Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

Sawa sawa ila hata yeye Nangaa akifanikwa kuchukua nchi ni Yale Yale tu ya Muzee Kabila maaana atakua kaingizwa madarakani na Wanyarwanda. Je wamekubaliana nn ili yeye afike Kinshasa?
Lazima atatoa kipande cha ardhi.

Unafikiri makubaliano yatakuwa ni yapi?
 
Duh!

Hakuna another option?

Vipi usalama wa Tanzania utakuwaje kama M23 wakifanikiwa kwenye hili?

Kwa sababu nayaona kama ya majimbo hayo kwa baadaye kujiunga na Rwanda na kufanya nchi zilizoamua kisheria kuungana.

Ni kama majimbo ya Ukraine kujiunga na Russia.
Sijajua ila ujue kuwa kila kitu kinaenda Kwa Hatua... Hatua ya kwanza nadhani ni kumtoa Felix ,then waangalie Hatua ya pili, ila ni ngumu Yale majimbo kuwa chini ya M23

M23 wao wako pale kuwablock FDLR Kwa kupitia vita hivi means wanaenda kukutana huko misituni

Felix yeye angewapa silaha wale FDLR ili huko porini kipigwe haswa
 
Hii hali naiona bado ngumu!

Nisaidie kitu kimoja..

Inawezekana vipi nchi kama ya Congo ipo vitani kwa muda mrefu lakini maboresho ya jeshi lao ni hafifu?

Hizi habari zina usahihi?

Na kama hazina usahihi ni kwa kiasi gani?
 
Mkongo sio mtu wa kukubaliana nae anakugeuka mara Moja, kama Muzee Kabila alivyowageuka Wanyarwanda waliomuingiza madrakani
Ilihali hili M23 analijua!!!

Kwa sababu itakuwa ni history inajirudia.

Kwa hali ya namna hii kama mapigano yanachukua hii sura pengine tunaweza kutabiri tutaiona Congo ya namna gani?
 
Kipindi Felix anaingia nilikua kule ,na nilitoa maoni yangu humu Nini afanye kule east, ila mwanzo nilijua ni matatizo tu ya kawaida kumbe ni tofauti
 
Mwaka wa 2012/2013 baada ya vikwazo kumng'ata Kagame hatimaye Rwanda ililegeza ufadhili wake kwa M23 na mwishowe walikimbilia Uganda baada ya kushindwa na jeshi la Drc.

Bila vikwazo, Kagame ataitesa mno Drc.
Mkuu Proved.

Kwa namna moja ama nyengine unafikiri vikwazo vinaweza kuchangia kulinyong'onyesha kinguvu kundi la M23 kama siyo kulimaliza?
 
Duh!

Hakuna another option?

Vipi usalama wa Tanzania utakuwaje kama M23 wakifanikiwa kwenye hili?

Kwa sababu nayaona kama ya majimbo hayo kwa baadaye kujiunga na Rwanda na kufanya nchi zilizoamua kisheria kuungana.

Ni kama majimbo ya Ukraine kujiunga na Russia.
Unaulizaje kama hujui kinachoendelea huyo kiongozi wa waasi anaongea kiswahili cha sinza kabisa wakati tshekedi hata kiswahili hajui wewe utakaa upande wa nani na utahisi mwenzako ni nani..?
 
Nilitegemea Felix angekua na mkakati wa kule east lkn nashanga anafeli namna hii
Anafeli sana sana, na hiki kinatufanya wengi tumuone mpumbavu asiye na akili.
Hiv kwa Rais wa DR congo, ni kitu gani kwake kilipaswa kuwa kipaumbele kama sio suala la Eastern congo??
Hii ilipaswa kuwa agenda yake number 1 from day 1 anaingia ikulu.
Mpumbavu huyu kila siku kushindia vikao visivyo na mbele wa nyuma hajui hata anataka nini.

Tunamlaumu sana Kagame ila baada ya kusikia hotuba yake katika mkutano wa EAC jamaa nimemuona ana akili sana. NA ninkama amekua akiwafokea maraisi wenzie na 100% ya alichokiongea ni kweli...
Fuc.k them all eac presidents!!.
 
