Waarabu wakija kushtuka, tayari watakuwa wamemalizwa kwa unafiki wa Iran

Kamanda wa Jeshi na Intelijensia Hamani alipotaka kuwaua wayahudi wote na kina Modekai kwa kutotii ufalme na Serikali ya Atashasta

Basi kibao kikamgeukia yeye, akatundikwa mtini akafa.

Waajemi wana undugu wa kiroho sio wa kikabila na Israeli.
Ni Mfalme alileta Mapenzi hapo..
 
Ni kweli Ila sasa cha ajabu hao mashia ambao mnasema ni makafiri leo hii ndio angalau wanawatetea wapalestina. Iran, wa huothi wa yemen, hezbollah wa lebanon ndo maadui wakubwa waliobaki kwa israel na wote ni shia. Hata hamas sio shia lakini misaada mingi wanapata kutoka kwa hezbollah na iran sio saudia au nchi yoyote ya sunni. Wakat washia wanapambana na israel nchi kubwa za sunni wameshindwa kufanya chochote kile kutetea wasunni wenzao huko gaza. Saudia ndo kwanza wametangaza kwamba watafanya mazungumzu ya amani na israel ila wanasubiri vita iishe kwanza. Kiufupi sasa hivi iran ndio mtetezi wa wapalestina hii ni aibu sana kwa waislamu wote duniani.
Jamaa anataka kutuambia Mtetezi wa waislam ni Saudi na siyo Iran.

Watetezi wa kweli Ni Libya ya Gaddafi, Iraq ya Saddam. Palestine ya Arafat na Iran kama Iran.

The rest ni vibaraka tu
 
Iran na waarabu wapi na wapi.
Iran,Uturuki Wana vinasaba vya uyahudi hata mitindo Yao ya maisha ni kama watu wa magharibi TU ukienda Iran au uturuki kama upo ulaya TU tofauti ni kiingereza tu
 
Ni kweli Ila sasa cha ajabu hao mashia ambao mnasema ni makafiri leo hii ndio angalau wanawatetea wapalestina. Iran, wa huothi wa yemen, hezbollah wa lebanon ndo maadui wakubwa waliobaki kwa israel na wote ni shia. Hata hamas sio shia lakini misaada mingi wanapata kutoka kwa hezbollah na iran sio saudia au nchi yoyote ya sunni. Wakat washia wanapambana na israel nchi kubwa za sunni wameshindwa kufanya chochote kile kutetea wasunni wenzao huko gaza. Saudia ndo kwanza wametangaza kwamba watafanya mazungumzu ya amani na israel ila wanasubiri vita iishe kwanza. Kiufupi sasa hivi iran ndio mtetezi wa wapalestina hii ni aibu sana kwa waislamu wote duniani.
Acha uchochezi
 
Back
Top Bottom