Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

Uwongo,fdlr hawana hiyo ideology,nyinyi watutsi mnawalisha maneno,fdlr waingizwe RDF,ni wanyarwanda
Kagame ukimwambia hili lazima akuue.

Halafu askari wengi wa FDLR ni watoto wa wakimbizi wa kihutu kutoka Rwanda waliozaliwa na kukulia Drc baada ya kumalizika kwa mauaji ya Rwanda, hivyo hawana hata hizo Idiolojia.
 
Sijui sisi Waafrika tunatatizo gani upstairs, inakuwaje mtu unajiita" Democratic Forces"wakati umebeba arms violently killing another ethnic group?!

Tulirogwa na nani?
Acha kuzuga,mlianza nyinyi kuwaua na mmewaua wengi kisha mkapiga propaganda kuwa wamekuueni
 
Kagame ukimwambia hili lazima akuue.

Halafu askari wengi wa FDLR ni watoto wa wakimbizi wa kihutu kutoka Rwanda waliozaliwa na kukulia Drc baada ya kumalizika kwa mauaji ya Rwanda, hivyo hawana hata hizo Idiolojia.
Aliambiwa na jakaya,akaleta mikwala mbuzi
 
Njia pekee ya kutatua huu mgogoro ni njia ya maongezi kuliko kuona Vijana wetu wa Kiafrika wakiuana bure.
📌📌📌KWENYE MALI NI KIFO TU NDO KINAAMUA AMANI!!!

#WARS WILL BE FOUGHT TILL THE LAST DROP OF BLOOD!
 
Goma, DR Congo

Vikosi vya South Africa chini ya mwamvuli wa SADC vyalilia kurudi nyumbani


View: https://m.youtube.com/watch?v=qJl8NUEGNV0
Wanajeshi wa Afrika Kusini wanaunda sehemu kubwa ya kikosi hicho wanajeshi kutoka nchi wanachama wa SADC - kinachojulikana kwa kifupi SAMIDRC chenye askari kutoka Malawi, South Africa na Tanzania

Vikosi vya nchi za SADC vilivyopo Goma DR Congo - SAMIDRC vilikuwa na dhamira ya kuyafukuza makundi yenye silaha kama vile M23 na kuleta amani katika eneo hilo lenye utajiri wa madini kufuatia miongo kadhaa ya machafuko.

Vikosi vya South Africa vilivyopo Mubambiro Goma vilionekana kumualika afisa wa jeshi la M23 Kuongea nao, huku askari wa South Afrika wakiangua kicheko baada ya kuhakikishiwa kuwa wapo katika himaya iliyo salama zaidi baada ya M23 kuchukua maeneo ya Goma.
1738410990804.jpeg
 
Mamluki 290 kutoka nchi za Romania, Belarus, Algeria n.k wafanikiwa kuondoka kwa ndege ya kukodi kurudi makwao


View: https://m.youtube.com/watch?v=QXoEtrvg-xQ
Mamluki hao waliokuwa wameajiriwa na kampuni ya ulinzi ya binafsi kusaidia jeshi la serikali ya DR Congo FARDC, walijisalimisha kwa M23 kisha kupelekwa Rwanda nchi jirani yenye mpaka pekee na jimbo la Kivu la nchini DR Congo kwa ajili ya usalama wao na pia ukaribu kwa ajili ya taratibu za usafiri wa kimataifa.
 
Mbinu za Samora Machel zatumiwa na M23 kuungoa utawala wa Kinshasa ?

Kagame, Museveni, mzee Kabila wote hawa walikopi na kupesti mbinu alizotumia Samora Machel kupata ushindi katika uwanja wa mapambano ya kivita pamoja na kukonga nyoyo za raia kuunga mkono mapambano. 2025 nao M23 wanapita mulemule hadi Kinshasa.

Historia ya vita vya kujikomboa Afrika (Dokumentari)

11 January 2025
SAMORA MACHEL KATIKA MBINU ZAKE ZA KUWASHAWISHI RAIA UKOMBOZI

Mapambano ya Samora Machel | Jinsi Mapinduzi ya Msumbiji Yalivyomaliza Ufalme wa Ureno



View: https://m.youtube.com/watch?v=wTwI48jN-fY
Maneno mazito ya Samora katika hotuba zake : Jambo zuri zaidi katika maisha ya mtu ni uhuru wake. Hawezi kuwa na chakula chochote, na hawezi kuwa na nguo yoyote, lakini angalau ana uhuru wake.

Watu wenye akili timamu wanaweza kutokubaliana, lakini kwa Samora Machel wa Msumbiji, uhuru ulikuwa sababu ya kustahili kufa. Na tangu utoto hadi kaburi, shujaa huyu wa ibada ya mapinduzi angejitolea maisha yake kutafuta haki, uhuru na usawa kwake, na kwa watu wake.

Hii ni hadithi ya mtu na taifa lake. Hadithi ya ushindi mkubwa, na msiba mkubwa. Hii ni hadithi ya Samora Moises Machel na kuzaliwa kwa nchi yake aipendayo, Msumbiji.
Source: NewAfrika

Samora Machel's Struggle | How Mozambique’s Revolution Ended Portugal's Empire

 
Goma, Kivu ya Kaskazini
DR Congo

Bertrand Bisimwa mmoja wa viongozi wa M23 katika mahojiano exclusive anafafanua nia na malengo ya mapambano


View: https://m.youtube.com/watch?v=Z-Qzg9YYboU
Haya ni mapambano ya kitaifa, na Kinshasa watambue kuwa waBanyamulenge ni sehemu ya wana wa Kongo wanaoshiriki katika mapambano haya.

