Waarabu wanachezea mali alizowapa Mungu wakati duniani wapo Waislamu ambao hawapati hata mlo mmoja kwa siku

Waarabu wanachezea mali alizowapa Mungu wakati duniani wapo Waislamu ambao hawapati hata mlo mmoja kwa siku

Kabla ya kulaumu unatakiwa ujue ni kwanini wanafanya hayo yote..
 
Sio kugawa pesa kwa kila mtu, ila ni kusaidia wale wenye uhitaji.
Saudia ni nchi na ina watu wake wala hawana ulazima wa kumsaidia yoyote hizi nchi zimetoka kwenye hali mbaya sana lakini waarabu siku zote biashara ni asili yao wamechukuwa rasilimali za nchi na kuzigeuza kuwa biashara sio kwamba mafuta ndio kila kitu maana Africa kuna nchi zina mafuta na madini chungu nzima lakini umaskini upo. Tanzania ni tajiri kuliko nchi za kiarabu ki rasilimali lakini vipaumbele vyetu havina tija. Na sisi kama wananchi pia hatuna uaminifu wenzetu waarabu wizi ni kashfa kubwa sana ni aibu katika jamii bora uwe mlevi kuliko kuwa mwizi. Sisi kuiba ndio sifa usipoiba utaitwa mjinga.
 
Hivi mkuu ni kwanini wanyonge wa magufuri waliwachukia wasomi Na matajiri
Kuna aliwin mungubwa chato ni kutengeneza maigizo kupitia vyombo vya habari hii strategies bora sana kwake na iliwin pakubwa hta aliowateua walikua wanatumia km ngao kwa mzee hata mtt wa mwisho naona huu utarbu kauendeleza ndo imekua silaha yake kuuteka umma wasiokua na akiri
 
Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.

Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.

Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.

Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.

Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.

Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.
Mbona huisemei Tanzania ambayo imekabidhi rasilimali zake kwa wageni wakati wenye kwenye lindi la umaskini
 
Unacho shangaa Nini?? Hii deen haiwahusu wasio warabu!
Deen hi ni Kwa warabu tu.
👇🏼👇🏼
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ

[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Mjii makka na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.

وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ

[ ASH-SHUA'RAA - 214 ]
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.

WAARABU ndio Waislamu wa kweli
na vizazi vya kweli vya
Mtume Muhammad (SAW)..
"Wasio Waarabu ambao bila haya, walijiita
wenyewe waislamu tu
Waongofu ambao ni waoga duni na
nafsi zisizo na heshima Ambazo zilikuwa
zimezidiwa kwa urahisi na upaanga
wa Mwenyezi Mungu, ndivyo walivyostahiki
Kuitwa Mbwa wetu.."

Muhammad Al-Arifi
Saudi Wahabi Sheikh.
 
Attachments

  • Screenshot_20240320-111517~2.jpg
    Screenshot_20240320-111517~2.jpg
    61.4 KB · Views: 1
by de way braza mbona nchi nying tu zina mafuta na si za kiislam rusia anachmba mafuta meng tu nigeria angola uganda yamegundulika na nchi nying tu na wao jukum lao kusaidia wanyonge? vp zenye dhahab na almas nazo si mali za mungu it mean madin kwaiy na wao wasaidie wakristo ote yan nch znye uislam madn na mafut yasaidie waislam ote nch za kikristo zenye mal na madin wasaidie wakristo ote kwa mantik iyo itakua sio nchi manak kaz ya nchi ni kukusanya kod kuzrudsha kwa raia kuptia mahtaj na miundo mbinu vp wakusany saudia wasambaz dunia nzima? by de way wanatoag kmtind ndo tende kanzu na nyama kipnd cha arafa lakn msada sio lazm mtu akusaidie ili hal auna hak kweny pato lake non citizen wao wananch wao wanaish vzur kuptia viongoz wao sis wa africa tuna mal nying kuliko wao wa mafuta ila ndio umaskn umetupia mipaka kwa ubinafs wa wachache
 
Huyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha kwamba yupo.

Ukibisha, thibitisha yupo.
Uthibitisho gani mkuu unautaka. Wewe mwenyewe unavyoishi, ulivyoumbika na uumbaji unaouona ni uthibitisho wa wazi kwamba Mungu yupo. Mimi ninakuahakikishia 100% Mungu yupo.
 
Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.

Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.

Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.

Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.

Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.

Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.
Harafu swala tano, waharabu wa Tanzania ndo kabisa Sasa hivi wanachinjiwa mbuzi na kondoo
 
Mi si mkristu wala muislamu.
Sina dini.
Naishi kwa amani.
Teh teh teh
Unaishi vipi kwa amani hali huna imani yyt?
Labda unambie unakula bange kila siku. Akili inakudanganya una amani kumbe uko vibaya sana.

Hakuna asieabudu Mungu akawa na amani ya kweli hata mmoja
 
Serikali ya dini zote ndio serikali gani hiyo na itafanyaje kazi na vipi kuhusu wale wengine wasioamini katika hizo dini.
Kutoamini dini nayo ni imani. Ni dini.
Kwani dini ni imani.

Kazi kubwa ya dhana ya serikali kutokuwa na dini ilikuwa ni kulinda wenye dini zote.

Wajibu huu haupo ktk nchi yenye mfumo wa autocracy kama tz. Ndio maana hata baadhi ya sheria zimetengwa kuwahusu watu wa dini fulani. Mfano sheria ya ugaidi.

Kwa hiyo dhana hii mpya ya kuundwa kwa serikali ya dini zote has nothing to do zaidi ya kulinda wenye dini zote. Na hata wenye imani wanaoamini uwepo wa Mungu

Mtu asizuiwe na hapaswi kuacha dini yake kwa sababu anafanya kazi kwa taasisi au idara za serikali.

ndio maana ktk nchi ya ulaya inaruhusu hata wenye imani kuvaa alama au mavazi ambayo kwao ni sehemu ya kuabudu.

Mfano ni kosa kubwa kwa singasinga kumvua kilemba.

View: https://youtu.be/LFVeJK2ZdkQ?si=8CuNet-uo8LTCONt
 
Uthibitisho gani mkuu unautaka. Wewe mwenyewe unavyoishi, ulivyoumbika na uumbaji unaouona ni uthibitisho wa wazi kwamba Mungu yupo. Mimi ninakuahakikishia 100% Mungu yupo.
Sitaki kuandika sana, nitatoa logical fallacy.

This is a logical non sequitur.

Hujaonesha Mungu yupo, unasema ninavyoishi, nilivyoumbika na uumbaji ninaouona unaonesha Mungu yupo, lakini hata hayo nayo hujathibitisha.

Hujathibitisha nikivyoumbika ni kutokana na Mungu kuwepo. Hiyo ni a priori logical fallacy.

Ikiwa Mungu yupo, ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kufanyika?
 
Uuslam hautegemei nali ya mtu kuundeleza. Ikiwa mtu hafati mafundisho ya Uislam hilo ni tatizo lake sio la wote au la Muslam mwengine.

Sijaona katika Uislam kuwa pesa au mali ndio kigezo cha kuuendeleza Uislam.

Uislam ni mwepesi sana, hauhitaji mali kuwa Muislam.
Faiza Foxy toa mchango hapahttps://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2245135/
 
Ww unaobgekea Waisilamu tu?,mbon Wazungu wanasaidia hata wasio Waisilamu.Uisilamu na ubaguzi naona ni ndugu
 
Kaka futa neno unyonge ni neno la laaana sinnejo zuri hilo neno liletwa na hayati kimkakati kufanya raia kuona umaskini ni sifa
Hata hivyo alikubalika sn .. mpaka leo viongozi wa nchi wanapishana kusujudia kaburi lake.
 
Watu kama mleta uzi ndo wanafanya waislamu wadharaulike. Yale mafuta ya uarabuni ni ya waarabu na sio ya waislamu. Kama ni hivyo basi hata Zambia ambayo ni nchi kikristo itapata dhambi kwa kutosaidia wakristo wengine duniani kupitia shaba na madini mengine waliyojaliwa. Tukiachana na upumbavu wako ulioandika ni kwamba huu uzi umenikumbusha na kunipa hasira kuwa Africa tuna utajiri wa kutisha ardhini ila bado ni maskini wa kutupwa. Hadi leo hii Tanzania na nchi jirani bado zina ardhi yenye madini ambayo hayajachimbwa kabisa. Cha kushangaza ataletwa beberu kwa jina la mwekezaji na sisi kuambulia 4% mrabaha. Inauma sana.
 
Back
Top Bottom