Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

Wamorocco wanajulikana kwa ubaguzi, kila mtu mweusi wa Afrika anapaswa kujua hilo...

Nchi tu yenyewe inajilaani kuwa sehemu ya ardhi ya bara la Afrika...
Pamoja na hilo ni vyema utafutaji wako uwe katika mazingira rafiki, siyo unalipwa huku unasimangwa kwa matusi.
 
Hilo neno "kaffir" linatumika sana Afrika kusini". Tanzania tuna neno kafiri ambalo lipo hata kwenye biblia.

Unaelewa kutofautisha kaffir ya Kiarabu ya Afrika Kusini na kafiri ya kwenye biblia na Qur'an.

Na amaan ya yote hayo siyo aliyoileta mleta mada, sijalkutana mahali na maana hiyo.

Wewe unafahamu kaitowa wapi?
Afrika wapi? Kabla ya kujali kwa waarabu afrika hilo neno lilikuwepo? Hiyo mijitu mifuga ndevu dio imeleta maneno hayo na kuwaachia waswahili wasiokuwa na UBONGO wa kutosha ndio wanawabagua na kuwatukana waafrika wenzao kwa kutumia neno hilo kisasa hufuati dini ya mwaarabu
 
kafiri ni yule anaepinga mwongozo wa Muumba wetu. "usizini" qwewe unazini, hapo wewe ni kafiri.

Kama unajijuwa unafanya uliyokatazwa na Muumba wako, basi wewe ni kafiri.
Mtu anayepinga mwongozo wa muumba, wewe utamjuaje ikiwa siyo muumba wake aonaye sirini
Kwani muumba alikuajiri wewe kusimamia sheria zake na kumwajibisha wasiofuata amri zake
Mbona mnakufuru Kwa kuhukumu wenzenu
We unajifanya kujua dhambi za wenzako, nakuwahukumu
 
Afrika wapi? Kabla ya kujali kwa waarabu afrika hilo neno lilikuwepo? Hiyo mijitu mifuga ndevu dio imeleta maneno hayo na kuwaachia waswahili wasiokuwa na UBONGO wa kutosha ndio wanawabagua na kuwatukana waafrika wenzao kwa kutumia neno hilo kisasa hufuati dini ya mwaarabu
Soma kijana.

Wewe hapo ulipo asilimia kubwa ya maneno unayotumia ni Kiarabu, International Language ya kwanza duniani.
 
Pamoja na hilo ni vyema utafutaji wako uwe katika mazingira rafiki, siyo unalipwa huku unasimangwa kwa matusi.

Kwenye hii habari inaonesha kakutana na maswaibu toka kwa timu pinzani, sio timu yake...
 
Sitetei ujinga, kuna kitu kikubwa sana nafundisha hapa, kuna kafiri na Kaffir.

Nimepitia kamusi kamusi za mtandaoni sijaona hiyo maana aliyoileta mleta mada. Ndiyo najaribu kuelewa maana hiyo kaitowa wapi? Au wewe unafahamu?
Dada yangu FaizaFoxy naomba unieleze tofauti ya hayo maneno please, Kafiri na Kaffir. Mimi huwa nadhani ni sawa kwamba tofauti ni lugha tu. Kwamba la kwanza limeandikwa kiswahili na la mwisho kiarabu!!!🤦🏽‍♂️
 
Umenikumbusha Morocco walivoingia kwenye semifinals World cup, walivowachana watu kuwa wao sio waafrica kwa hio waafrica tusijisifie sn km bara letu limeingia semifinals
Hawakusema hivyo, kuna vitu tunajazana uongo kwa story za mitaani. Kaitafute tena hiyo speech ya kapteni wao uisikilize ama kuisoma ukiwa umetulia.
 
Mtu anayepinga mwongozo wa muumba, wewe utamjuaje ikiwa siyo muumba wake aonaye sirini
Kwani muumba alikuajiri wewe kusimamia sheria zake na kumwajibisha wasiofuata amri zake
Mbona mnakufuru Kwa kuhukumu wenzenu
We unajifanya kujua dhambi za wenzako, nakuwahukumu
Mbona myepesi sana na tunayaishi. Mfano Muumba wetu anasema yeye ni mmoja tu, wewe unasema wako watatu.

Hapo umempinga au hujampinga?

Kama umempinga basi ni kafiri.
 
Mbona myepesi sana na tunayaishi. Mfano Muumba wetu anasema yeye ni mmoja tu, wewe unasema wako watatu.

Hapo umempinga au hujampinga?

Kama umempinga basi ni kafiri.
Hilo jukumu alikupa nani ya kuhukumu wasioamini usichoamini
 
Warabu wametia aibu soka la Africa Kwa kumbagua Mwafrica mwenzao Kwa kumwita Kaffir, yaani mtu mweusi mchafu na anayenuka kama mzoga

Rulan Mokwena ni Coach wa Wydad Casablanca ya Morocco, zamani alikuwa coach wa Mamelod sundown ya Africa kusin

Unaguzi huo umefanywa na Moja ya viongozi wa bech la ufundi la IR Tanger katika mchezo uliomalizika Kwa suluhu

Siyo uungwana kumbagua mwenzako Kwa tusi la KAFFIR
Kamati kuu ya CAF itakaa kufanya maamzi ya adhabu Kwa hao waliomwita Coach Rulan Mokwena Kaffir
Walikataa kuwa wao sio waafrika. Kafir ni mtu asiye muislam
 
Hawakusema hivyo, kuna vitu tunajazana uongo kwa story za mitaani. Kaitafute tena hiyo speech ya kapteni wao uisikilize ama kuisoma ukiwa umetulia.
Walisema tena sio mara moja itakua hujui lugha acha kujipendekeza Kwa waarabu kwao mtu mweusi wanakuona kama Mavi tu acha shobo
 
Dada yangu FaizaFoxy naomba unieleze tofauti ya hayo maneno please, Kafiri na Kaffir. Mimi huwa nadhani ni sawa kwamba tofauti ni lugha tu. Kwamba la kwanza limeandikwa kiswahili na la mwisho kiarabu!!!🤦🏽‍♂️
"kaffir" wamelitumia wazungu kuwaita watu weusi. Wazungu wa Afrika Kusini walilitumia kwa wote waliokuwa wanapigania uhuru, waliwaita n"kaffir".

"kaffir" wamelitumia Waarabu likimaanisha kumpinga Mwenyezi Mungu. Chochote kilichokatazwa na Muumba wetu wewe ukikifanya basi ni "kaffir" kwa Kiarabu.

kafiri, makafiri, ni wenye kukufuru kwa Kiswahili.
 
Back
Top Bottom