Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Huyo ndo nafahamu kabisa kwa asilimia 120.Hata Mzee Yoweri Museveni ni kijana wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndo nafahamu kabisa kwa asilimia 120.Hata Mzee Yoweri Museveni ni kijana wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
KafanyajeHivi huyu Raisi wa Burundi kuna mtu huwa anamsikiliza kweli?!
Burundi uwezo wa kuichakaza Rwanda wanaoJana alikuwa anapiga mkwara mzito wa kupigana na M23 na anasema ataivamia Rwanda kijeshi.
Awa ni sawa na mgambo tu
🤣🤣🤣🤣Mtusi anajulikana,pua haidanganyi,unamuona kigwangala!?..baba yake mtusi wa burundi,tazama ile pua
Halafu M23 itajigawa makundi mawili huku moja kuelekea kusini Bukavu na lingine magharibi katikati ya Congo hadi Kisangani ili kuambaa na mto mkubwa mto Kongo wakilizingira jeshi la serikali FARDC dhaifu lililo na morali ndogo kwa kuliweka mtu kati liweke silaha chini, wao M23 wakiteremka hadi Kinshasa kumgoa Tshisekedi
View attachment 3218221
Kumzingira Mtukati hadi Kinshasa :
View attachment 3218224
Mpwa waruba si wale wana mizuka sana hasa hata wakitaka kupigana wanaanza kukata mauno weeeee pande zote kisha kinanuka au nimewafananisha?Sasa hivyo vikundi vya kijadi vingi ni vya waluba ,watamfelisha tu
Warundi wana wapiganaji wazuri sana kinachowafelisha ni logistic duni ila kwa kariba ya Rwand ,Mrundi anamtoboa vizuri tu wana ile kitu wanaita"battle hardened"Jana alikuwa anapiga mkwara mzito wa kupigana na M23 na anasema ataivamia Rwanda kijeshi.
Mrundi hana uchumi wa kupigana Vita vita inataka pesa na Burundi kwasasa anaexport majani ya chai kidogo na kahawa kitu gani kingine...? Burundi hata madini hana ana Quartz Christals kidogo asilimia kubwa ya vijana wake wako Tanzania kwenye Migodi kama labourers na wengine ni Machinga kwenye miji ya Tanzania.Warundi wana wapiganaji wazuri sana kinachowafelisha ni logistic duni ila kwa kariba ya Rwand ,Mrundi anamtoboa vizuri tu wana ile kitu wanaita"battle hardened"
Kitu kingine wana historia mbaya na Rwnd hivyo wanajuana nje ndani
MKuu angalia tena nilichoandika ,nakubaliana kuhusu uchumi wao ila nilizungumzia zaidi ile fighting spirit Urundi wanayo sana na kwa sasa wana umoja tofauti na Tall shida moja ya kule kwa Tall kuna makundi makundi mengi yamejificha humo humo ambayo yanasubiri mmoja aanze tu wabweke wote ,Mrundi hana uchumi wa kupigana Vita vita inataka pesa na Burundi kwasasa anaexport majani ya chai kidogo na kahawa kitu gani kingine...? Burundi hata madini hana ana Quartz Christals kidogo asilimia kubwa ya vijana wake wako Tanzania kwenye Migodi kama labourers na wengine ni Machinga kwenye miji ya Tanzania.
Nimekuwa nikiwauliza kwanini wanakimbia Burundi wanasema Njaa na Usalama.
Wafugaji kwa kawaida ni watu violent. Hicho ndicho kiliwafanya wawe watawala.Waafrika wenye asili ya Ufugaji ni natural born leaders angalia Nigeria Federation akina Buhari ambao ni Wafugaji wa makabila ya Fulani angalia Kenya Rutto ambae ni kutoka kwa wafugaji angalia Mzee Yoweri angalia Mitume wengi wa Mungu walikuwa ni Wafugaji.
mkuu si hata mfugaji wa broiler au? Mana kuna mkuu mmoja yule alikua na broilerWaafrika wenye asili ya Ufugaji ni natural born leaders angalia Nigeria Federation akina Buhari ambao ni Wafugaji wa makabila ya Fulani angalia Kenya Rutto ambae ni kutoka kwa wafugaji angalia Mzee Yoweri angalia Mitume wengi wa Mungu walikuwa ni Wafugaji.