Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma hii article nini maana ya Usekyula na jinsi maana hii inavyofanya kazi ktk utawala wa kiimla (autocracy) kama tzMkuu hapa sijaelewa kabisa
Umiza kichwa upate mabilioni kisha uwe unasaidia watu,waarabu waliumiza kichwa wakatumia rasilimali walizonazo kutajirika na kuwapa maisha bora raia wao.Mimi nakula milo mitatu, lakini nasaidia wengine kutokana na uwezo wangu, ni tofauti na wao wana mabilioni ya fedha na wanatumia kulipa wachezaji na makocha wa kigeni.
Wewe mali zote zilizopo kwenye nchi yako zimetumikaje?huwezi ukajadili nchi za mbali wakati nchi yako ulipo haijamaliza kufanya maendeleo kwa raia wake.Lakini uislamu umehimiza kusaidiana na sio kuwa wabinafsi, pia uislamu umekataza kutumia mali kwa njia ambazo ni batili.
Huo wajibu wa kuwatazima waislam dunia nzima nan kawapa ?Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.
Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.
Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.
Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.
Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.
Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.
Hahah.......sitii neno hapa.Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.
Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.
Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.
Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.
Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.
Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.
Hivi mkuu ni kwanini wanyonge wa magufuri waliwachukia wasomi Na matajiriKaka futa neno unyonge ni neno la laaana sinnejo zuri hilo neno liletwa na hayati kimkakati kufanya raia kuona umaskini ni sifa
Yaani ukiwa muislamu moja kwa moja unawuqualify kunufaika na utajiri wa nchi za kiarabu?Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.
Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.
Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.
Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.
Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.
Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.
Hiyo Kuwait Fund inafadhili miradi gani katika nchi hii.Ulifanya research kabla ya kuandika huu uzi? Unaijua Kuwait Fund inavyosaidi tena ndani ya Bongo? Umejiridhisha kua hizo nchi hazitoi misaada?
Haya kafanye research kisha waombe Mod's wafute huu uzi.
Waulize wanawake wenzako kama wewe ni mwanamke.Jibu swali,wewe yako uliipotezaje? Mimi nimekuuliza wewe,sijawauliza mabinti wa dunia nzima.
Hakuna kikundi chochote ambacho kina husiana na uislamu halisi, hao wote ni wahuni tu.
Uislamu haujatuma watu kuuwa watu wasio na hatia, kujilipua au kuchoma makanisa.
1. Kwa nini hao magaidi wa Isis wakubali kutumikia makafiri kufanya uovu wote huo kama kweli uislamu unapinga uovu huo.Alqaeda na makundi mengine yote yapo chini ya zionism, lengo ni kuuchafua uislamu ili ionekane ni dini ya magaidi.
Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”Mmmhh! Watu wanadai imeandikwa kwenye Quran tukufu kwamba msiwe karibu na sisi na mtuchije kwa upanga.
Nilipoona tu Waislam nikajua uliyoanfika hapa ni kiwango Cha Madrasa mwaka wa Pili!Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.
Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.
Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.
Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.
Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.
Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.
Daaah! Hapa tu ndo chuki yangu yote imeanzia. YAAAANI MIMI NICHINJWE KISA DINI!!!! KWA NN HUYU ALLAH ASINIUWE YEYE MPAKA AWATUMIE WAHUNI WA HUKU DUNIANI.behead them when you catch them –
Ila we jamaa bhana 😀😀😀😀Nilipoona tu Waislam nikajua uliyoanfika hapa ni kiwango Cha Madrasa mwaka wa Pili!
Serikali ya dini zote ndio serikali gani hiyo na itafanyaje kazi na vipi kuhusu wale wengine wasioamini katika hizo dini.Nani kasema tz hakuna mafuta, hakuna gesi, hakuna neuclear.
Kupanga ni kuamua. Smart leadership make it all.
Poor leaders fail us.
Kupanga ni kuchagua.
Tunaweza kuondokana na janga la uongozi endapo tutaunga kwa waarabu mfumo wao wa utawala.
Kama ilivyo vya Switzerland, uae ni state zenye ukubwa kama wilaya za mkoa wa dsm.
Lkn mfumo wao ni wa serikali za majimbo yenye uhuru zaidi au uhuru kamili wa kujiamulia mambo yake wenyewe. Badala y mfumo wa serikali kuu.
Lkn pia itikadi ya nchi inaumiza.
Tz tumeamriwa na ccm tufate itikadi ya Uesherati (Secularism) badala ya kusimama na serikali ya Uadilifu.
Hivyo tutahitaji kuwa na serikali ya dini zote badala ya hii isipokuwa na dini