Hakuna cha ngumi aache uongo.Ngumi za Shia na Sunni zimeanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha ngumi aache uongo.Ngumi za Shia na Sunni zimeanza
Haya mafundisho wanayo Salafi wa kitanzania. Mimi sunni. Ila Salafi wa Tz tangu juzi wao ndiyo kauli zao.Hakuna cha ngumi aache uongo.
Ni kweli kabisaa..Ushia umeanzishwa na mayahudi
Hao Saudia ndiyo wenye dini husika na ndipo ilianzia, sasa unaanzaje kuwapinga kama kweli wewe ni kobaz?Saudi kakiri kuisadia Israel dhidi ya Iran lakini hautosikia wakilizungumza hili.
Ni kweli Ila sasa cha ajabu hao mashia ambao mnasema ni makafiri leo hii ndio angalau wanawatetea wapalestina. Iran, wa huothi wa yemen, hezbollah wa lebanon ndo maadui wakubwa waliobaki kwa israel na wote ni shia. Hata hamas sio shia lakini misaada mingi wanapata kutoka kwa hezbollah na iran sio saudia au nchi yoyote ya sunni. Wakat washia wanapambana na israel nchi kubwa za sunni wameshindwa kufanya chochote kile kutetea wasunni wenzao huko gaza. Saudia ndo kwanza wametangaza kwamba watafanya mazungumzu ya amani na israel ila wanasubiri vita iishe kwanza. Kiufupi sasa hivi iran ndio mtetezi wa wapalestina hii ni aibu sana kwa waislamu wote duniani.
saudigazette.com.sa
Hata ukipigwa Ban si unachukua ID yakoo nyingine tu unarud.ikitokea isrel ikaipiga iran direct, basi uzi huu na ufungwe na mie nipigwe ban hata ya mwaka.
Salamaleko shekh,!Shia "kusaidia" Hamas sio kwa sababu wanawapenda Waislam au wanataka kuikomboa Al-Aqsa. Bali ni kwa sababu wanasukuma agenda zao pale mashariki ya kati. "Kusaidia" kwao Hamas pale Gaza ni ili ionekane wanajali mno kuhusu masuala ya Waislam na inapotokea umewagusa katika agenda zao ovu uonekane unawapinga Wapalestina au uko dhidi ya Waislam.
Kusema kuwa Waislam hawafanyi chochote kuhusu ndugu zao Waislam sio kweli. Sema tu hawawapi silaha na kuwashawishi kuwapiga mayahudi halafu mayahudi wakawageukia wakawaua kwa maelfu huku wao wakikaa nyuma na kutazama bila ya kuingilia. Hilo kweli mataifa ya Kiislam hawajafanya, kuwafanyia khiana ndugu zao. Japo wana udhaifu (Allah awape nguvu) ila sio kweli hawana msaada wowote na ndugu zao.
Ila Iran wana agenda zao za kueneza ushia wao na kujaribu kuzivuruga nchi za kiislam. Suala la al-Quds ni geresha tu.
Kama kweli ingetaka kuisaidia Gaza wangeingia tokea Oct 7 au siku zile za mwanzo kama walivyoahidi. Wanasema wanapambana na mazayuni lakini mara mabomu wanarusha Syria na Pakistan na kuua Waislam.
Hiyo juzi wamerusha "fireworks" huko dola la kizayuni ambazo hazijaleta madhara. Hazijaua mzayuni wala kuleta uharibifu mkubwa. Tena wametoa taarifa masaa mengi kabla hawajarusha na waliporusha yamechukua masaa mengi kufikia mazayuni hivyo kuwapa muda mrefu kujiandaa kuyadondosha. Ila hawafanyi hivyo wanapoua Waislam huko Syria, Iraq au Lebanon.
Hivyo hakuna lolote.
Lakini pia hata kama ni kweli wangekuwa hasa wanawasaidia Waislam kiukweli hasa. Bado hatutosahau uovu wao, ushirikina wao wa kuwaabudu wengine pamoja na Allah, itikadi zao potofu ikiwemo kuwakufurisha na kuwatukana Maswahaba wengi wa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) hasa Abubakar, Umar na Uthman na wengine katika wale kumi waliobashiriwa pepo ukimtoa 'Aliy (Allah awaridhie wote). Na 'Aliy mwenyewe wamechupa mipaka juu yake mpaka kufikia kumpa daraja ya uungu, Ametakasika Allah na wanayomshirikisha nayo. Wanawatukana na kuwakufurisha wengi wa Mama zetu, Wake za Mtume hasa Mama zetu 'Aaishah na Hafsa (Allah awaridhie wake za Mtume wote). Bila kusahau khiana waliyowafanyia Waislam katika Historia na mauaji waliyoyafanya dhidi ya Waislam hivi karibuni huko Iraq, Syria na kwengine mashariki ya kati.
