Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

"kaffir" wamelitumia wazungu kuwaita watu weusi. Wazungu wa Afrika Kusini walilitumia kwa wote waliokuwa wanapigania uhuru, waliwaita n"kaffir".

"kaffir" wamelitumia Waarabu likimaanisha kumpinga Mwenyezi Mungu. Chochote kilichokatazwa na Muumba wetu wewe ukikifanya basi ni "kaffir" kwa Kiarabu.

kafiri, makafiri, ni wenye kukufuru kwa Kiswahili.
Nimekuuliza mbona haunijibu? Bikra yako ilitolewa na nani?
 
Allah Anatwambia kwenye Quran kuwa Ametuumba tofauti kwa makabila na jinsia ili tupate kutambuana. Lkn mbora wetu miongoni mwetu ni mwenye kumcha Allah
Kubagua kupo kwenye khulka ya mtu na wala sio kabila wala Dino yake.
Wahindi wapo nchi mmoja na wanabaguana wenyewe kwa wenyewe kwa makabila yao na rangi zao.
Hulka za mtu husukwa na mapokeo yake yote, dini zikiwemo, siasa, elimu, nk... Waarabu wanafanana sana katika huo upuuzi wa kubagua wasio wa Imani zao, na hasa watu weusi.
Ni malimbukeni Fulani hivi wanaopaswa kufundishwa Kwa njia ngumu.
 
Na huyo pastor hapo kafungamana na mafundisho gani?
 
Binafsi uwe muislamu uwe mkristo,
Ukiniita kafiri, nitakuita Kafiri pia.
Ukisema Babu yangu ni shetani, Allah wako na Yesu nitawaita mashetani pia.
Ukisema sijastaarabika, nitakuita hayawani.
Ukisema Ibada zangu ni ushirikina, nitasema makanisa yenu na misikiti imejaa uchawi na ufuska.
Ukijiona Bora zaidi yangu, nitakuona duni zaidi yangu.

Ukiniheshimu, Nitakuheshimu.
 
Huo naamini ni ujinga uliojazwa nao.

Waarabu wenyewe wengi weusi. Kama ulibaguliwa na mtu mweupe, badi kwa kuwa umeaminidhwa mungu wako ni mweupe, unshindwa kuwa mkweli.

Halafu kumbuka kuwa Uarabu siyo Uislam.
 
kafiri ni yule anaepinga mwongozo wa Muumba wetu. "usizini" qwewe unazini, hapo wewe ni kafiri.

Kama unajijuwa unafanya uliyokatazwa na Muumba wako, basi wewe ni kafiri.
Shukrani sana FaizaFoxy kwa maana hiyo hakuna mtu hapa duniani ambaye siyo kafiri. Binadamu WOTE hapa duniani including you and me na viongozi wa dini zote ni makafiri. No human being is perfect!!!
 
Na huyo pastor hapo kafungamana na mafundisho gani?
Huyo nae ni Kafiri kama huyo muarabu aliyemuita Mokwena Kafiri.
Halafu hoja ilikuwa Arabs against Afrikans, hilo halihalalishwi na vile wazungu wanavyotufanyia waafrika.

Hao na wengine wote ni makafiri.
 
Binafsi uwe muislamu uwe mkristo,
Ukiniita kafiri, nitakuita Kafiri pia.
Ukisema Babu yangu ni shetani, Allah wako na Yesu nitawaita mashetani pia.
Ukisema sijastaarabika, nitakuita hayawani.
Ukisema Ibada zangu ni ushirikina, nitasema makanisa yenu na misikiti imejaa uchawi na ufuska.
Ukijiona Bora zaidi yangu, nitakuona duni zaidi yangu.

Ukiniheshimu, Nitakuheshimu.
Kwa hayo wewe ni katika wastaarabu. Nimekuelewa.

Unafajhamu maana ya ustaarabu?
 
Shukrani sana FaizaFoxy kwa maana hiyo hakuna mtu hapa duniani ambaye siyo kafiri. Binadamu WOTE hapa duniani including you and me na viongozi wa dini zote ni makafiri. No human being is perfect!!!
Hayo ni mawazo yako na upo huru kwa muono wako finyu.

Mimi nitowe katika hao wote, mimi siyo kafiri.
 
Huo naamini ni ujinga uliojazwa nao.

Waarabu wenyewe wengi weusi. Kama ulibaguliwa na mtu mweupe, badi kwa kuwa umeaminidhwa mungu wako ni mweupe, unshindwa kuwa mkweli.

Halafu kumbuka kuwa Uarabu siyo Uislam.
Ni hivyo tu, UKINIITA KAFIRI KWA KUTOKUWA MUISLAMU, NITAKUITA KAFIRI PIA KWA KUWA KWAKO MUISLAMU.
 
Walisema tena sio mara moja itakua hujui lugha acha kujipendekeza Kwa waarabu kwao mtu mweusi wanakuona kama Mavi tu acha shobo
Ni nani aliesema hiyo kauli, maana ninaefahamu alitoa kauli iliyotafsiriwa tofauti na sisi waafrika ni Sofiane Boufal aliesema "ushindi wao anautoa kama shukrani kwa wamoroko wote, waarabu wote na waislam popote duniani waliowapa support"

Niomeshe ni wapi alitamka kuwa wao sio waafrika na waafrika wasishobokee ushindi wao.
 
Soma kijana.

Wewe hapo ulipo asilimia kubwa ya maneno unayotumia ni Kiarabu, International Language ya kwanza duniani.
Kiswahili ni lugha ya viasilia ambayo ni kibantu kwa zaidi ya 90 asilimia. Miarabu na ile mi afrika ya hovyo ya zamani yaliyokuwa yanajipendekeza kwa mkoloni sultani ndio yalikuwa yanachukua maneno wanayoyatumia mabwana zao na kujali kikinajisi lugha yetu ya kibantu. Kwa sababu hiyo ndio maana luha yetu imechakachuliwa. Hata baada ya kuondoka waarabu waliibuka waarabu weusi ambao walijifanya ndio waendelezaji wa lugha wengi wakiwa ni waamini wa dini ya mwarabu. Kila kitu kipya kinapoibuka wanaokwenda kuchukua neno la kiarabu. Lengo lao wanataka wakiue kiswahili ili kiwe kiarabu ona mfano neno walilolileta MUBASHARA badala ya LIVE la kizungu. Nashukuru jamii imelikaushia linaanza kufutika na tumerudi LIVE
Soma kijana.

Wewe hapo ulipo asilimia kubwa ya maneno unayotumia ni Kiarabu, International Language ya kwanza duniani.
 
Back
Top Bottom