Waarabu wakija kushtuka, tayari watakuwa wamemalizwa kwa unafiki wa Iran

Kamanda wa Jeshi na Intelijensia Hamani alipotaka kuwaua wayahudi wote na kina Modekai kwa kutotii ufalme na Serikali ya Atashasta

Basi kibao kikamgeukia yeye, akatundikwa mtini akafa.

Waajemi wana undugu wa kiroho sio wa kikabila na Israeli.
Ni Mfalme alileta Mapenzi hapo..
 
Jamaa anataka kutuambia Mtetezi wa waislam ni Saudi na siyo Iran.

Watetezi wa kweli Ni Libya ya Gaddafi, Iraq ya Saddam. Palestine ya Arafat na Iran kama Iran.

The rest ni vibaraka tu
 
Jamaa anataka kutuambia Mtetezi wa waislam ni Saudi na siyo Iran.

Watetezi wa kweli Ni Libya ya Gaddafi, Iraq ya Saddam. Palestine ya Arafat na Iran kama Iran.

The rest ni vibaraka tu
Muwe mnaelewa, iran ni ndugu na isrsel na usa, sasa hapo atasaidiaje waarabu?
Shule mlienda kusomea uji?
 
Iran na waarabu wapi na wapi.
Iran,Uturuki Wana vinasaba vya uyahudi hata mitindo Yao ya maisha ni kama watu wa magharibi TU ukienda Iran au uturuki kama upo ulaya TU tofauti ni kiingereza tu
 
Acha uchochezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…