Waarabu wanachezea mali alizowapa Mungu wakati duniani wapo Waislamu ambao hawapati hata mlo mmoja kwa siku

Waarabu wanachezea mali alizowapa Mungu wakati duniani wapo Waislamu ambao hawapati hata mlo mmoja kwa siku

Ninyi waislamu si huwa mnataka tusihusianishe uarabu na uislamu.

Huwa mnakataa katakata kwamba hamna mahusiano kila tukiwaambia uislamu ni jadi ya waarabu katika kuabudu na practically uislamu umejaa uarabu na kwamba kwa waarabu nyie ni kama watumwa tu.

Mnabisha.

Iweje leo mnataka waarabu wawasaidie waislamu wa nchi za kajamba nani?
 
Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.

Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.

Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.

Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.

Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.

Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.
Tafuta vyako.acha wivu. Kwanza nani kakwambia Waarabu wote ni waislamu.
 
Mli mmoja!!!
Bob wewe unakula mingapi?
Njoo na uzimwingine utuonyeshe
1. Unawashaurije hao waislam wa nyumbani kwenu unaofikiria kuwa wanaweza kusaidia kabla ya kuania saudia
2. Kama wewe unapata hiyo mitatuvau minne,unawasaidiaje hao uliowataja kuwa wanakula mmoja?
Mimi nakula milo mitatu, lakini nasaidia wengine kutokana na uwezo wangu, ni tofauti na wao wana mabilioni ya fedha na wanatumia kulipa wachezaji na makocha wa kigeni.
 
Sisi waislamu?? Wapi nimesema mimi ni Muislamu
1. Si lazima uandike 'mimi muislamu'
Uandishi unatosha kuonesha hivyo.

2. Kama wewe sio muislamu basi comment yangu haulikuhusu.

3. Kama wewe sio muislamu, ya nini kulalamika waarabu kutowasaidia waislamu?

Waislamu wamekuomba uwaandikie? Unajuaje kama hawasaidiwi au kama hata wanahitaji misaada hiyo?
 
1. Si lazima uandike 'mimi muislamu'
Uandishi unatosha kusomesha hivyo.

2. Kama wewe sio muislamu basi comment yangu haulikuhusu.

3. Kama wewe sio muislamu, ya nini kulalamika waarabu kutowasaidia waislamu?

Waislamu wamekuomba uwaandikie? Unajuaje kama hawasaidiwi au kama hata wanahitaji misaada hiyo?
Waislamu ni binadamu kama wengine, na Uarabuni ndyo chimbuko la dini yao, sasa siwezi kukaa kimya nikiona waarabu wanawatenga na kutowasaidia ipasavyo waislamu wenzao duniani.
 
Waarabu sio jamii ya watu wanaotoa ila ni watu waroho sana na wasiwasi wao mkubwa ni kwamba wakitoa itawanufaisha watu wasio waislam.

Pia ni watu wachoyo sana kwa sababu mataifa mengine kama Yemen ni choka mbaya lkn majirani zao wenye hali nzuri hawana muda nao.
Kwa mazingira yao ya majangwani lazima wawe wachoyo waliokubuhu. Hiyo tabia imejengwa for centuries na mazingira.

Nchi kama far East, Europe, Americas, and Central South Africa ambako maji yametapakaa ni nadra kuwa na tabia za kichoyo.

Mnakumbuka story ya Sultan Said Seyyid kuhamisha makao yake Muscat hadi Zanzibar alipagawa na mazingira ya Zanzibar. Ila baada ya ugunduzi wa mafuta later on ndio ikawapa viburi!
 
Kwa muarabu dini ya uislam ni njia mojawapo ya kutawala dunia
Kwa ww kijuso dini ni njia ya kwenda kwa Allah kula bikra 72

Wajinga ndio waliwao😂😂
Wewe bikra yako aliitoa nani?

Naona unawaonea wivu wenye bikra zao,kama njaa zako ndio zilikufanya ukapoteza bikra,basi hilo linakuhusu wewe.
 
Mleta mada,sio ajabu huu uzi umeuandika ukiwa usingizini,

Hao waarabu wana natural resources ya Mafuta na Gesi tu,ila wamezitumia kujenga nchi zao na kuboresha maisha ya wananchi wake,

Afrika ina kila aina ya natural resources,hali ikoje?

Unapoanza kumulika kwa tochi,anza kumulika miguu yako kwanza.
 
Mada inahusu waarabu, ningetaka kuandika kuhusu mali za Afrika ningeandika uzi kwa maudhui ya mali za Afrika kwani najua pia Afrika ni sehemu iliyo barikiwa mali asili nyingi tu.
 
Mwarabu na waswahili hawana tofauti yoyote ni kama manyani tu mfano ni wasani Black people wakule US wanamiliki utajiri wakutisha lakini hawatoi msaada wowote kwandugu zao walioko Afrika.
 
Maskini sio Waislamu tu, Wakristo na wapagani wengine mmenufaikaje na Mali za wapagani wenzenu wa Ulata, Uchina, America au India?

Marekani kwenye Kuna umasikini wa kutisha licha ya kuwa matajiri!
 
Mwarabu na waswahili hawana tofauti yoyote ni kama manyani tu mfano ni wasani Black people wakule US wanamiliki utajiri wakutisha lakini hawatoi msaada wowote kwandugu zao walioko Afrika.
Afadhali hao wanapata hizo pesa kwa njia haramu hata wasipo toa Msaada ni sawa tu.

Lakini waarabu wanapata pesa nyingi kwa kunufaika na mali za asili ambazo hawajaziweka wao, wanatumia pesa hizo kufanya mambo batili na ambayo hayana faida kwa ndugu zao Waislamu.
 
Maskini sio Waislamu tu, Wakristo na wapagani wengine mmenufaikaje na Mali za wapagani wenzenu wa Ulata, Uchina, America au India?

Marekani kwenye Kuna umasikini wa kutisha licha ya kuwa matajiri!
Ni kweli maskini sio Waislamu tu, lakini mada inahusu utajiri wa waarabu na kushindwa kuwasaidia wenzao katika imani.
 
Back
Top Bottom