mtu akihusisha dini bali inahusishwa military base na unyang'anyi mwingine.

China pia hivyohivyo akitaka kupewa sehemu kuendesha watu hukosoa sana, Ila sioni wakihusisha dini.

Kwa nn wakisemwa waarabu mnakimbilia dini?
Kwa sababu waarabu ni wadini
 
THE HIGHST BIDER TO WIN, WE WANT THE ONE WHO WILL PAY MONE. AND NOT BLAH BLAH.
 
View attachment 2338074

Ni wazi Ticts hana chake tena bandarini na hii ni baada ya kampuni ya waarabu wa Dubai Port kufanikiwa kuwashawishi watawala ili wawape Mkataba wa kushusha na kupakia makasha shughuli ambayo Ticts walikuwa wanaifanya hapo awali.

NB: Ile picha ya mama pale Burj inaendelea kulipa.
Eti mtu akuweke tu tangazo kwenye jengo tefu hivi hivi tu, yaani bure bure tu.., tangu lini? Wanatupenda sana?
 
Hawa hutchinson ports nao sio co ndogo ni asali tu imeamuliwa wapewe watu wengine
 
Ni kwa nn anaposemwa mwarabu huwa mnahusisha dini? Kipindi cha JK kulikuwa na story za Marekani kutaka kupewa kigamboni, mbona sikuona mtu/watu wakihusisha dini? Bali nilichoona ni kuhusisha mambo ya kijeshi na unyang'anyi?

Hata sasa kumeibuka story ya Marekani kutaka kupewa bandari ya Bagamoyo, sijaona mtu akihusisha dini bali inahusishwa military base na unyang'anyi mwingine.

China pia hivyohivyo akitaka kupewa sehemu kuendesha watu hukosoa sana, Ila sioni wakihusisha dini.

Kwa nn wakisemwa waarabu mnakimbilia dini?
Naona kama "intensively" umetoa somo: kuwa deal akiingia mwarabu dini ndiyo kipaumbele na dealakiingia MMarekani, base za kijeshi haviepukiki: Moral of the story, marekani anaimarisha jeshi ili apambane na yule anayefanya mambo yote kupitia dini
 
View attachment 2338074

Ni wazi Ticts hana chake tena bandarini na hii ni baada ya kampuni ya waarabu wa Dubai Port kufanikiwa kuwashawishi watawala ili wawape Mkataba wa kushusha na kupakia makasha shughuli ambayo Ticts walikuwa wanaifanya hapo awali.

NB: Ile picha ya mama pale Burj inaendelea kulipa.
Labda umekosea!!? Ni wazungu wa Dubai ulitaka kumaanisha!!
Nawaona wazungu tuupu!
 
Mm pia nimejiuliza hivyo hivyo Kwa maana TICTS mashine zake kubwa Kama ssg crane [emoji911] na rtg zote zinafanya kazi 24 hours na Kuzimwa ni nadra sana labda itokee emergency
Ulishawai kutoa mizigo Ticts haswa kwa container nyingi?
 
View attachment 2338074

Ni wazi Ticts hana chake tena bandarini na hii ni baada ya kampuni ya waarabu wa Dubai Port kufanikiwa kuwashawishi watawala ili wawape Mkataba wa kushusha na kupakia makasha shughuli ambayo Ticts walikuwa wanaifanya hapo awali.

NB: Ile picha ya mama pale Burj inaendelea kulipa.
Sasa hv ni waarab na ndugu zetu uzao wa Ishmael kula bata,hapa afe kipa afe kipa,lazima mechi washinde,hapa inabidi niwashitue ndugu zetu wa mossad,wakae macho,itakuwa vzr, wakiweka CCTV camera huku bara kama walizoweka visiwani,
 
Back
Top Bottom