Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa vyovyote utakavyosema, lakini unamjua aliewafurusha 2013 basi ni huyo huyo atakaewarudisha kwao Rwanda.Labda ungesema Mama yao 😆
Hotuba hii nyingine kuhusu mustakhabali wa amani Mashariki ya DR Congo
GEOPOLITICS KANDA YA MAZIWA MAKUU, EAC NA SADC
16 January 2025
Kigali, Rwanda
KAGAME ALIPUA WANA diplomasia
: 'Tshisekedi Ni Mjinga: Hajawahi Kushinda Uchaguzi Kongo, Na Mnajua Lakini Hamwezi Kusema Hadharani, Leo Nawaambia Live / Mubashara'
View: https://m.youtube.com/watch?v=lxfdT9kYBLA
Rais wa Rwanda amezidisha mvutano kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuwalipua wanadiplomasia wakati alipokutana nao katika mkutano wa kila mwaka na mabalozi wa nje wanaowakilisha nchi yao mjini Kigali Rwanda jana.
Kagame alimtaja rais mlaghai wa DRC Felix Tshisekedi kama mjinga ambaye hakujua la kufanya kama kiongozi.
Alisema Tshisekedi hajawahi kuchaguliwa kihalali na ndiyo sababu vita mashariki mwa Kongo vinaongezeka.
Kagame anatuhumiwa kuwafadhili waasi wa M23 ambao sasa wanadhibiti maeneo makubwa ya mashariki mwa DRC.
“Mtu (Tshisekedi) anayesababisha matatizo kati ya Rwanda na DRC hajawahi, mara mbili, kuchaguliwa na nyote mnajua. NA ninajua.
“Mtu huyu Tshisekedi hakuwahi kuchaguliwa, kwanza, hakuchaguliwa kabisa. Na unajua. Ni kwamba tu hatuiongelei hadharani na ninaizungumza hadharani sasa.
“Hiyo ndiyo tofauti. Mnaijua. Mara ya pili, hakuna kilichotokea. Na mnajua.”
Kagame aliongeza kuwa Tshisekedi hakuwa na sifa za uongozi.
“Nawafahamu viongozi ninapowaona. Pia najua wajinga ninapowaona.
"Unaweza kufikiria mchanganyiko wa wote wawili, janga ni.
"Kama wewe ni kiongozi na mjinga, ni balaa kabisa. Ni mbaya zaidi, hata hatari zaidi, ikiwa watu walewale walioshikilia mamlaka mikononi mwao wataamua kuwa watatumiwa na kuchezewa kwa maslahi fulani na wajinga,” alisema Rais Kagame.
Nchini Kongo kuna watu wanaongea Kinyarwanda, pia wilaya kadhaa za nchini Uganda lakini Uganda haisemi wale siyo raia wa Uganda ila Kongo kwa ujinga wao wanaamini raia wa Kongo wanaoongea Kinyarwabda siyo Wakongomani ! Huu ni ujinga na mbaya zaidi sehemu ya Jumuiya ya Kimataifa inakubali mtizamo wa Kongo!
Hili suala la Umoja wa Mataifa kulinda amani kwa miongo 3 yaani miaka 30 bila kufikiwa lengo la kuleta amani nchini Congo.
Hivyo ni jukumu la Rwanda kutafuta njia mbadala kuhakikusha usalama wake kwa kuwa inapakana na nchi iliyoshindwa kulinda usalama wake, huku viongozi wa Kongo wakifumbia macho Intarahamwe waliopo nchi jirani waliohusika na mauaji ya ya kimbari nchini Rwanda..
Inasikitisha jumuiya ya kimataifa chini ya mamlaka ya Umoja wa Mataifa kuilaumu Rwanda wakati ni wao jumuiya ya kimataifa imeshindwa kusitisha vita nchini Kongo mbali ya kutumia mamilioni ya dolari, vifaa, na Majeshi ya Kulinda Amani chini ya mwamvuli wa Umoja wa Mataifa MONUSCO ...