Naye hapa chini katika video, Rais wa M23 / AFC Corneille Nagaa, asisitiza sisi sote ni wakongomani Tshisekedi atambue hilo huko Kinshasa na kuwa mamluki wawe wa kiRomania, Burundi na jeshi FARDC,Vikosi vya nchi za SADC SAMIDRC vilivyopo DR Congo - hawawezi kumuokoa

View: https://m.youtube.com/watch?v=ONcgjruVebk
 
Tanzania chini ya kikwete tu ndio aliwanyoosha hawa jamaa. sasaivi wanajua tuan rais mwanamke hatuna lolote.
Hakuna kitu kama hicho, propaganda za CCM tuu na chawa wake, M23 hawakuwahi kushindwa vita na jeshi la CCM, do some research utajua
 
At the end of the day yoyote atakaye control bora afanye ya maana maendeleo yaonekane, hata Tshisekedi hajaingia kihalali madarakani.
Nakumbuka kipindi cha vita vya Laurent Kabila vs Mobutu wananzengo walikuwa wakidaia waasi hawatawaweza Presidential Special Forces hivyo haitawezekana kuiteka Kinshasa lakini imedhihirika DRC army hawapati mafunzo stahiki japo statistics zinadai wana jeshi strong.
Latest data from Google👇
9-Sudan
10-LibyaView attachment 3218226
Ninasikia enzi za Mzee Kabila ilikuwa hivi hivi Mara Mzee hawezi fika Kinshasa .Ila kwa Msaada wa Rwanda na Uganda mzee akafika Kin.
 
Democratic Republic of Kivu inawezekana lakini kwanza wakamate Kinshasa halafu mpango upelekwe Bungeni ili Referendum ifanyike watu wa Kivu waulizwe kama wanaona Kinshasa ni mbali kiAdministration nina imani wengi watapiga kura kujitenga na ghasia za Kongo.

Au wapewe full Autonomy.
Halafu baadae waombe kujiunga na Rwanda.
 
Museveni naye kama Kagame, Mzee Kabila, M23, Samora Machel asema nini kifanyike ili wapiganaji wasipigilie msumari wa mwisho katika jeneza la Felix Tshisekedi, ili rais huyo wa Congo apate afuheni ya kubaki na kuongoza maridhiano

01 February 2025
MGOGORO WA M23 NCHINI KONGO; MUSEVENI AMSHAURI FELIX TSHISEKEDI KUHUSU MAZUNGUMZO NA WAASI.

View: https://m.youtube.com/watch?v=jEYP-CxNLco
Mazungumzo ya Maridhiano na M23 ni lazima Tshisekedi hawezi kuyakimbia, pia uitishwe mkutano (Joint summit) SADC EAC huku serikali ya DR Congo na pia makundi ya M23 kushiriki kwa kuwa nchi hizi ndiyo wadau wakubwa pia wanaelewa kwa kwa kina ufumbuzi wa mgogoro huu kuliko wadau wengine wa kimataifa
 
Madhani walikuwa hawajajiandaa kama walivyo sasa hivi, sasa hivi wamejizatiti na silaha za kisasa wana vifaa na wameongeza Askari wao wanaofikia 8000 strong armed to the teeth.
Hadi Wana jam drones
 
Uwongo,fdlr hawana hiyo ideology,nyinyi watutsi mnawalisha maneno,fdlr waingizwe RDF,ni wanyarwanda
Hutu Power is an ethnic supremacist ideology that asserts the ethnic superiority of Hutu, often in the context of being superior to Tutsi and Twa, and therefore, they are entitled to dominate and murder these two groups and other minorities.
 
30 January 2025
AEROPORTO DE GOMA
Goma, DR Congo

UWANJA WA NDEGE WA GOMA ULIOTEKWA NA M23


View: https://m.youtube.com/watch?v=0wJT-jHeNnQ

Mwandishi anatuonesha silaha za kila aina za jeshi la DR Congo la FARDC zilizotelekezwa ikiwemo mizinga ya kila aina, mortars, malori yenye rocket launcher ya BM Katushya mizinga Sabasaba, ndege vita katika hangar , vifaru, magari ya deraya, Malori ya kijeshi ya logistics, magari ya pick up za kijeshi n.k

Uwanja huo wa ndege sasa upo mikononi mwa majeshi ya M23

Jeshi la Kongo kama pants road
 
Hicho anachowafanyia wacongo toka mwaka 1996 ni zaidi ya ukatili.
Amewakomboa Wacongo kutoka kwenye makucha ya Brutal Dictator Mobutu Sese Seko kuku Ngwendu wa Zabanga.

Hiyo ni zawadi kubwa sana ilitakiwa Wakongo wamjengee Sanamu la heshima pale Kinshasa likae karibu na Sanamu la Lumumba.
 
Amewakomboa Wacongo kutoka kwenye makucha ya Brutal Dictator Mobutu Sese Seko kuku Ngwendu wa Zabanga.

Hiyo ni zawadi kubwa sana ilitakiwa Wakongo wamjengee Sanamu la heshima pale Kinshasa likae karibu na Sanamu la Lumumba.
Huu pia ni ukombozi....

 
Back
Top Bottom