Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Mkuu mimi mwenyewe sijaelewa jamaa ana wasisi gani Hivi kweli
Hatuna artillery, hatuna PCV, hatuna helicopter, hatuna tank na kama helicopter anasema kenya wanazo nyingi basi zipo wapi mpaka tuogope au watu wa east africa waogope.

HIZO SIRAHA GANI YA KENYA INAYOTISHIA AMANI UKANDA HUU IKO WAPI.
Hata hizo MRAP.
 
Sina uhakika sana kama ufaransa wamehusika na mezozo wa drc,
Ila nimewahi kuona video moja hivi walisema CHAD alienda kupigana second congo war , kumsaidia kabila coz ya ufaransa ndo walimwambia aende.
 
Kama vita sio silaha beba bastola kapigane dhidi ya adui wenye rifles, machine guns, mortars, MLRS, etc na mtashinda.

Hakuna justification ya kutonunua silaha. Sasa zilizopo ni za nini si tuachane nazo kabisa tuwe kama Vatican
Tuonyeshe hizo siraha za kenya za kisasa Ambazo ni TOSHIO ukanda huu, ujaonyesha bado mkuu.
Type city.
Na nafikili hapo juu kasema siraha za kisasa sana vinaweza visiwe na maana sana kwenye mapambano.
Na hasema vita si siraha.
Soma vizuri nafikili ni typing error.
 
Ila mkuu kwa ukanda wetu huu, Kenya wapo 'armed' na silaha za kisasa kweli kweli (nadhani uchumi wao unaruhusu hilo).
T14 Armata
 
Mimi naamini kuwa defenders wa huo mji uliotekwa wamechukua maamuzi ya kimkakati, soon M23 watapata kipigo cha mnbwa mwizi: PAULO KAGAME ajiandae kuwazika vijana wake
Akili yako haifanyi kazi vizuri ingia youtube angakia vita iligopiganwa mpaka hawa jamaa kufanikiwa kuuteka huu mji usifikiri ni kulala na kuamka mzee hii ni vita Imepiganwa for almost a week
 
Hana Miami na jeshi lake au Kenya mimi,
Bajeti ya kenya ya jeshi lazima iwe kubwa coz GDP yao ni kubwa kilo yetu Naenda kama 120GDP na wanatumia 1% kwenye military, kwa TZ ipo kama 62GDP kama sijakosema, ila kutumia kwenye jeshi sijajua niwe mkweli.
Vifaa vingo vya kenya vinanunuliwa kwenda Somalia na coz ya changamoto Kule walizokutananazo,
NA NDOMAANA TUMEKUAMBIA TUONYESHE HIVYO VIFAA VYA KENYA VYA KISASA AMBAVYO NI TISHIO KWA UKANDA HUU NDUGU.
kuwa katia services mda mrefu sio kwamba jeshi ndo linaendelea kupata nguvu sana kiasi hakuna yeyote atakayekupiga sio kweli, japo unakuwa na uzoefu.
Na ndo maana nimewahi kusema Japana mara ya mwisho kuingia kwenye vita ni lini, hata South Korea ni lini, hata china ni lini, na hata misri ni lini, na hata south africa ni lini? Na hata nina uwakika magenerali wao wa sasa wenda hawajawahi shiriki vita vikubwa.
 
Hiyo ni Congo-brazaville (hata alama ya kijani inaonyesha hapo) , ila Drc lilikuwa koloni la Ubelgiji.

Japo Ufaransa na Marekani walikuwa na ushawishi mkubwa Sana enzi za Mobutu.
Kwangu mimi nilivyofuatilia sana inaonyesha USA walitaka kuzikamata rasilimali za USA pekeao, wao kama wao, wakamtumia kagame.
 
Na haimaanishi hizo nchi ukiingia nao sasa kwenye mapigano, watashidwa kabisa hiyo sio kweli,
USA wapo kwenye vita kwa mda mrefu sana sasa wao wanapigana tuu, na tena wanabajeti kubwa sana , ya jeshi kama ndo hivyo inamaana wao ni vidume, na kwa Tabia ya USA wangesha vamia nchi hata ya urusi, ili tu kutafuta ushawishi kama iraq , ila wanashidwa nini, hata kwenda kumsaidia Ukraine, badala wanaungana na nchi za ulaya kumasaidia ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…