Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Lol 10 months later.......mama anaupiga mwingi,kazi iendeleeeeee.....
 
wacha kuzungukazunguka jibu
unalo
 
Suzy nimekukubali,yametimia hatimaye
 
Mkuu punguza kiherehere kwenye post za watu sijakuquote R.I.P JPM. Bora kujenga chato kuliko kuuza bandari
Huyu muache aendelee kuoza tu huko aliko RIP. Maana aliponda Bagamoyo Port halafu akaenda kujenga Airport kijijini kwao Chato kwa Billions zaidi ya Tsh 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…