Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Mkuu pia kumbuka nchi kupigana Vita vingi sio kwamba ndo wananguvu Sana kuliko wengine, kwa kweli Ni fact kusema kwamba wanapata uzoefu so wanaelewa njia mzjri za kushida Vita na Nini kitakufanya ushidwe vita.Yes Kenya...najua baadhi ya vikos vyao vilishakuwaga huko..wana uzoefu huo..Kenya army wapo vizuri..sio wa kucheka hata kidogo,battle yao na Somalia/Alshabab ilkua poa sana ukilinganisha na ile ya AU ya Kutoa waasi Comoro iliyoongozwa na Jeshi la Tanzania
Kumbuka marekani wapo kwenye Vita kwa miaka mingi Sana ila sinauwakika Kama Kuna vita wamewahi kushida kwa uwezo wao wenyewe wakiwa pekeao, kumbuka Iraq walikuwa UK, France na USA na ndo maana walishidwa na walitumia njia ya kumbana kiunchumi asiuze mafuta hakose pesa za siraha ndo wakampiga. Sasa ukija kwa South Korea Mara ya mwisho kupigana Ni 1959 kwenye vita vya Korea Kama sijakosea mwaka, ndo Vita hivyo to walivyopigana Sasa kwa sababu hip Unaweza kusema wapo weak kabisa coz wamepigana Vita kidogo.
Ukija kwa India wamepigana kashimir miaka ya 70 huko Sasa utasema coz yapita miaka zaidi ya 40 hawajapigna , sawa na japani wamepigana Vita vya 2 vya dunia Sina uhakika Kama Kuna vingine wamepigana tangu 1945, so kwa hio hawajapigana mda Sasa inamaana wapo weak. Sawa na south africa sijajua Vita wapigana na Nani. Sasa waweza kusema kuwa wote hao hawataweza Vita.
Kumbuka wamepigana mda mrefu Sana na Sasa dunia imepandilika mpaka kwenye technology ya kivita Ni bola kuliko zamani. Na kumbuka magenerali wa kipindi hicho hawapo kazini Sasa.
Mimi naamini jeshi kuwa imara Ni MAFUNZO hasa na UZALENDO pamoja na KUJITUMA kwa Askari.
Pia VIFAA vinasaidia Sana na wavijue kuvitumia kwa usahihi.
pia MBINU nzazo husaidia namoja na NIDHAMU. Uzoefu nao Ni muhimu pia.
zitto junior Proved