Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

Anafeli sana sana, na hiki kinatufanya wengi tumuone mpumbavu asiye na akili.
Hiv kwa Rais wa DR congo, ni kitu gani kwake kilipaswa kuwa kipaumbele kama sio suala la Eastern congo??
Hii ilipaswa kuwa agenda yake number 1 from day 1 anaingia ikulu.
Mpumbavu huyu kila siku kushindia vikao visivyo na mbele wa nyuma hajui hata anataka nini.

Tunamlaumu sana Kagame ila baada ya kusikia hotuba yake katika mkutano wa EAC jamaa nimemuona ana akili sana. NA ninkama amekua akiwafokea maraisi wenzie na 100% ya alichokiongea ni kweli...
Fuc.k them all eac presidents!!.
Hotuba hii nyingine kuhusu mustakhabali wa amani Mashariki ya DR Congo

GEOPOLITICS KANDA YA MAZIWA MAKUU, EAC NA SADC

16 January 2025
Kigali, Rwanda

KAGAME ALIPUA WANA diplomasia
: 'Tshisekedi Ni Mjinga: Hajawahi Kushinda Uchaguzi Kongo, Na Mnajua Lakini Hamwezi Kusema Hadharani, Leo Nawaambia Live / Mubashara'

View: https://m.youtube.com/watch?v=lxfdT9kYBLA

Rais wa Rwanda amezidisha mvutano kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuwalipua wanadiplomasia wakati alipokutana nao katika mkutano wa kila mwaka na mabalozi wa nje wanaowakilisha nchi yao mjini Kigali Rwanda jana.

Kagame alimtaja rais mlaghai wa DRC Felix Tshisekedi kama mjinga ambaye hakujua la kufanya kama kiongozi.

Alisema Tshisekedi hajawahi kuchaguliwa kihalali na ndiyo sababu vita mashariki mwa Kongo vinaongezeka.

Kagame anatuhumiwa kuwafadhili waasi wa M23 ambao sasa wanadhibiti maeneo makubwa ya mashariki mwa DRC.

“Mtu (Tshisekedi) anayesababisha matatizo kati ya Rwanda na DRC hajawahi, mara mbili, kuchaguliwa na nyote mnajua. NA ninajua.

“Mtu huyu Tshisekedi hakuwahi kuchaguliwa, kwanza, hakuchaguliwa kabisa. Na unajua. Ni kwamba tu hatuiongelei hadharani na ninaizungumza hadharani sasa.

“Hiyo ndiyo tofauti. Mnaijua. Mara ya pili, hakuna kilichotokea. Na mnajua.”

Kagame aliongeza kuwa Tshisekedi hakuwa na sifa za uongozi.

“Nawafahamu viongozi ninapowaona. Pia najua wajinga ninapowaona.

"Unaweza kufikiria mchanganyiko wa wote wawili, janga ni.

"Kama wewe ni kiongozi na mjinga, ni balaa kabisa. Ni mbaya zaidi, hata hatari zaidi, ikiwa watu walewale walioshikilia mamlaka mikononi mwao wataamua kuwa watatumiwa na kuchezewa kwa maslahi fulani na wajinga,” alisema Rais Kagame.

Nchini Kongo kuna watu wanaongea Kinyarwanda, pia wilaya kadhaa za nchini Uganda lakini Uganda haisemi wale siyo raia wa Uganda ila Kongo kwa ujinga wao wanaamini raia wa Kongo wanaoongea Kinyarwabda siyo Wakongomani ! Huu ni ujinga na mbaya zaidi sehemu ya Jumuiya ya Kimataifa inakubali mtizamo wa Kongo!

Hili suala la Umoja wa Mataifa kulinda amani kwa miongo 3 yaani miaka 30 bila kufikiwa lengo la kuleta amani nchini Congo.

Hivyo ni jukumu la Rwanda kutafuta njia mbadala kuhakikusha usalama wake kwa kuwa inapakana na nchi iliyoshindwa kulinda usalama wake, huku viongozi wa Kongo wakifumbia macho Intarahamwe waliopo nchi jirani waliohusika na mauaji ya ya kimbari nchini Rwanda..

Inasikitisha jumuiya ya kimataifa chini ya mamlaka ya Umoja wa Mataifa kuilaumu Rwanda wakati ni wao jumuiya ya kimataifa imeshindwa kusitisha vita nchini Kongo mbali ya kutumia mamilioni ya dolari, vifaa, na Majeshi ya Kulinda Amani chini ya mwamvuli wa Umoja wa Mataifa MONUSCO ...
 
Tamaa ya kutaka kufika Kinshansa itawaponza. Hapo kati watu wengi sana wana maslahi yao. Wangechukua tu Kivu zao mbili na kuridhika. Huyo Nangaa akubali malipo mengine mbadala wa Kinshansa.
Nangaa hawezi kukubali kuishia Bukavu bila ya kufika Kinshasa... Nadhani kazamilia kbs kufika Kinshasa na kuwa Rais wa DRC
 
Hahahaha, Nangaa kauza matokeo ya uchaguzi,maana yeye ndio aliyemtangaza Felix Tshishekedi kama Rais wa DRC
 
Nangaa hawezi kukubali kuishia Bukavu bila ya kufika Kinshasa... Nadhani kazamilia kbs kufika Kinshasa na kuwa Rais wa DRC
Itamkosti. Kitakachotokea ni 3rd Congo War ambayo haitafanikisha chochote. Kuna wachina wana migodi huko Kusini. Wazungu na Almasi huko Kasai. Kuna wa SA. Na hasa ni Angola ambaye anataka Kinshasa iwe na kibaraka wake ili asije mtibulia dili ya mafuta, maana sehemu kubwa ya mafuta wanachimba ni ya DRC.
 
Na ndio nataka kuona anavukaje pale kati kufika Lubumbashi, maaana kule Kasai asijidanganye wakasai hawawezi kukubali mkasai mwenzio Felix atolewe Kwa hila
 
Miji ya Uvira Kalemie Moba hadi Lubumbashi hofu imetanda sana.
 
Mkuu Proved.

Kwa namna moja ama nyengine unafikiri vikwazo vinaweza kuchangia kulinyong'onyesha kinguvu kundi la M23 kama siyo kulimaliza?
Vikwazo dhidi ya Rwanda, vitamaliza nguvu ya hili kundi maana utawala wa Kigali hautakuwa na fedha za kuendesha hii vita.
 
Anafeli sana sana, na hiki kinatufanya wengi tumuone mpumbavu asiye na akili.
Hiv kwa Rais wa DR congo, ni kitu gani kwake kilipaswa kuwa kipaumbele kama sio suala la Eastern congo??
Hii ilipaswa kuwa agenda yake number 1 from day 1 anaingia ikulu.
Mpumbavu huyu kila siku kushindia vikao visivyo na mbele wa nyuma hajui hata anataka nini.

Tunamlaumu sana Kagame ila baada ya kusikia hotuba yake katika mkutano wa EAC jamaa nimemuona ana akili sana. NA ninkama amekua akiwafokea maraisi wenzie na 100% ya alichokiongea ni kweli...
Fuc.k them all eac presidents!!.
Wewe mnyarwanda lazima umtetee bosi wako Kagame.
 
Back
Top Bottom