Waarabu weusi wapinga Sheria mpya ya Ndoa huko Nchini Morocco, wapandisha sukari

Amani kwenu wana jukwaa

Nchini Morocco kumetungwa Sheria mpya ya NDOA ambayo kwa waislam weusi wa TANZANIA wanadai inakinzana na utamadun wa kiarabu yaan wa kiislamu

Bunge la Morocco limepiga marufuku Binti wa umri wa chin ya miaka 18 kuolewa na ukimuoa unafia jela

Lakini pia ni marufuku kuongeza mke wa pili kwa mwanaume yeyote yule awe mkristo au mwisilam

Sasa nimepita huko mtandaon waislam wa misungwi, tinde, masasi wanadai inch ya Morocco imeanza kufuata Sheria za kikafir

Kikawaida katika uislam ndoa inaanzia na mtoto wa miaka 6 inafaa awe ameolewa na ni suna

Lakini pia kila mwanamume aoe wanawake wasiozidi wanne

Asante

Chanzo BBC
Shida kwako wewe ni ipi!?
 
Na Wanawake wa Morocco ni wasimbe balaa, wanagawa papuchi sana- Kwa kweli Ngoja watungiwe sheria labda itasaidia hizi papuchi za kula kimasiara zimezidi sana. Ukitupa jiwe gizani kimasiara lazima lidakwe tu.
Ila Mkuu hakuna Nchi wanawake hawagawi papuchi tena Nchi zingine unakopeshwa au unaweza kupewa kama zawadi kila siku..
 
Naomba uanizshe thread ya hii mada kuhusu miaka 6 andika vizuri kabisa Kwa mbwembwe Kama hivi halafu nitagi tufanye debate unieleze miaka 6 imepatkanaje na Mimi ntakueleza umri sahihi kipindi huyo Binti unayesema kaoulewa akiwa na miaka 6 akati in reality ilikua 18, Mimi na hoja yangu alikua na 18 wew hoja Yako alikua na 6 twende Kwa nyrakaka
Quran imekuwa nyaraka sio.
 
Tabia ya kupenda na kumiliki rundo la wanawake wanayo watu weusi kwa sababu ngono kwetu ndo kipaumbele cha kwanza kwenye maisha yetu.

Ndio maana hata wakristo wa kiafrika wasio ruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja wana rundo la michepuko nje ya ndoa zao.
Teh teh teh 😃 😃 😃 dah!... kazi kweli kweli
 
Na Wanawake wa Morocco ni wasimbe balaa, wanagawa papuchi sana- Kwa kweli Ngoja watungiwe sheria labda itasaidia hizi papuchi za kula kimasiara zimezidi sana. Ukitupa jiwe gizani kimasiara lazima lidakwe tu.
Chanzo cha wazo lako hapo juu
 
Naomba uanizshe thread ya hii mada kuhusu miaka 6 andika vizuri kabisa Kwa mbwembwe Kama hivi halafu nitagi tufanye debate unieleze miaka 6 imepatkanaje na Mimi ntakueleza umri sahihi kipindi huyo Binti unayesema kaoulewa akiwa na miaka 6 akati in reality ilikua 18, Mimi na hoja yangu alikua na 18 wew hoja Yako alikua na 6 twende Kwa nyrakaka
Ndugu unabishana na kitabu chako kitakatifu
Waislam wa saudi arabia na wale wa islam orginal wa ottoman empire kule turkey wanakubali ila ww mwislam wa manzese unataka leta debate
 
Bunge la Morocco limepiga marufuku Binti wa umri wa chin ya miaka 18 kuolewa na ukimuoa unafia jela
Dah,
Hatimaye kumeanza kukucha huko kwa timu kobaz
Lakini pia ni marufuku kuongeza mke wa pili kwa mwanaume yeyote yule awe mkristo au mwisilam
Aisee,
Mbuyu huanza kama mchicha.
Muda si muda hiyo marufuku itaenea na itakuwa kawaida
Kikawaida katika uislam ndoa inaanzia na mtoto wa miaka 6 inafaa awe ameolewa na ni suna
Duh,
Uhalifu huo
 
Ndugu unabishana na kitabu chako kitakatifu
Waislam wa saudi arabia na wale wa islam orginal wa ottoman empire kule turkey wanakubali ila ww mwislam wa manzese unataka leta debate
Kitabu changu kitakatifu ni Quran siwezi pingana nacho. Hakuna muislam original yoyete Hata alisilimu Leo wote ni sawa mbora kati Yao ni mchamungu TU na anayemjua mchamungu ni Allah pekee. Quran hio hio ndio inayonifanya niweke debate Kwenye Hilo suala Kwa maana ndio inayolipinga
 
Amani kwenu wana jukwaa

Nchini Morocco kumetungwa Sheria mpya ya NDOA ambayo kwa waislam weusi wa TANZANIA wanadai inakinzana na utamadun wa kiarabu yaan wa kiislamu

Bunge la Morocco limepiga marufuku Binti wa umri wa chin ya miaka 18 kuolewa na ukimuoa unafia jela

Lakini pia ni marufuku kuongeza mke wa pili kwa mwanaume yeyote yule awe mkristo au mwisilam

Sasa nimepita huko mtandaon waislam wa misungwi, tinde, masasi wanadai inch ya Morocco imeanza kufuata Sheria za kikafir

Kikawaida katika uislam ndoa inaanzia na mtoto wa miaka 6 inafaa awe ameolewa na ni suna

Lakini pia kila mwanamume aoe wanawake wasiozidi wanne

Asante

Chanzo BBC
the same should apply kwa Tanzania. kikwazo kikubwa hadi sheria za Tanzania kuruhusu binti wa miaka 15 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi, au 14 kuolewa kwa ridhaa ya Mahakama, ni imani ya Kiislam. wao wanaamini akishavunja ungo tu, ruksa. na siku hizi watoto wanavunja ungo wengine darasa la nne kabisa, ati aolewe. na huwa kuna mjadala hatari sana unaendelea watu hadi wanataka kuandamana, ati sheria hii ya kuzuia inaingilia kitabu cha kuran, ati kuran cannot be edited, na kwamba sheria za nchi haziwezi kuwa juu ya kuran.

lakini ukiwauliza, kama sheria huwa hazibadiliki, mood alikuwa anapanda punda enzi zake, hapa kuwa na magari, kwa nini ninyi msiache kupanda magari ili mfanane na mood? hapo wanabaki mdomo wazi.
 
Sasa nimepita huko mtandaon waislam wa misungwi, tinde, masasi wanadai inch ya Morocco imeanza kufuata Sheria za kikafir
Wanaoa makafir wanawabadili dini wanawazalisha na kuwatelekeza
 
Umekuja na hii habari kidhihaka sana sijui unafaidi nini
 
Swali la Kizushi, nitajie tajiri mkubwa wa Kiislam hapa nchini mwenye mke zaidi ya mmoja
 
Back
Top Bottom