Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kama mpira wa Ulaya unaendeshwa na pesa tu, na Waarabu wanachukua wacheaji kuwapeleka Uarabuni kwa pesa, huo mpira wa Ulaya ni wa Ulaya kweli au ni mpira wa pesa?Ruben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake uarabuni...
Mzee asernal Wenger alipoulizwa na watu wa China ,Mzee Sisi tufanyeje tuwe kama nyinyi huko ulaya?Mzee asernal Wenger alijibu kama hivi;Uingereza iliwachukua miaka ...
Intermarriages zinahusiana vp na mpia? Kwanini wafrika mnawaza ngono na kulala na watu wengine wakati wao wanajichagua wao. There's nothing wrong preferring your own race. Kama nyie hamjipendi kwanini wao wawapende?katika sababu 30 hiyo tu unanipa Jibu kumbe hizo nchi zinaubaguzi nitakwenda kukaa mwaka mmoja Nile pesa zao niondoka 🤣🤣🤣 bado sababu zingine
Tutakuwa tunaangalia ligi ya UarabuniRuben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake uarabuni.
Huko Chelsea lundo la wachezaji wako mbioni kuelekea uarabuni. Alianza Ngolo Kante, na sasa Koulibaly na golikipa Mendy muda wowote wataelekea Uarabuni.
Waarabu wamedhamiria kweli nina mashaka baada ya misimu michache wachezaji wengi wa daraja la juu watakuwa wanacheza huko uarabuni
China na Marekani walishindwaHata na wao wanataka ligi yao ifuatiliwe na watu wengi ndio maana Wana fanya hivyo, japokua C.Ronaldo pekee alitosha kuitangaza ligi yao
Wenyewe wameweza hasa baada ya usajili wa Ronaldo, ligi yao ilikua haijawi kuonyeshwa nje ya Asia lakini sasa hivi dunia nzima wana itazama.China na Marekani walishindwa
Aahahaamkuu nawewe pia kumbe ni wa ulaya? nilijua ni mbongo
Ahaaaaa,hili swali ni kuntu sanaKama mpira wa Ulaya unaendeshwa na pesa tu, na Waarabu wanachukua wacheaji kuwapeleka Uarabuni kwa pesa, huo mpira wa Ulaya ni wa Ulaya kweli au ni mpira wa pesa?