Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

Hiyo jamii imeshathibitisha haifai kukaa na jamii nyengine.

Hawa dawa yao warudishwe huko huko makwao.

Hata kama wakikosa makazi watajua wao wenyewe.
Yaan tatzo lao nkwamba huruma kwa jamii isiyo ya kwao ni sifuri kbsaa. Yaani hii isue ya huko Goma itawafanya vijana wa kizaz kipya iwatazame kwa sura nyingne kbsaa. I
 
Mtusi anajulikana,pua haidanganyi,unamuona kigwangala!?..baba yake mtusi wa burundi,tazama ile pua
Mwishowe utasema hata Mzee Wasira ni Mtusi kwasababu ya ile pua 😃

We jamaa huujui huu mgogoro wewe jikite na kuwasifia Hamas na Wahouthi.
 
Mwishowe utasema hata Mzee Wasira ni Mtusi kwasababu ya ile pua 😃

We jamaa huujui huu mgogoro wewe jikite na kuwasifia Hamas na Wahouthi.
Naujua,naufuatilia tangu hujazaliwa pengine, aliyekua mkuu wa ujasusi Rwanda kafanya interview,kamsikilize
 
Kweni Kingdom of Rwanda/Urundi ilikuwa inatawaliwa na Mfalme mmoja na ilikuwa na mipaka inayotambulika?!
Kwa kuwa utawala wa machifu na wafalme waliweza kutambua mipaka yao, basi hiyo ni dhahiri kulikuwa na mipaka ya asili kwa wakati huo.

Berlin Conference 1884-1885 ilikuwa ni kukiuka mipaka ya asili na kujitwalia maeneo yenye rasilimali baada ya kuwaua waafrika walikuwepo kwenye maeneo hayo.

Ila mzungu alipogundua uwezo wa akili kuwa waafrika wa maeneo hayo wana uwezo tofauti kati yao ndo akajenga imani na watutsi na kudai waafrika wengine wana akili za nyani.

Twaweza sema wabelgiji walikuwa “very fascinated” na uwezo wa watutsi kiakili na vimo vyao virefu na pia urefu wa pua zao

Huo ndo ulikuwa mwanzo wao watutsi kupendelewa kwenye maeneo kama utawala na jeshi.
 
Naujua,naufuatilia tangu hujazaliwa pengine, aliyekua mkuu wa ujasusi Rwanda kafanya interview,kamsikilize
Huyo Jasusi alikuwa anataka kumuondoa Kagame madarakani ili revenge dhidi ya Wahutu ifanyike.
 
Nini Sasa hatima na suluhu ya huko?
Kwa kweli ni kuitengeneza upya Congo DRC na kumpata kiongozi sahihi. Baada ya hapo ni kufanya mazungumzo baina ya pande zote na kukubaliana namna ya kutumia kwa pamoja rasilimali walo nazo.

Hivyo ufanyike uchaguzi mpya apatikane raisi anaeungwa mkono na pande zote na wananchi wote, kisha raisi huyo kuunda serikali inojumuisha makundi yote, kuunda jeshi jipya la Congo na kusimamia rasilimali za Congo DRC mpya.

Tukumbuke hakuna SADC, AU wala UN maana vyombo hivyo vimeshindwa kutekeleza majukumu yao.

Kwahiyo African problem will be solved by African solution.
 
Twaweza sema wabelgiji walikuwa “very fascinated” na uwezo wa watutsi kiakili na vimo vyao virefu na pia urefu wa pua zao
Waafrika wenye asili ya Ufugaji ni natural born leaders angalia Nigeria Federation akina Buhari ambao ni Wafugaji wa makabila ya Fulani angalia Kenya Rutto ambae ni kutoka kwa wafugaji angalia Mzee Yoweri angalia Mitume wengi wa Mungu walikuwa ni Wafugaji.
 
Mkuu malizia point yako umeishia juujuu.
 
Waafrika wenye asili ya Ufugaji ni natural born leaders angalia Nigeria Federation akina Buhari ambao ni Wafugaji wa makabila ya Fulani angalia Kenya Rutto ambae ni kutoka kwa wafugaji angalia Mzee Yoweri angalia Mitume wengi wa Mungu walikuwa ni Wafugaji.
Natambua hata hayati Nyerere alikuwa akichunga ng’ombe na akaanza shule ana miaka 12 na akapiga hadi ung’eng’e kisawasawa.

Lakini zipo sifa zingine za ziada ambazo mtu aweza kuziangalia ndo maana mzee PK alitumika na vijana wengine kwa hayati Mwalimu kwenye vita na Uganda kwa sababu alikuwa tayari ana uwezo kiujuzi na kiakili.

Hivyo wabelgiji waliona hizo “extra attributes”.
 
Yaani Gen nyamwasa(mtusi) amuondoe kagame Ili wahutu wafanye revenge,umelewa rubisi!?
Kagame amezuia mauaji ya kisasi ya Watutsi dhidi ya Wahutu wa Rwanda kulikuwa na baadhi ya Watutsi waliotala kulipa kisasi kwa kumuondoa Kagame madarakani.

Nadhani sasa unaweza ukawa umenielewa?.
 
Lengo lao ni nini hawa jamaa

Wana bahati sana wamekutana na jeshi goigoi la congo
Wanataka kupindua serikali hawa walifukuzwa or kuvuliwa madaraka ndio wameanzisha hili kundi even though lazima kuna power nyuma yao toka nchi nyingine na hasa magharibi
 
Lakini zipo sifa zingine za ziada ambazo mtu aweza kuziangalia ndo maana mzee PK alitumika na vijana wengine kwa hayati Mwalimu kwenye vita na Uganda kwa sababu alikuwa tayari ana uwezo kiujuzi na kiakili.
Hata Mzee Yoweri Museveni ni kijana wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 
Wanataka kupindua serikali hawa walifukuzwa or kuvuliwa madaraka ndio wameanzisha hili kundi even though lazima kuna power nyuma yao toka nchi nyingine na hasa magharibi
Wamagharibi mikono yao imefungwa khasa baada ya kugundulika kuwepo kwa makundi mengi ya mamluki wa kigeni.

Ndo maana hata raisi Trump hana kauli juu ua hili suala maana wamekuwa “exposed”.
 
Back
Top Bottom