Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Hapo sasa!Ile picha kuendelea kulipa sio tatizo, tatizo ni analipwa nani?
Aisee we jamaa vp bwana hebu kunywa pesi baridi punguza mzukaMi naona hata bandari waiuze poa tu.
Wasiishie hapo tu hata watanzania wote tuuzwe tu..Mi naona hata bandari waiuze poa tu.
Faru,Tembo ......Kama mwarabu kapewa bandari tumeisha
Ni swala la muda tu
Uharibifu mkubwa unaenda kutokea ktk nchi yetu
Hapo umesema mwarabu lakini kilichokusukuma ni dini yakeKama mwarabu kapewa bandari tumeisha
Ni swala la muda tu
Uharibifu mkubwa unaenda kutokea ktk nchi yetu
Nakuunga mkono watuoe kabisaWasiishie hapo tu hata watanzania wote tuuzwe tu..
Ticts ya karamagi ni wangese Sana!Ticts wanakwamishashughuli za uondoshaji wa shehena ,vifaa vichache Bora watoke
Ni kwa nn anaposemwa mwarabu huwa mnahusisha dini? Kipindi cha JK kulikuwa na story za Marekani kutaka kupewa kigamboni, mbona sikuona mtu/watu wakihusisha dini? Bali nilichoona ni kuhusisha mambo ya kijeshi na unyang'anyi?Hapo umesema mwarabu lakini kilichokusukuma ni dini yake