Waarabu wanachezea mali alizowapa Mungu wakati duniani wapo Waislamu ambao hawapati hata mlo mmoja kwa siku

kwani huyo Mungu unaemzungumzia ni yuoi unayetaka agawe mali kwa waislamu peke yao
 
Walitafuta kwa jasho lao,wakapata. Hizo imani potofu za Mungu,hazipo. Mungu gani mwenye upendeleo? Kama yupo,na kawapa wao na wewe kakunyima,basi ni wa kwao siyo wako.
Mtapata nini na saa ngapi wakati mda wote mnawaza ngono tuuu. Wakati ulikuwa huu wa kuwaandalia mazingira mazuri wajukuu zenu,maana nyie hamuwezi. Na hiki ndo wanachotuzidi ngozi nyeusi. Sisi tunataka leo tushibe, wao wanajikaza ili vizazi vyao vijavyo vije kufaidi matunda ya nguvu zao.
 
Mkuu hapa sijaelewa kabisa
Soma hii article nini maana ya Usekyula na jinsi maana hii inavyofanya kazi ktk utawala wa kiimla (autocracy) kama tz
 
Attachments

  • 20240810_113707.jpg
    20240810_113707.jpg
    94 KB · Views: 1
Mimi nakula milo mitatu, lakini nasaidia wengine kutokana na uwezo wangu, ni tofauti na wao wana mabilioni ya fedha na wanatumia kulipa wachezaji na makocha wa kigeni.
Umiza kichwa upate mabilioni kisha uwe unasaidia watu,waarabu waliumiza kichwa wakatumia rasilimali walizonazo kutajirika na kuwapa maisha bora raia wao.
Hata wewe kwenye nchi ulipo kuna rasilimali nyingi tu ikiwemo Dhahabu,Almasi,Mafuta,Gesi,Mbuga za wanyama,Mashamba(uarabuni ni jangwa,hakuna kilimo)hamasisha viongozi wako wazitumie vizuri ili upate maendeleo kama ya waarabu.
 
Lakini uislamu umehimiza kusaidiana na sio kuwa wabinafsi, pia uislamu umekataza kutumia mali kwa njia ambazo ni batili.
Wewe mali zote zilizopo kwenye nchi yako zimetumikaje?huwezi ukajadili nchi za mbali wakati nchi yako ulipo haijamaliza kufanya maendeleo kwa raia wake.
 
Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.

Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.

Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.

Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.

Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.

Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.
Huo wajibu wa kuwatazima waislam dunia nzima nan kawapa ?
Kila mtu anakula anachovuna waache watumie Mali zao
 
Hahah.......sitii neno hapa.

Cc Faiza Foxy
 
Kuwa mwarabu pekee hakukufanyi uwe muislam, na sio kila muislam anauishi uislam, waislam wemgi hatuishi uislam ambao mtume S.A.W aliuishi na aliufundisha.
Mie muislam naweza kwenda daily msiktini lakini mwanga, mnafiki, mgombanishi, mchoyo, hapatani na ndugu yake, hana adabu kwa mzazi wake.
Anaonekana muislam lakini hana imani, hana dini katika vitendo.
 
Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.

Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.

Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.

Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.

Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.

Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.
Yaani ukiwa muislamu moja kwa moja unawuqualify kunufaika na utajiri wa nchi za kiarabu?
 
Ulifanya research kabla ya kuandika huu uzi? Unaijua Kuwait Fund inavyosaidi tena ndani ya Bongo? Umejiridhisha kua hizo nchi hazitoi misaada?

Haya kafanye research kisha waombe Mod's wafute huu uzi.
Hiyo Kuwait Fund inafadhili miradi gani katika nchi hii.
 
Nchi za kiarabu huwezi kusema wana wealthy naturally..., ni basi tu imetokea uchumi wa kidunia kwa wakati mrefu umekuwa dependent kwenye OIL lakini ukiongelea nishati kuna Nishati mbadala nyingi and we can no away with OIL

Kwahio in comparison Tanzania ni moja ya nchi yenye resources za kutosha na hali ya hewa murua kabisa maradufu kuliko huko Jangwani.....
 
Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4"
Hakuna kikundi chochote ambacho kina husiana na uislamu halisi, hao wote ni wahuni tu.

Uislamu haujatuma watu kuuwa watu wasio na hatia, kujilipua au kuchoma makanisa.
 
Alqaeda na makundi mengine yote yapo chini ya zionism, lengo ni kuuchafua uislamu ili ionekane ni dini ya magaidi.
1. Kwa nini hao magaidi wa Isis wakubali kutumikia makafiri kufanya uovu wote huo kama kweli uislamu unapinga uovu huo.

2. Kwa nini Isis wenyewe hawakubali kwamba wanatumiwa na makafiri na badala yake wenyewe wanadai kumtumikia mungu wao anayeitwa allah.

3. Kwa nini hata siku moja waislam kote ulimwenguni hawajawahi kuandamana kulaani huu uovu unaofanywa na hivi vikundi vya kigaidi wakiwamo Isis.

4. Kama ni CIA ndio inawafadhili magaidi kwa nini basi wasiwatumie wakristo badala ya kuwatumia waislam na kwa nini hivi vikundi vyote vya kigaidi viwe vya waislam tu na sio dini zingine...
⁉️⁉️⁉️
 
Mmmhh! Watu wanadai imeandikwa kwenye Quran tukufu kwamba msiwe karibu na sisi na mtuchije kwa upanga.
Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
 
Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.

Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.

Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.

Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.

Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.

Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.
Nilipoona tu Waislam nikajua uliyoanfika hapa ni kiwango Cha Madrasa mwaka wa Pili!
 
Nani kasema tz hakuna mafuta, hakuna gesi, hakuna neuclear.

Kupanga ni kuamua. Smart leadership make it all.

Poor leaders fail us.

Kupanga ni kuchagua.

Tunaweza kuondokana na janga la uongozi endapo tutaunga kwa waarabu mfumo wao wa utawala.

Kama ilivyo vya Switzerland, uae ni state zenye ukubwa kama wilaya za mkoa wa dsm.

Lkn mfumo wao ni wa serikali za majimbo yenye uhuru zaidi au uhuru kamili wa kujiamulia mambo yake wenyewe. Badala y mfumo wa serikali kuu.

Lkn pia itikadi ya nchi inaumiza.

Tz tumeamriwa na ccm tufate itikadi ya Uesherati (Secularism) badala ya kusimama na serikali ya Uadilifu.

Hivyo tutahitaji kuwa na serikali ya dini zote badala ya hii isipokuwa na dini
Serikali ya dini zote ndio serikali gani hiyo na itafanyaje kazi na vipi kuhusu wale wengine wasioamini katika hizo dini.
 
Back
Top Bottom