Kweni Watanzania wenye asili ya kiarabu hawapo?Hizi biashara za mabasi Waarabu ndio watu sahihi.
Sijajuwa kama waliomba na kunyimwa, najuwa tender karibu zote zina malobbyist lakini muhimu kampuni iwe na uwezo.Kweni Watanzania wenye asili ya kiarabu hawapo?
FuatiliaBunge limepitisha au huo mradi ni wa mtu binafsi, walitangaza tender mh!
huo mradi bro unahitaji mtaji mkubwa sana,hao jamaa ndio wanaendesha hizo biasha nchi nyingi sanaKweni Watanzania wenye asili ya kiarabu hawapo?
Hizi biashara za mabasi Waarabu ndio watu sahihi.
Akili Yako kiongozi Kuna kitu hakipo sawaHakina kitu mtu mweusi anawezafanya zaidi ya ngono na kucheza ngoma