Hivyo hata kama ingekuwa kweli wanawasaidia Waislam bado isingeonesha kuwa wanawapenda Waislam na hivyo tuwapende. Kwangu ni kama Marekani ilivyokuwa inasaidia Mujahideen wa Afghanistan wakati ule wanapigana na Wasovieti. Sio kwamba ilikuwa inawapenda.
Achana na mimiSalamaleko shekh,!
Aisee waislamu wenye upeo wako ni wachache Sana.Shia "kusaidia" Hamas sio kwa sababu wanawapenda Waislam au wanataka kuikomboa Al-Aqsa. Bali ni kwa sababu wanasukuma agenda zao pale mashariki ya kati. "Kusaidia" kwao Hamas pale Gaza ni ili ionekane wanajali mno kuhusu masuala ya Waislam na inapotokea umewagusa katika agenda zao ovu uonekane unawapinga Wapalestina au uko dhidi ya Waislam.
Kusema kuwa Waislam hawafanyi chochote kuhusu ndugu zao Waislam sio kweli. Sema tu hawawapi silaha na kuwashawishi kuwapiga mayahudi halafu mayahudi wakawageukia wakawaua kwa maelfu huku wao wakikaa nyuma na kutazama bila ya kuingilia. Hilo kweli mataifa ya Kiislam hawajafanya, kuwafanyia khiana ndugu zao. Japo wana udhaifu (Allah awape nguvu) ila sio kweli hawana msaada wowote na ndugu zao.
Ila Iran wana agenda zao za kueneza ushia wao na kujaribu kuzivuruga nchi za kiislam. Suala la al-Quds ni geresha tu.
Kama kweli ingetaka kuisaidia Gaza wangeingia tokea Oct 7 au siku zile za mwanzo kama walivyoahidi. Wanasema wanapambana na mazayuni lakini mara mabomu wanarusha Syria na Pakistan na kuua Waislam.
Hiyo juzi wamerusha "fireworks" huko dola la kizayuni ambazo hazijaleta madhara. Hazijaua mzayuni wala kuleta uharibifu mkubwa. Tena wametoa taarifa masaa mengi kabla hawajarusha na waliporusha yamechukua masaa mengi kufikia mazayuni hivyo kuwapa muda mrefu kujiandaa kuyadondosha. Ila hawafanyi hivyo wanapoua Waislam huko Syria, Iraq au Lebanon.
Hivyo hakuna lolote.
Lakini pia hata kama ni kweli wangekuwa hasa wanawasaidia Waislam kiukweli hasa. Bado hatutosahau uovu wao, ushirikina wao wa kuwaabudu wengine pamoja na Allah, itikadi zao potofu ikiwemo kuwakufurisha na kuwatukana Maswahaba wengi wa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) hasa Abubakar, Umar na Uthman na wengine katika wale kumi waliobashiriwa pepo ukimtoa 'Aliy (Allah awaridhie wote). Na 'Aliy mwenyewe wamechupa mipaka juu yake mpaka kufikia kumpa daraja ya uungu, Ametakasika Allah na wanayomshirikisha nayo. Wanawatukana na kuwakufurisha wengi wa Mama zetu, Wake za Mtume hasa Mama zetu 'Aaishah na Hafsa (Allah awaridhie wake za Mtume wote). Bila kusahau khiana waliyowafanyia Waislam katika Historia na mauaji waliyoyafanya dhidi ya Waislam hivi karibuni huko Iraq, Syria na kwengine mashariki ya kati.
Hivyo hata kama ingekuwa kweli wanawasaidia Waislam bado isingeonesha kuwa wanawapenda Waislam na hivyo tuwapende. Kwangu ni kama Marekani ilivyokuwa inasaidia Mujahideen wa Afghanistan wakati ule wanapigana na Wasovieti. Sio kwamba ilikuwa inawapenda.
Aisee waislamu wenye upeo wako ni wachache Sana.
Watu wenye akili wakikusona Kwa makini Una mantiki kubwà na umeandika Vitu vizito.
Kwa kifupi Kwa mwislamu kuwashabikia Iran ni zaidi ya upumbavu.
Swali zuri.Hao Saudia ndiyo wenye dini husika na ndipo ilianzia, sasa unaanzaje kuwapinga kama kweli wewe ni kobaz?
Usichojua ni kwamba ushia sio diniNi kweli kabisaa..
Kama vile ambavyo dini ya "haki" mwanzilishi wake ni Katoliki
Kiufupi sasa hivi iran ndio mtetezi wa wapalestina hii ni aibu sana kwa waislamu wote duniani.
nchi kubwa za sunni wameshindwa kufanya chochote kile kutetea wasunni wenzao huko gaza
www.lemonde.fr
Endelea kuminyanaHii hai justify alicholeta huyo jamaa kuwa Israel kamtumia Iran.