Mwaka wa 2012/2013 baada ya vikwazo kumng'ata Kagame hatimaye Rwanda ililegeza ufadhili wake kwa M23 na mwishowe walikimbilia Uganda baada ya kushindwa na jeshi la Drc.

Bila vikwazo, Kagame ataitesa mno Drc.
Dialogue kati ya DRC na M23 halafu DRC iwakamate FLDR iwanyang'anye silaha na kuwakabidhi Rwanda mgogoro unaisha bila ya Vikwazo wala nini.

Solution ya mgogoro iko wazi mbona.
 
Sasa vikwazo Kwa waasi? Mbn ni km kujisumbua tu
Kuna nukta ameigusia ndugu Proved kuwa Rwanda ipigwe vikwazo!

Na kwa kufanya hivyo itapunguza nguvu yake ya kuliwezesha kundi la M23 na akatoa mfano kuwa hii mbinu ilitoa majibu mazuri kwa Rwanda kwani ilishindwa kuwafadhili muda fulani na hilo kundi kukimbilia Uganda.
 
Mwaka wa 2012/2013 baada ya vikwazo kumng'ata Kagame hatimaye Rwanda ililegeza ufadhili wake kwa M23 na mwishowe walikimbilia Uganda baada ya kushindwa na jeshi la Drc.

Bila vikwazo, Kagame ataitesa mno Drc.
Vikwazo vimeanza, Umoja wa Ulaya EU wamepiga marufuku Kahawa ya kutoka Kongo sasa itabidi Wakongo wapeleke Kahawa yao Uganda Rwanda badala ya kuiuza moja kwa moja kwenye soko la Ulaya.
 
Habari mpya zinasema Tishekedi ameamuru wanamgambo wa "Nyatura" waulinde Mji wa Bukavu inasemekaana Wanamgambo hao wa Nyatura wanatumia za nguvu za Giza na Uchawi kama mbinu zao katika uwanja wa mapambano.

Pichani ni baadhi ya wa Nyatura wakipiga doria.
Mai-Mai.jpg

Mimi huwa najiuliza....hivi huyu Tishekedi ni mzima kweli upstairs?!
 
Kuna nukta ameigusia ndugu Proved kuwa Rwanda ipigwe vikwazo!

Na kwa kufanya hivyo itapunguza nguvu yake ya kuliwezesha kundi la M23 na akatoa mfano kuwa hii mbinu ilitoa majibu mazuri kwa Rwanda kwani ilishindwa kuwafadhili muda fulani na hilo kundi kukimbilia Uganda.
Nimeona iw point ☝️ hapo juu Iko sawa ila pia Kuna mdau nae katoa ushauri juu hapo
 
Habari mpya zinasema Tishekedi ameamuru wanamgambo wa "Nyatura" waulinde Mji wa Bukavu inasemekaana Wanamgambo hao wa Nyatura wanatumia za nguvu za Giza na Uchawi kama mbinu zao katika uwanja wa mapambano.

Mimi huwa najiuliza....hivi huyu Tishekedi ni mzima kweli upstairs?!
Sasa hivyo vikundi vya kijadi vingi ni vya waluba ,watamfelisha tu
 
Sijajua ila ujue kuwa kila kitu kinaenda Kwa Hatua... Hatua ya kwanza nadhani ni kumtoa Felix ,then waangalie Hatua ya pili, ila ni ngumu Yale majimbo kuwa chini ya M23

M23 wao wako pale kuwablock FDLR Kwa kupitia vita hivi means wanaenda kukutana huko misituni

Felix yeye angewapa silaha wale FDLR ili huko porini kipigwe haswa
Tamaa ya kutaka kufika Kinshansa itawaponza. Hapo kati watu wengi sana wana maslahi yao. Wangechukua tu Kivu zao mbili na kuridhika. Huyo Nangaa akubali malipo mengine mbadala wa Kinshansa.
 
Dialogue kati ya DRC na M23 halafu DRC iwakamate FLDR iwanyang'anye silaha na kuwakabidhi Rwanda mgogoro unaisha bila ya Vikwazo wala nini.

Solution ya mgogoro iko wazi mbona.
Hahahaha wazo zuri ila ktk kulitekeleza Sasa ndio ngumu
 
Back
Top Bottom