Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

Msikilize na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere

View: https://youtu.be/fu83XspMZA4?si=sG9Ayr6PVKMIQ6mY
Huyu ndio kabisa alikua hampendi Mobutu, na alimfuga mseven na KAGAME, pamoja na kabila hapa bongo. Na hata ailivyopinduliwa Mobutu huyo Mzee alifurahi sana akaenda kuunga mkono Serikali ya Kabila. Huyu ndio kasababisha yote yanayoendelea hapo Congo bila kuwafuga Hawa mbwa KAGAME na Mseven hii Congo pangekua pametulia mpaka sasa.

JWTZ ipeleke huko vijana walipwe million 20/25 per month, waimalishe ulinzi huko Goma, kivu, Serikali itangaze ajira kwa vijana waache kua panyaroad waingizwe jeshini na wale wakongwe wapelekwe huko nchi ipate Fedha za kutosha.
 
Thabo Mbeki anauelewa huu mgogoro vizuri kuliko Ramaphosa.
 
Kundi la M23 lilianzaje? Mwanzilishi ni nani? Waanzilishi wake walitoka wapi?
 
Baadhi ya wakazi wa Bukavu wameanza kukimbilia Rwanda.
 
Kwahiyo unataka JWTZ liwe Mamluki katika vita vya Kongo?!

Isije ikawa ni Biafra 2.
Iwe mamluki kivipi, ipewe Tender ya kuimalisha ulinzi, huo ukanda. Vijana wapate ajira na nchi yetu inufaike. "BAHIMA EMPIRE lazima ikomeshwe".
 
Iwe mamluki kivipi, ipewe Tender ya kuimalisha ulinzi, huo ukanda. Vijana wapate ajira na nchi yetu inufaike. "BAHIMA EMPIRE lazima ikomeshwe".
Hiyo JW iliyojaa Wahutu kutoka Nchi jirani?! Umemsikiliza Mhe Luhaga Mpina?!
 
Hiyo JW iliyojaa Wahutu kutoka Nchi jirani?! Umemsikiliza Mhe Luhaga Mpina?!
Acha ijaze wahutu,maana hata watusi nao wapo Rwanda lkn pia jeshini kwetu wapo, hata Kagame&Mseven walienda kupigana Msumbiji wakiwa na passport za Tz.

Hata mapinduzi ya Burundi yaliyokua yamepangwa na KAGAME lkn JW Iliingilia kati yakatulizwa.
 
Acha ijaze wahutu,maana hata watusi nao wapo Rwanda lkn pia jeshini kwetu wapo, hata Kagame&Mseven walienda kupigana Msumbiji wakiwa na passport za Tz.

Hata mapinduzi ya Burundi JW yaliyokua yamepangwa na KAGAME lkn JW Iliingilia kati yakatulizwa.
😆😆🙌
 
30 January 2025
AEROPORTO DE GOMA
Goma, DR Congo

UWANJA WA NDEGE WA GOMA ULIOTEKWA NA M23


View: https://m.youtube.com/watch?v=0wJT-jHeNnQ
Mwandishi anatuonesha silaha za kila aina za jeshi la DR Congo la FARDC zilizotelekezwa ikiwemo mizinga ya kila aina, mortars, malori yenye rocket launcher ya BM Katushya mizinga Sabasaba, ndege vita katika hangar , vifaru, magari ya deraya, Malori ya kijeshi ya logistics, magari ya pick up za kijeshi n.k

Uwanja huo wa ndege sasa upo mikononi mwa majeshi ya M23
 
Aisee... m23 wamejipatia silaha za bure.😁
 
Binafsi ninhependa wachukue Nchi hiyo iwe KIVu Ili kuweka na stability japo suala hili ni gumu haliungwi mkono Kimataifa ila wanaweza jitemga kama Somaliland na maisha yakaenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…