Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.
Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.
Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.
Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.
Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.
Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.