Waarabu wanatuharibia mpira wa Ulaya

Waarabu wanatuharibia mpira wa Ulaya

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Ruben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake Uarabuni.

Huko Chelsea lundo la wachezaji wako mbioni kuelekea Uarabuni. Alianza Ngolo Kante, na sasa Koulibaly na golikipa Mendy muda wowote wataelekea Uarabuni.

Waarabu wamedhamiria kweli nina mashaka baada ya misimu michache wachezaji wengi wa daraja la juu watakuwa wanacheza huko uarabuni
 
Mzee asernal Wenger alipoulizwa na watu wa China ,Mzee Sisi tufanyeje tuwe kama nyinyi huko ulaya?Mzee asernal Wenger alijibu kama hivi;Uingereza iliwachukua miaka 150 kufika pale walipo!

Sasa mtoa mada huko uarabuni unakosema bado sana ,kuna sababu zinazofika 30 kuweza kufika Ile Hali unayoona pale England.

Nikuulize swali mwarabu yupi anakubali kulala na ngozi nyeusi ili tupate watoto?Jibu angalia England ilivyo wao wataweza?🤣🤣🤣🤣sio kirahisi hivyo
 
Mzee asernal Wenger alipoulizwa na watu wa China ,Mzee Sisi tufanyeje tuwe kama nyinyi huko ulaya?Mzee asernal Wenger alijibu kama hivi;Uingereza iliwachukua miaka ...

Intermarriages zinahusiana vp na mpia? Kwanini wafrika mnawaza ngono na kulala na watu wengine wakati wao wanajichagua wao. There's nothing wrong preferring your own race. Kama nyie hamjipendi kwanini wao wawapende?
 
Intermarriages zinahusiana vp na mpia? Kwanini wafrika mnawaza ngono na kulala na watu wengine wakati wao wanajichagua wao. There's nothing wrong preferring your own race. Kama nyie hamjipendi kwanini wao wawapende?katika sababu 30 hiyo tu unanipa Jibu kumbe hizo nchi zinaubaguzi nitakwenda kukaa mwaka mmoja Nile pesa zao niondoka 🤣🤣🤣 bado sababu zingine
 
Ruben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake uarabuni.

Huko Chelsea lundo la wachezaji wako mbioni kuelekea uarabuni. Alianza Ngolo Kante, na sasa Koulibaly na golikipa Mendy muda wowote wataelekea Uarabuni.

Waarabu wamedhamiria kweli nina mashaka baada ya misimu michache wachezaji wengi wa daraja la juu watakuwa wanacheza huko uarabuni
Tutakuwa tunaangalia ligi ya Uarabuni
 
Hiyo ya Saudi Arabia ni swala la muda tu kwani mafuta hayana mustakabali wowote. Kuanzia mwaka 2035 Ulaya yote, Marekani, Canada, Japan na South Korea wanaacha kutengeneza magari yanayotumia (Fossil Fuels) hivyo ndio utakuwa mwanzo wa bei ya mafuta kuporomoka.
 
Back
Top Bottom