The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ulifanya research kabla ya kuandika huu uzi? Unaijua Kuwait Fund inavyosaidi tena ndani ya Bongo? Umejiridhisha kua hizo nchi hazitoi misaada?Mada inahusu waarabu, ningetaka kuandika kuhusu mali za Afrika ningeandika uzi kwa maudhui ya mali za Afrika kwani najua pia Afrika ni sehemu iliyo barikiwa mali asili nyingi tu.
Haya kafanye research kisha waombe Mod's wafute huu uzi.