Hajui huyu mgala anafikri akifukuliwa mtaro Italy ni sahihi na wa kwatemba nae afukuliwe dini haiko hv nadhan umempa jibu sahihiDini haiangaliwu watu wanafanya nn... Dini Ni maamrisho na makatazo yaliandikwa kwenye Qur'an na sio watu wa jamii fulan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajui huyu mgala anafikri akifukuliwa mtaro Italy ni sahihi na wa kwatemba nae afukuliwe dini haiko hv nadhan umempa jibu sahihiDini haiangaliwu watu wanafanya nn... Dini Ni maamrisho na makatazo yaliandikwa kwenye Qur'an na sio watu wa jamii fulan
Mbona hajala chochote zaidi ya kunusanusa tu chakula?Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda.
Ungekuta huku kwetu akiguswa na Mbwa anakimbia kwenda kunawa utadhani wa maana. Hawa jamaa si tu huyu kawagusa. Wanakula naye msosi.
Badala ya kuiga teknolojia na wawekeze huko utawakuta wanajiona wao ni Waarabu kuliko Waarabu, ni Wayahudi kuliko Wayahudi.
View attachment 3255582
Kafie mbele huko!Anafungua tu....
Ni najis kunusa msosi kwa mila zetuMbona hajala chochote zaidi ya kunusanusa tu chakula?