Waarabu wakija kushtuka, tayari watakuwa wamemalizwa kwa unafiki wa Iran

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
2,120
Reaction score
2,709
Iko hivi, kwa sasa israel hana sababu ya kuipiga tena gaza, kwakuwa jamaa wameshasalimu amri, na kuna harakati nyingi za maandamano na malalamiko kutoka kwa watu wa haki za binadamu na activits wengi kwa ajili ya maandamamo dhidi ya israel.

Sasa Mazayuni bado wanataka kuimaliza kabisa Gaza na Wapalestina wote na ikiwezekana Waarabu wote, lakini sababu haipo tena kwa sasa

Kwahiyo kaamua kumtumia waajemi wayahudi wenzao eti kujidai wanapiga mabomu iran ili isrel ipate sababu ya kuendelea na mauaji ya raia na watoto, ikitokea isrel ikaipiga iran direct, basi uzi huu na ufungwe na mie nipigwe ban hata ya mwaka.

Ila haitatokea isrel na iran kupigana kwa kuwa wote ni Wayahudi.

Na ndio maana eti sasa baada ya miezi tisa eti ndio iran anaingilia?

Povu ruksa
Ukitukana nakusomea albadiri
 
SHekhe mbona muoga?
Vua kobaz kimbia wanakuja na mawe😆
Hakuna woga hapa, huo ndio ukweli

Iran na israel na usa ni baba moja, mama moja, hutasikia wakipigana hwa, ni hadaa tu kwa ulimwengu ila lao ni moja,
Wewe irana na usa na israil leo ni miaka zaidi ya 60 ni vita ya maneno tu?
 
Vita ya waajemi na Waisraeli haijaanza leo.

Tangu wakati wa wafalme

1. King Cyrus( Koreshi Mkuu)
2.Dario(Darius)
3. Ahasuero
4. Atashasta
Ingawa katika Historia hawa waajemi wamekuwa na Huruma sana kwa Waisraeli.

Utakumbuka Nyaraka zilizoandikwa na Dario kuwa ikifika miaka fulani wayahudi waachiwe utumwani warudi kwao Yerusalem, tukio ambalo lilikuja kutekelezwa na Ahasuero na Atashasta baada ya kusoma Nyaraka hizo Ikulu kwao.
 
Si unaona sasa,
Asante sana, lete vitu
 
Kamanda wa Jeshi na Intelijensia Hamani alipotaka kuwaua wayahudi wote na kina Modekai kwa kutotii ufalme na Serikali ya Atashasta

Basi kibao kikamgeukia yeye, akatundikwa mtini akafa.

Waajemi wana undugu wa kiroho sio wa kikabila na Israeli.
Kabisa mkuu, hawa ni mayahudi wote
Hilo halina shaka

Ingawa hizo story unasema mie naziunga mkono kwa kuwa ni mtazamo wangu ila ukweli wewe ndio unaujua zaidi
 
Iko hivi, kwa sasa israel hana sababu ya kuipiga tena gaza, kwakuwa jamaa wameshasalimu amri, na kuna harakati nyingi za maandamano na malalamiko kutoka kwa watu wa haki za binadamu na activits wengi kwa ajili ya maandamamo dhidi ya israel.

Sasa Mazayuni bado wanataka kuimaliza kabisa Gaza na Wapalestina wote na ikiwezekana Waarabu wote, lakini sababu haipo tena kwa sasa

Kwahiyo kaamua kumtumia waajemi wayahudi wenzao eti kujidai wanapiga mabomu iran ili isrel ipate sababu ya kuendelea na mauaji ya raia na watoto, ikitokea isrel ikaipiga iran direct, basi uzi huu na ufungwe na mie nipigwe ban hata ya mwaka.

Ila haitatokea isrel na iran kupigana kwa kuwa wote ni Wayahudi.

Na ndio maana eti sasa baada ya miezi tisa eti ndio iran anaingilia?

Povu ruksa
Ukitukana nakusomea albadiri
1. Umeongea kwa shauku, hauujui mustakabadhi wa hii vita( mauaji ya kinyama) na significance yake ni nini.
2. Hauijui dini imeongelea nini kwenye hii vita.
3. Haufuatilii siasa ya dunia
4. Hauja chunguza chanzo cha mauaji haya, historia za haya mataifa mawili na haujaumiza kichwa kujua muelekeo wa hii vita.
5. Hauwajui wa Israel vzuri wala historia yao na mataifa mengine, na kwanin hili ndio taifa (ninadhani) linalochukiwa zaidi duniani, chini ya jua hawakosi kwenye top5 ya mataifa katili na yenye roho mbaya zaidi duniani.

Nimejiridhisha haujafanya uchunguzi ila umeandika tu huu uzi kutokana na fikra n mapenzi yako. Uhalisia upo tofauti tena saaaaaana
 
Bado haiondoi ukeli kwamba iran na Israel wote ni mayahudi
Hakuna wa kumpiga mwenzake hapo wote ni wamoja,
Hawatakaa wapigane mpaka kiyama hao
 
Ushia umeanzishwa na mayahudi
Ni kweli Ila sasa cha ajabu hao mashia ambao mnasema ni makafiri leo hii ndio angalau wanawatetea wapalestina. Iran, wa huothi wa yemen, hezbollah wa lebanon ndo maadui wakubwa waliobaki kwa israel na wote ni shia. Hata hamas sio shia lakini misaada mingi wanapata kutoka kwa hezbollah na iran sio saudia au nchi yoyote ya sunni. Wakat washia wanapambana na israel nchi kubwa za sunni wameshindwa kufanya chochote kile kutetea wasunni wenzao huko gaza. Saudia ndo kwanza wametangaza kwamba watafanya mazungumzu ya amani na israel ila wanasubiri vita iishe kwanza. Kiufupi sasa hivi iran ndio mtetezi wa wapalestina hii ni aibu sana kwa waislamu wote duniani.
 
Uache kuvuta bangi ukiwa chooni tena choo kisicho na bati mchana jua kali.
Ushia haukuanzishwa na myahudi.
PIa huu utumbo ulioandika ni uongo.
Ngumi za Shia na Sunni zimeanza
 
Back
Top Bottom