Ananyoosha tu Bukavu Uvira Kalemie Moba yaani kando kando mwa Ziwa Tanganyika Potwe hadi Lubumbashi.Na ndio nataka kuona anavukaje pale kati kufika Lubumbashi, maaana kule Kasai asijidanganye wakasai hawawezi kukubali mkasai mwenzio Felix atolewe Kwa hila
Hahahaha,hii ndio njia hata mm naona atatumia,ila sasa vile vikundi vya ulinzi vya kijadi..Mai Mai ,Simba na wengine wataelewana kweli?Ananyoosha tu Bukavu Uvira Kalemie Moba yaani kando kando ya Ziwa Tanganyika Potwe hadi Lubumbashi.
Vita ni training equipment na ammo na CAUSE.Hahahaha,hii ndio njia hata mm naona atatumia,ila sasa vile vikundi vya ulinzi vya kijadi..Mai Mai ,Simba na wengine wataelewana kweli?
Ha hahahaha..na hao ukiongea nao kiluba tu wanakuacha upiteVita ni training equipment na ammo na CAUSE.
View attachment 3221684
Sasa hawa ndio Wamayimayi unafikiri watazuia Waasi wa Congo River Alliance?
Labda uchawi wao ufanye kazi ya nguvu.
Na huko wanakopita ,ni Kwa wa Luba Kabila pinzani na Felix ( Kasai) sishangai wakafika Lubumbashi fasta tuVita ni training equipment na ammo na CAUSE.
View attachment 3221684
Sasa hawa ndio Wamayimayi unafikiri watazuia Waasi wa Congo River Alliance?
Labda uchawi wao ufanye kazi ya nguvu.
Congo Kuna ukabila Fulani hv ,hasa watu wa Katanga,huwa wanawadharau watu wa Kabila la Kasai anakotokea FelixNilichokigundua Felix Tshisekedi ana maadui wengi sana ndani ya Kongo sijui aliwafanya nini?
Gen. (Rtd) James Kabarebe, a three war veteran
Tena wawahi fasta kuwazuiaKatikati ya mwezi wa pili Waasi wataingia Lubumbashi labda kuwe na ceasefire.
Mkuu umelijua kwa kuchelewa sana, mim nna rafki zangu watutsi kibao na wengine wako kwenye ukoo wetu,yaani wanaspirit ya aina yake.Kipindi hiki tutawajua wengi sana wanaojiita watanzania kumbe mioyo yao ipo Rwanda.
Ikiwemo wewe mleta Uzi.
Hapo tunawaona kama M23 ndo tatzo, lakin kiuhalisia akili za wakongo nikama mwanamke malaya anayelala na wanaume wengine kwenye chumba cha mme wake. Sasa hapo unafikiri usalama wa nyumba na mmewe ukiwa mashakani kosa ni lanani?.Mmmh ,naona hii ngoma ngumu, maana kama M23 imemuweka mbele Cornele Nangaa Yobeluo maana ake wanataka sapoti ya wacongo ,hasa upande huo ulikoanzia vita , Kwa waluba ambao wengi hawamoendi Felix
No, watutsi wamejilimbikizia madaraka/mamlaka Rwanda, ndiyo namaanisha tutsi etnicity,wabinafsi,wamejimilikisha RwandaHao ni Wanyarwanda usiwagawe, Ututsi ni ethnicity Unyarwanda ni Nationality.
Watutsi wa Kongo ni Wakongomani Watutsi wa Tanzania ni Watanzania.
Inawezekana alikuwa compromised mda mrefu, ukumbuke Joseph Kabila hawali sahan moj na Tshiseked.Ukiona anaujasiri wa kusonga mbele ujue huko Kinshasa kuna watu wana prosess hilo tena ikulu. Hiyo movement nkama ya Laurent Kabila against Mobutu. Manake hapo Colonel Nanga ashaiuzia M23 kipande cha congo ili wamweke madarakani. Na ukweli nkwamba itajirudia picha ya fate ya Laurent Kabila na Rwanda baada ya kumng'oa Mobutu.Yeah na ndiye aliyetangaza matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Felix Tshishekedi