Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Warabu wametia aibu soka la Africa kwa kumbagua Mwafrica mwenzao Kwa kumwita Kaffir, yaani mtu mweusi mchafu na anayenuka kama mzoga

Rulan Mokwena ni Coach wa Wydad Casablanca ya Morocco, zamani alikuwa coach wa Mamelod sundown ya Africa Kusini

Ubaguzi huo umefanywa na Moja ya viongozi wa benchi la ufundi la IR Tanger katika mchezo uliomalizika kwa suluhu

Siyo uungwana kumbagua mwenzako Kwa tusi la KAFFIR. Kamati kuu ya CAF itakaa kufanya maamuzi ya adhabu kwa hao waliomwita Coach Rulan Mokwena Kaffir
 
Mbona sisi tunawaita waarabu koko 😀
 
Ulikuwepo kwenye hilo "benchi la ufundi"?
 
makobaz dawa yao israel...acha mwamba trump aingiee dozii iongezweee....ila naye huyu mchamba wima kazingua, anatembea na fungu kubwa la gazetiii mazee...wasauzi na wakenya ni wamojaaa kwa hili, wanadunda mjini huku wakuinuka mafwii mazee
 
Mbona katika maelezo yako inaonekana ni mtu MMOJA tu ndiye amemuita hivyo?? Lakini heading inasema Waarabu (pamoja na kwamba umeandika "Warabu") ukimaanisha ni wengi.

Kwa upande mwingine mbona humu JF baadhi ya Waislam huwa wanasema neno Kaffir siyo tusi?!!! Wanasema maana yake ni mtu ambaye hamuamini au kumuabudu Allah!!


Kwa kuwa kila mtu anamuabudu Mungu anayemuamini yeye basi kama mimi naamini Mungu Baba muumba vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana na mtu mwingine haamini ninayoamini mimi na yeye ni Kaffir!!! Kama wengine wanaamini Ng'ombe ndiyo Mungu, mimi ambaye siamini hivyo ni Kaffir kwa mtu huyo.

Kwa hiyo let us take things SIMPLE or EASY!!! AMINI UNACHOAMINI. Kila mtu ni Kaffir kwa mtu anayeamini tofauti na mwingine.
 
Kaburu botha aliwaita makafir watu weusi kabla ya hao waarabu!
 
KAFFIR ni tusi baya
Mtu akiniita KAFFIR laZima nimtie adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…