Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

Allah Anatwambia kwenye Quran kuwa Ametuumba tofauti kwa makabila na jinsia ili tupate kutambuana. Lkn mbora wetu miongoni mwetu ni mwenye kumcha Allah
Kubagua kupo kwenye khulka ya mtu na wala sio kabila wala Dino yake.
Wahindi wapo nchi mmoja na wanabaguana wenyewe kwa wenyewe kwa makabila yao na rangi zao.
hiyo video 🤣.
ama kweli watu weusi hatuna rafiki 🤣
 
Warabu wametoa aibu soka la Africa Kwa kumbagua Mwafrica mwenzao Kwa kumwita Kaffir, yaani mtu mweusi mchafu na anayenuka kama mzoga

Rulan Mokwena ni Coach wa Wydad Casablanca ya Morocco, zamani alikuwa coach wa Mamelod sundown ya Africa kusin

Unaguzi huo umefanywa na Moja ya viongozi wa bech la ufundi la IR Tanger katika mchezo uliomalizika Kwa suluhu

Siyo uungwana kumbagua mwenzako Kwa tusi la KAFFIR
Kamati kuu ya CAF itakaa kufanya maamzi ya adhabu Kwa hao waliomwita Coach Rulan Mokwena Kaffir
Source ?
 
Jina kafiri unatakiwa ulizoee tu hasa kama unaamini kuna miungu wengi kama mungu mwana , mungu baba na miungu wengine.
Wewe una ubora Gani kumwita mtu KAFFIR?
Heshimu Imani ya mtu asiyeamini unachokiamini kama wewe w usivyoamini anachokiamini
 
Wamorocco wanajulikana kwa ubaguzi, kila mtu mweusi wa Afrika anapaswa kujua hilo...

Nchi tu yenyewe inajilaani kuwa sehemu ya ardhi ya bara la Afrika...
Umenikumbusha Morocco walivoingia kwenye semifinals World cup, walivowachana watu kuwa wao sio waafrica kwa hio waafrica tusijisifie sn km bara letu limeingia semifinals
 
Back
Top Bottom