Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

Nadhani lile shambulio la kupindua lilikua jaribio tu ,Sasa wameona kuingia Kwa style Ile ni ngumu

Waamua kuja Kwa style hii ya kuasi na mbaya zaidi huko waliko anzia ndio siku zote ni njia rahisi kufika Lubumbashi
Unataka kusema yale yale ya Syria yanataka kujitokeza?
 
Usijaribu kushawishi taifa letu liingie kwenye mgogoro usio na tija,uje usababishe tupoteze territory kwa hiden enemy,najua TISS wanajua hili,najua nchi haitajiingiza vitani kwa kukulupuka kufata maneno ya watu ambao hawajawahi kuingia frontline
Akili yako huitumii sawa sawa!

Vipi na suala la wakimbizi kwa mikoa ya jirani nalo hulioni?
 
Akili yako huitumii sawa sawa!

Vipi na suala la wakimbizi kwa mikoa ya jirani nalo hulioni?
Kwa akili yako unajua hidden enemy tutakapo jaribu kupigana na rwanda,au unadhani vita ni sawa na kucheza game la toyi??
 
لا أفهم ما تكتبه
Hapo naona tutaelewana!
Naona unaendelea kutangaza utamaduni wenu wa Kiarabu na lugha yenu kwanini usiandike kwa lugha kiswahili tu?
 
Naona unaendelea kutangaza utamaduni wenu wa Kiarabu na lugha yenu kwanini usiandike kwa lugha kiswahili tu?
Wewe umeniandikia kwa lugha ipi?

Lugha ambayo siielewi!

Basi ngoja nikuandikie kwa lugha hii

我不明白你写的东西 (Wǒ bù míngbái nǐ xiě de dōngxi)
 
Hii kubwa sana na ni hali ya tishio!

Njia kama aliyoitumia kabila kwa kuomba nchi za jirani zimsaidie kama vita ya Congo ya awamu ile inaweza kumsaidia?
Mmmh ,naona hii ngoma ngumu, maana kama M23 imemuweka mbele Cornele Nangaa Yobeluo maana ake wanataka sapoti ya wacongo ,hasa upande huo ulikoanzia vita , Kwa waluba ambao wengi hawamoendi Felix
 
Wakuu,

Habari ndio hiyo, Waasi wa M23 wanaelekea Bukavu mji mkuu wa jimbo la Sud Kivu baada ya kuuteka mji mkuu wa nord Kivu wa Goma.

==================================================

The humanitarian crisis in the Democratic Republic of Congo intensifies as Rwanda-backed M23 rebels advance towards Bukavu, taking control of Goma. Over 500,000 people have been displaced in January alone, and tensions between Congo and Rwanda have escalated. The international community urges for a ceasefire to prevent further conflict.

Kagame anahitaji vikwazo vya mabeberu Ili kukomesha hizo vurugu.
 
Mmmh ,naona hii ngoma ngumu, maana kama M23 imemuweka mbele Cornele Nangaa Yobeluo maana ake wanataka sapoti ya wacongo ,hasa upande huo ulikoanzia vita , Kwa waluba ambao wengi hawamoendi Felix
Duh!

Hakuna another option?

Vipi usalama wa Tanzania utakuwaje kama M23 wakifanikiwa kwenye hili?

Kwa sababu nayaona kama ya majimbo hayo kwa baadaye kujiunga na Rwanda na kufanya nchi zilizoamua kisheria kuungana.

Ni kama majimbo ya Ukraine kujiunga na Russia.
 
Hii kubwa sana na ni hali ya tishio!

Njia kama aliyoitumia kabila kwa kuomba nchi za jirani zimsaidie kama vita ya Congo ya awamu ile inaweza kumsaidia?
Sawa sawa ila hata yeye Nangaa akifanikwa kuchukua nchi ni Yale Yale tu ya Muzee Kabila maaana atakua kaingizwa madarakani na Wanyarwanda. Je wamekubaliana nn ili yeye afike Kinshasa?
 
Back
Top Bottom