Iran hii iliyounda axis of resistence akiwemo Hizbollah.
Wacheni ujinga.
Ambacho hujaelewa ni kwamba, mashia wakishirikiana na mayahudi wenzao ndio wanjifanyisha kutoa msaada kumbe ndio wabaya waoNi kweli Ila sasa cha ajabu hao mashia ambao mnasema ni makafiri leo hii ndio angalau wanawatetea wapalestina. Iran, wa huothi wa yemen, hezbollah wa lebanon ndo maadui wakubwa waliobaki kwa israel na wote ni shia. Hata hamas sio shia lakini misaada mingi wanapata kutoka kwa hezbollah na iran sio saudia au nchi yoyote ya sunni. Wakat washia wanapambana na israel nchi kubwa za sunni wameshindwa kufanya chochote kile kutetea wasunni wenzao huko gaza. Saudia ndo kwanza wametangaza kwamba watafanya mazungumzu ya amani na israel ila wanasubiri vita iishe kwanza. Kiufupi sasa hivi iran ndio mtetezi wa wapalestina hii ni aibu sana kwa waislamu wote duniani.
![]()
Saudi Arabia donates $40 million to UN agency for Palestinians
UNRWA, the agency for Palestinian refugees, has faced funding cuts since Israel accused a dozen employees of involvement in the October 5 attacks. It employs 13,000 people in Gaza alone.www.lemonde.fr
Saudi Arabia donates $40 million to UN agency for Palestinians
UNRWA, the agency for Palestinian refugees, has faced funding cuts since Israel accused a dozen employees of involvement in the October 5 attacks. It employs 13,000 people in Gaza alone.
![]()
Saudi Arabia has sent aircraft, ships and trucks with aid for Gaza
Saudi Arabia has sent 36 aircraft, five ships and 172 trucks filled with aid as part of the ongoing humanitarian campaign to relieve the Palestinians in the besieged Gaza Strip...www.google.com
Saudi Arabia has sent 36 aircraft, five ships and 172 trucks filled with aid as part of the ongoing humanitarian campaign to relieve the Palestinians in the besieged Gaza Strip since October, Quds Press has reported.
The latest aircraft sent by the King Salman Humanitarian Aid and Relief Centre left the Kingdom on 3 January carrying 24 tons of food and medical supplies, as well as shelters. It flew from Riyadh to Al-Arish International Airport in Egypt’s North Sinai, the closest airport to the Rafah border crossing into Gaza.
![]()
Saudi Arabia Announces US$ 2 Million Contribution to UNRWA in Support of Palestine Refugees [EN/AR] - occupied Palestinian territory
News and Press Release in Arabic on occupied Palestinian territory and 1 other country about Contributions; published on 16 Oct 2023 by UNRWAreliefweb.int
In just five days, the donations had exceeded SR375 million. King Salman and Crown Prince Mohammed bin Salman themselves donated SR30 million and SR20 million, respectively.
The sheer amount of donations — “one of the largest and quickest fundraising campaigns” in the long history of Saudi Arabia’s humanitarian efforts — flies in the face of many media reports that suggest that the Arab world does not care about Gaza.
![]()
Saudi Donations to Gaza Exceed $100 Million
Saudi donations to the National Campaign to support the Palestinian people in the Gaza Strip via the "Sahem" portal exceeded $102 million on its fifth day since its launch. On Thursday, the Custodian of the Two Holy Mosques, King Salman bin Abdulaziz, and Crown Prince Mohammed bin Salman issued...english.aawsat.com
![]()
KSrelief Launches the Saudi National Campaign to Support the Palestinian People in the Gaza Strip - occupied Palestinian territory
News and Press Release in English on occupied Palestinian territory and 1 other country about Contributions and Epidemic; published on 2 Nov 2023 by Govt. Saudi Arabiareliefweb.int
![]()
Saudi aid campaign collects $160m for Gaza
A Saudi national fundraising campaign to provide aid for the people of Gaza has, so far, raised more than SR600 million ($160 million), organisers said on Monday, Arab News reports....www.google.com
View attachment 2965196
Halafu mtu anakuambia nchi za kiislam hazina msaada kwa ndugu zao. Mlitaka wawachochee kuwapiga mazayuni huku wakijua ndugu zao hawana nguvu bado kisha mashetani wa kizayuni wakianza kuwaua wakae wakiangalia bila kuingilia na ilhali wao ndio waliwachochea kama wanavyofanya makafiri wa kishia?
Allah awape nusra ndugu zetu Waislam huko Gaza. Wallahi tunaumia kwa yale yanayowakuta na tunamshtakia Allah unyonge wetu na udhaifu wa nguvu zetu. Anatutosha Allah, Naye ni Mbora wa wenye kutegemewa.
www.alliancemagazine.org