Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda

Dini haiangaliwu watu wanafanya nn... Dini Ni maamrisho na makatazo yaliandikwa kwenye Qur'an na sio watu wa jamii fulan
Hajui huyu mgala anafikri akifukuliwa mtaro Italy ni sahihi na wa kwatemba nae afukuliwe dini haiko hv nadhan umempa jibu sahihi
 
Mbona hajala chochote zaidi ya kunusanusa tu chakula?
 
Halafu waislamu walivyo manafiki sijui nguruwe aliwakosea wapi, unakuta danga unalinunulia pombe kisha muondoke ukalipige show, ila ukiliagizia kitimoto linakuambia mimi muislamu, ilhali hapo anafanya umalaya na kunywa pombe, ujuha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…