Waarabu wanachezea mali alizowapa Mungu wakati duniani wapo Waislamu ambao hawapati hata mlo mmoja kwa siku

Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.

Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.

Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.

Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.

Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.

Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.
Uuslam hautegemei nali ya mtu kuundeleza. Ikiwa mtu hafati mafundisho ya Uislam hilo ni tatizo lake sio la wote au la Muslam mwengine.

Sijaona katika Uislam kuwa pesa au mali ndio kigezo cha kuuendeleza Uislam.

Uislam ni mwepesi sana, hauhitaji mali kuwa Muislam.
 
Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.

Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.

Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.

Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.

Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.

Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.
Fukara ndio mnawazaga kusaidiwa shtuka wewe wa kiume ujue OHOO au demu wewe??
 
Uuslam hautegemei nali ya mtu kuundeleza. Ikiwa mtu hafati mafundisho ua Uislam hilo ni tatizo lake sio la wote.
Lakini uislamu umehimiza kusaidiana na sio kuwa wabinafsi, pia uislamu umekataza kutumia mali kwa njia ambazo ni batili.
 
Hoja yangu haiwezi kueleweka na mtu mwenye akili dizaini yako,sio ajabu chuki ya udini ndio imekusukuma kuja kumwaga haya matapishi yako hapa.
Mimi na wewe nani ameanza kuonyesha chuki ya Udini?
 
Unawapa mzigo usio wao, hao Waisilamu wengine wanafanya nini na rasirimali za nchi zao? Akili za maskini ni kuwa tegemezi tu.
Katika maisha lazima wengine wawe tegemezi, ndymaana Mungu amewapa wengine ili wasaidie wengine.
 
Mleta mada hajui kua Bara la Africa ndio lilipaswa kua bara tajiri zaidi kuliko mabara yote.
Na hajui kuwa umasikini ni Laana pia
Waarabu walicheza karata zao vizuri na kuhakikisha mikataba inakuwa kwa win win situation sio kama sisi tunaachiwa mashimo
Na mwisho kumuomba muwekezaji atuachie nyumba alizojenga kwa wafanyakazi wake

Kweli leo sisi wa kupewa msaada wa vyoo na wazungu na utajiri wote huu
 
Sijaona katika Uislam kuwa pesa au mali ndio kigezo cha kuuendeleza Uislam.

Uislam ni mwepesi sana, hauhitaji mali kuwa Muislam.
Umasikini sio sifa ya uislamu, umasikini ni chanzo cha maovu.

Hakuna sehemu waislamu wamehimizwa kutowasaidia wenzao na kuchezea mali kwa mambo yasiyo na manufaa mbele za Mungu
 
Kuwaza misaada ni umasikini na kukata tamaa,acha kuwaza kusaidiwa,fight your own battle.
Sijaomba kusaidiwa, ila nimeeleza ni namna gani waarabu wanachezea pesa pasipo kusaidia Waislamu wenzao.

Mimi sina shida ya Msaada wa mtu, au nimewahi kukuomba hela ya kula?
 
Wewe bikra yako aliitoa nani?

Naona unawaonea wivu wenye bikra zao,kama njaa zako ndio zilikufanya ukapoteza bikra,basi hilo linakuhusu wewe.
Kwa hiyo kila binti aliyepoteza ubikra duniani ni kwa sababu ya njaa. Bangi mbaya sana.
 
Umasikini sio sifa ya uislamu, umasikini ni chanzo cha maovu.

Hakuna sehemu waislamu wamehimizwa kutowasaidia wenzao na kuchezea mali kwa mambo yasiyo na manufaa mbele za Mungu
Nimekaa sana Uarabuni na kufanya kazi nchi 3 zenye mafuta na kuishi nchi nane kwa ujumla za Middle East

Wamewekeza sana na sasa niko London ambapo wamenunua makampuni makubwa makubwa na nusu ya majengo ya London makubwa wanamiliki wao
Wameajiri wafanyakazi wengi sana Duniani na ninafikiri hata Dar wapo pia kama Dnata ambayo nadhani ipo airport na ni ya tajiri wa Dubai
Umasikini ni laana lazima tujikwamue kwa mali tulizonazo

Wao wanafanyiwa kazi na wazungu kwa hela zao.ila sisi tunawaomba misaada hao hao wazungu kila leo tena kwa kuinamisha vichwa na manyanyaso juu kama alivyotamka Rais wetu
 
Nimekaa sana Uarabuni na kufanya kazi nchi 3 zenye mafuta na kuishi nchi nane kwa ujumla za Middle East

Wamewekeza sana na sasa niko London ambapo wamenunua makampuni makubwa makubwa na nusu ya majengo ya London makubwa wanamiliki wao
Wameajiri wafanyakazi wengi sana Duniani na ninafikiri hata Dar wapo pia kama Dnata ambayo nadhani ipo airport na ni ya tajiri wa Dubai
Umasikini ni laana lazima tujikwamue kwa mali tulizonazo

Wao wanafanyiwa kazi na wazungu kwa hela zao.ila sisi tunawaomba misaada hao hao wazungu kila leo tuna kwa kuinamisha vichwa na manyanyaso juu kama alivyotamka Rais wetu
Waarabu kwa kushirikiana na washirika wao wa BRICS ndyo nchi zinazo ongeza ushawishi wake duniani kwa sasa hasa katika uchumi.
 
Back
Top Bottom