Unaijua inventory ya main battle tanks za Tanzania. Humo kuna T-55 nyingi, Chinese VT2.
Kuna reconnaissance vehicles kama Scorpion, IFV fulani Chinese ambazo ni amphibious na silaha nyingine. Sikumbuki kama kuna MRAPS, hakuna attack helicopters.
Silaha hazifichwi, unaficha ambacho huna? Kwanza kwa bajeti gani ya kununua hizo silaha. Kenya sio dhaifu kwenye training, kuna tofauti kubwa sana ya shambulizi la Al Shabaab pale Westgate na wanajeshi kufeli, dhidi ya shambulizi la Hamza mwenye minyamauzembe, hajui kukimbia wala hajawahi pata mafunzo ila askari walizungushana nae sana wakati alipita hata mtaani akapuuza waliokuwa kwenye dala dala na wasiomhusu. Yule angekuwa ni gaidi trained pale angeua mpaka ambapo angejichokea.
Kenya wako Somalia wana mission imeendelea miaka sasa, wana silaha kila muda wanaongeza kurahisisha mission, wana trainers wa Marekani na Uingereza palepale ndani ya Kenya wana kambi yao. Hao hao British and US forces ndio waliifundisha Ukraine. Kigezo gani unatumia kusema hawana training.
Alafu nani kakwambia jeshi la Kenya halina nidhamu? Unadhani Kenya huwa kuna upuuzi wa wanajeshi kupita lane isiyo upande wao, kupiga makonda na madereva na kutishia raia. Nidhamu unaipimaje kusema Kenya hawana