kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
Amani kwenu wana jukwaa
Nchini Morocco kumetungwa Sheria mpya ya NDOA ambayo kwa waislam weusi wa TANZANIA wanadai inakinzana na utamadun wa kiarabu yaan wa kiislamu
Bunge la Morocco limepiga marufuku Binti wa umri wa chin ya miaka 18 kuolewa na ukimuoa unafia jela
Lakini pia ni marufuku kuongeza mke wa pili kwa mwanaume yeyote yule awe mkristo au mwisilam
Sasa nimepita huko mtandaon waislam wa misungwi, tinde, masasi wanadai inch ya Morocco imeanza kufuata Sheria za kikafir
Kikawaida katika uislam ndoa inaanzia na mtoto wa miaka 6 inafaa awe ameolewa na ni suna
Lakini pia kila mwanamume aoe wanawake wasiozidi wanne
Asante
Chanzo BBC