Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Ninafurahi kuona jina Kafiri likikuumizaKAFFIR mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninafurahi kuona jina Kafiri likikuumizaKAFFIR mwenyewe
Kafiri sio tusi, ni mtu asiyeamini, kwa mkristo kafiri ni muislamu na muislamu kafiri ni mkristo au mtu mwenye imani tofauti na uislamu.KAFFIR ni tusi baya
Mtu akiniita KAFFIR laZima nimtie adabu
Toka nilipoanza kuzijuwa, sijaweka kumbukumbu ya tarehe.umeanza kufuata sheria za muumba tangu lini?
Je umewahi kuzini?Toka nilipoanza kuijuwa, sijaweka kumbukumbu ya tarehe.
Vipi wewe?
Pamoja na hilo ni vyema utafutaji wako uwe katika mazingira rafiki, siyo unalipwa huku unasimangwa kwa matusi.Wamorocco wanajulikana kwa ubaguzi, kila mtu mweusi wa Afrika anapaswa kujua hilo...
Nchi tu yenyewe inajilaani kuwa sehemu ya ardhi ya bara la Afrika...
Afrika wapi? Kabla ya kujali kwa waarabu afrika hilo neno lilikuwepo? Hiyo mijitu mifuga ndevu dio imeleta maneno hayo na kuwaachia waswahili wasiokuwa na UBONGO wa kutosha ndio wanawabagua na kuwatukana waafrika wenzao kwa kutumia neno hilo kisasa hufuati dini ya mwaarabuHilo neno "kaffir" linatumika sana Afrika kusini". Tanzania tuna neno kafiri ambalo lipo hata kwenye biblia.
Unaelewa kutofautisha kaffir ya Kiarabu ya Afrika Kusini na kafiri ya kwenye biblia na Qur'an.
Na amaan ya yote hayo siyo aliyoileta mleta mada, sijalkutana mahali na maana hiyo.
Wewe unafahamu kaitowa wapi?
Kwamba wewe uliolewa na bikra yako?Sijawahi.
Ukafiri huo.
Mtu anayepinga mwongozo wa muumba, wewe utamjuaje ikiwa siyo muumba wake aonaye sirinikafiri ni yule anaepinga mwongozo wa Muumba wetu. "usizini" qwewe unazini, hapo wewe ni kafiri.
Kama unajijuwa unafanya uliyokatazwa na Muumba wako, basi wewe ni kafiri.
Ukigusa mwarabu basi moja kwa moja umeuchoma kisu mtima wa FaizaFoxy lazima akurukie mzima mzima.Mtu hai atanukaje kama mzoga?
Kwani uarabu una ubora Gani dhidi ya mtu mweusi?
Soma kijana.Afrika wapi? Kabla ya kujali kwa waarabu afrika hilo neno lilikuwepo? Hiyo mijitu mifuga ndevu dio imeleta maneno hayo na kuwaachia waswahili wasiokuwa na UBONGO wa kutosha ndio wanawabagua na kuwatukana waafrika wenzao kwa kutumia neno hilo kisasa hufuati dini ya mwaarabu
Pamoja na hilo ni vyema utafutaji wako uwe katika mazingira rafiki, siyo unalipwa huku unasimangwa kwa matusi.
Dada yangu FaizaFoxy naomba unieleze tofauti ya hayo maneno please, Kafiri na Kaffir. Mimi huwa nadhani ni sawa kwamba tofauti ni lugha tu. Kwamba la kwanza limeandikwa kiswahili na la mwisho kiarabu!!!🤦🏽♂️Sitetei ujinga, kuna kitu kikubwa sana nafundisha hapa, kuna kafiri na Kaffir.
Nimepitia kamusi kamusi za mtandaoni sijaona hiyo maana aliyoileta mleta mada. Ndiyo najaribu kuelewa maana hiyo kaitowa wapi? Au wewe unafahamu?
Hawakusema hivyo, kuna vitu tunajazana uongo kwa story za mitaani. Kaitafute tena hiyo speech ya kapteni wao uisikilize ama kuisoma ukiwa umetulia.Umenikumbusha Morocco walivoingia kwenye semifinals World cup, walivowachana watu kuwa wao sio waafrica kwa hio waafrica tusijisifie sn km bara letu limeingia semifinals
Mbona myepesi sana na tunayaishi. Mfano Muumba wetu anasema yeye ni mmoja tu, wewe unasema wako watatu.Mtu anayepinga mwongozo wa muumba, wewe utamjuaje ikiwa siyo muumba wake aonaye sirini
Kwani muumba alikuajiri wewe kusimamia sheria zake na kumwajibisha wasiofuata amri zake
Mbona mnakufuru Kwa kuhukumu wenzenu
We unajifanya kujua dhambi za wenzako, nakuwahukumu
Walikataa kuwa wao sio waafrika. Kafir ni mtu asiye muislamWarabu wametia aibu soka la Africa Kwa kumbagua Mwafrica mwenzao Kwa kumwita Kaffir, yaani mtu mweusi mchafu na anayenuka kama mzoga
Rulan Mokwena ni Coach wa Wydad Casablanca ya Morocco, zamani alikuwa coach wa Mamelod sundown ya Africa kusin
Unaguzi huo umefanywa na Moja ya viongozi wa bech la ufundi la IR Tanger katika mchezo uliomalizika Kwa suluhu
Siyo uungwana kumbagua mwenzako Kwa tusi la KAFFIR
Kamati kuu ya CAF itakaa kufanya maamzi ya adhabu Kwa hao waliomwita Coach Rulan Mokwena Kaffir
Walisema tena sio mara moja itakua hujui lugha acha kujipendekeza Kwa waarabu kwao mtu mweusi wanakuona kama Mavi tu acha shoboHawakusema hivyo, kuna vitu tunajazana uongo kwa story za mitaani. Kaitafute tena hiyo speech ya kapteni wao uisikilize ama kuisoma ukiwa umetulia.
"kaffir" wamelitumia wazungu kuwaita watu weusi. Wazungu wa Afrika Kusini walilitumia kwa wote waliokuwa wanapigania uhuru, waliwaita n"kaffir".Dada yangu FaizaFoxy naomba unieleze tofauti ya hayo maneno please, Kafiri na Kaffir. Mimi huwa nadhani ni sawa kwamba tofauti ni lugha tu. Kwamba la kwanza limeandikwa kiswahili na la mwisho kiarabu!!!🤦🏽♂️